Kati ya Toyota Brevis na IST ipi inaweza kuishi miaka mingi?

Card inabaki vipi? Kile kibati cha ndani ya bonnet kwenye body?
 
Mwanzo wa kijazi hadi mwisho wa kijazi huwa namaliza 180.. na pakiwa pazuri natembeaga na hiyo 180 hadi mataa ya kivulini..
 
Nimekomaa nalo mimi mwaka wa 6 huu, naona kawaida tu, hata sielewi watu huwa wanalalamika nini hasa, nadhani ni β€˜mass hysteria’ tu, ni tatizo la kisaikolojia zaidi kuliko uhalisia
Unazungumziaje Crown na Brevis
 
Unazungumziaje Crown na Brevis
Crown sijawahi kuiendesha, ila, engine yake inaonekana kuwa na pulling zaidi mwanzoni , ila engine ya Brevis ina stamina kubwa zaidi ya kumaintain speed za juu, hivyo after a few seconds, ile crown ambayo ilitangulia kutokana na pulling yake kubwa huwa inapotezwa kirahisi sana
 
Brevis wanazisifia sana wapiga route ndefuu.. nzuri ipi zaidi kati ya ai250 au ai300.. Crown inachanganya faster sana. Kwenye hapa na hapa rahisi kukuacha.. inamaliza 180 haraka, unabaki hauna kazi tena
 
Unamshauri anunue sare ya shule? Seriously?

Kwani anaenda kutafta maks wapi jombaa ? Ni gari inavumilia haswa, kwenye servise vipuri ni vingi na Bei ni nafuu;- , Ni ushauri tu lkn. Zipo nyingi anaweza cheki ingine like subaru forester, Vanguard, Xtrail n.k

Ulaji wa wese / Mafuta hutegemeana na Ukubwa wa gari(CC)

Kama nifogo ajaribu kutafuta ya kipekee duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…