Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo gari lako la kwanza kuchukua?Msaada wataalamu
Asante sana, ushauri mzuri. Nimeuchukuawote wana engine ya 1NZ 1490cc Ambayo inatoa perfomance nzuri kwenye safari za mbali ukilinganisha na baadhi ya engine za 2NZ.
kuwa makini usije kushikishwa Spacio yenye engine ya 4A 1580cc hautakaa usijuane na mafundi.
kwa upande wangu Raum ipo vizuri engine inaendana na ukubwa wa body hivyo haitaweza pata Load kubwa ukilinganisha na spacio.
kwa space Spacio iko na space ya kutosha but hata raum pia wamejitahidi kwenye issue ya space.
napenda pia. milango ya nyuma ya Raum inavofunguka kama una mgonjwa inasaidia mno.
Vipi ulaji mafutawote wana engine ya 1NZ 1490cc Ambayo inatoa perfomance nzuri kwenye safari za mbali ukilinganisha na baadhi ya engine za 2NZ.
kuwa makini usije kushikishwa Spacio yenye engine ya 4A 1580cc hautakaa usijuane na mafundi.
kwa upande wangu Raum ipo vizuri engine inaendana na ukubwa wa body hivyo haitaweza pata Load kubwa ukilinganisha na spacio.
kwa space Spacio iko na space ya kutosha but hata raum pia wamejitahidi kwenye issue ya space.
napenda pia. milango ya nyuma ya Raum inavofunguka kama una mgonjwa inasaidia mno.
ulaji wa mafuta kama zote zitakuwa ni 1NZ ulaji utakuwa sawa kitakachotofautisha niVipi ulaji mafuta
Doooh🤣watu mna majibuNdo gari lako la kwanza kuchukua?
Umejibu vyema kaka ubarikiweulaji wa mafuta kama zote zitakuwa ni 1NZ ulaji utakuwa sawa kitakachotofautisha ni
ubora wa engine
Load capacity
aina ya uendeshaji
tyre size and tyre pressure.
japo naipa asilimia kubwa raum za kuwa na ulaji mdogo kutokana na body yake kuwa ndogo.
Kwahyo achukue Raum kwa sababu wewe ulikua nayo?Nilikua na Raum chukua Raum