PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mtoa mada kama utafuata ushauri huu nenda nayo hiyo raumwote wana engine ya 1NZ 1490cc Ambayo inatoa perfomance nzuri kwenye safari za mbali ukilinganisha na baadhi ya engine za 2NZ.
kuwa makini usije kushikishwa Spacio yenye engine ya 4A 1580cc hautakaa usijuane na mafundi.
kwa upande wangu Raum ipo vizuri engine inaendana na ukubwa wa body hivyo haitaweza pata Load kubwa ukilinganisha na spacio.
kwa space Spacio iko na space ya kutosha but hata raum pia wamejitahidi kwenye issue ya space.
napenda pia. milango ya nyuma ya Raum inavofunguka kama una mgonjwa inasaidia mno.
1NZ ni moja ya engine Bora za Toyota