Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

Mtoa mada kama utafuata ushauri huu nenda nayo hiyo raum
1NZ ni moja ya engine Bora za Toyota
 
Hii milango sidhan kama ni issue sana coz ipo kwenye magari mengi mfano Porte, Noah, alphard, hiace, Sienta huko sijasikia malalamiko, Labda kama Kuna kitu kipo specific Kwa Raum tu.
 
Aisee hiyo milango kwangu ni issue sana, hizo ulizotaja zote zinahitaji care sana. Mlango unaofunguka automatic unahitaji care sana, shida kidogo tu motor inakufa na unaanza kufunga kwa mkono.
 
Milango Hainashida yoyote
 
Kama bara bara yako kuu ni lami basi nenda na Raum toleo jipya bongo ila kama ni changarawe sana nenda na spacial toleo jipya bongo.
 
Mengine siyajui ila nimeona kwa baadhi ya milango ya abiria ya Raum baada ya muda inasumbua.
 
Samahani mkuu naomba utolee maelezo ili nipate elimu itakayonisaidia. Asante mkuu.
Raum na Spacio zote gari nzuri sana kilichobaki hapo ni shape tu.

Spacio kwangu kubwa sana, unless niwe na familia kubwa napenda shape ya Raum.

Ila kuhusu ubora wa engine, unafuu wa service izo gari yoyote utakayochukua hautojuta.
 
Asante mkuu
 
Kwanza hizi gari zinarange shilling ngapi Yard za hapo Dasalama..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…