Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho.
Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya mafahali hawa wawili waliodumu katika chama hicho kwa zaidi ya miongo zaidi ya moja kila moja, kama wanachama na viongozi waandamizi ngazi mbalilmali?
Je, kuna atakae torokea chama kikingine akishindwa uchaguzi huo? maana tayari miongoni mwao tayari wameanza kuweka masharti yao binafsi dhidi ya taratibu za kikatiba za chama hicho cha siasa kabla hata ya uchaguzi huo
Mungu Ibariki Tanzania