Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wana CHADEMA jibu lao ni Moja tu kuwa Mwamba Mbowe ndiye chaguo lao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti yao ni kuwa mmoja ana tiketi ya ndege mfukoni mwingine hana!! Hapo utaona tu shaaaaaaa Ubeleji akina Msigwa wataachwa kwenye mataa na nyanya zao pale DabagaLicha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho.
Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya mafahali hawa wawili waliodumu katika chama hicho kwa zaidi ya miongo zaidi ya moja kila moja, kama wanachama na viongozi waandamizi ngazi mbalilmali?
Je, kuna atakae torokea chama kikingine akishindwa uchaguzi huo? maana tayari miongoni mwao tayari wameanza kuweka masharti yao binafsi dhidi ya taratibu za kikatiba za chama hicho cha siasa kabla hata ya uchaguzi huo
Mungu Ibariki Tanzania
huyo mbowe alipaswa na nani kuachia madaraka?Mbowe alipaswa achie madaraka kiheshima lakin hapo inaonesha kuna kundi kubwa la watu kutoka ndani na nje ya chama wanataka aendelee kuongoza pengine kwa kuhofia mpinzani wake...au ni mpango wao wenyewe wameamua iwe hvo....sio lisu wala Mbowe anaweza kukijenga chama binafsi mimi sijaona ila mwenye afadhali kwa sasa ni Lisu kuliko Mbowe...Mbowe anashawishika kirahisi kuliko lisu.

kwa hiyo mgombea moja mguu moja upo ndani na mguu mwingine uko nje?Tofauti yao ni kuwa mmoja ana tiketi ya ndege mfukoni mwingine hana!! Hapo utaona tu shaaaaaaa Ubeleji akina Msigwa wataachwa kwenye mataa na nyanya zao pale Dabaga
