Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
Members JF,

Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
 
Mbona hawa wanaongoza wizara mbili tofauti?Au wizara ya mazingira nayo inashughulikia corona?
 
Mungu aendelee kumtia nguvu Dr. Gwajima maaana wezi wa dawa za serikali na wabadhirifu wameshikwa pabaya, wziri anajua kona zote za upigaji huwezi kumdanganya....lazima wapigaji watamchukuia tu, lkn sisi wananchi tunamshukuru sana aendelee na uzi huo huo safisha takataka zote ili tasnia ya afya iwe na heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yametoka wapi tena mkuu, hoja yako ni nzuri,je? Wakati wanaiba hizo dawa yeye alikuwa nani hapo wizarani
 
Japo zile takwimu zilikuwa za kubumba... Lakini taarifa tulikuwa tunazipata kila baada ya muda... Sio huyu wa Sasa yupo yupo tu.
So, takwimu zimeacha kutolewa kipindi cha Waziri Gwajima?

Corona ni kaa la moto nchini, kila mmoja anamwogopa Rais ili kulinda kitumbua chake kisiingie mchanga.
 
Ummy alikuwa na maongez mazur na madaktari kiufupi alikuwa anawasikiliza ushaur wao, wakat mwingine wanachukua kidog cha kwenye wizara wanakitumia hata bila kumhusisha jiwe .... Udhaifu wake hakuwa solid kwenye usimamizi
 
Hakuna mwenye strategy yake hapo kupambana na covid mkuu. Hao wote wanapokea strategy kutoka kwa mwenye nchi wao wanaitekeleza tu. Kwahiyo badili swali lako liwe 'kati ya Ummy na Gwajima nani anatekeleza vizuri maagizo anayopewa juu ya namna ya kuusemea ugonjwa wa covid 19'
 
Mama Gwajima bado hajafanya lolote kwenye issue ya COVID.

Nadhani hana hata ule ujasiri wa kumface boss wake na kumwambia kile anachopaswa kuambiwa na sio kile anachopenda kusikia
Ummy mwenyewe alinyamazishwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
54321.jpg
 
Back
Top Bottom