Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

Kila kitabu na zama zake ndio maana kuna new edition ya vitabu Ummy zama zake zimepita
 
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu.

1)Unafananisha mawaziri walikaa katika Timeframe tofauti mpaka sasa Ummy miaka 5 Gwajima miezi 2.

2)Unalinganisha mawaziri walifanya majukumu yako katika ERA tofauti 2019-2020(Early to Mid) Corona is Corona, Corona is Say of the world at that time, Corona is lifestyle everywhere, Corona is real Apocalypse kivyovyote vile waziri wa wakati huo hata angekuwa waziri ni Amber Lulu angekuwa Smart, Famous, na kupokea miongozo mingi ya ki strategies kuiwasilisha kwa nchi, Gwajima utendaji wake umekuja 2021 kipindi Corona sio ile tuliyoijua.

Mlinganisho una Bias nyingi sana kingine people used to abuse Dr. Gwajima due to their Body posture and appearance indirectly.

Hakuna kitu cha tofauti sanaa alichofanya Ummy Mwalimu zaidi ya kuwa Humble na mnyenyekevu kwenye kuwasilisha na ukijumlisha Body posture yake, watu wannachanganya hiki kitu na utendaji.

BIAS BIAS BIAS
 
Kwa hii issue ya CoVid yani imemdhoofusha kabisa Gwajima yani watu hawana hamu nae hata vi clip vyake kwa kumuita shujaa vimepotea yani uweledi wake kwenye nyanja ya afya ni bureee bureee kabisa. Analeta siasa kwny afya za watu anamuogopa Mzeee kwenye suala nyeti kama hili la kumwambia mzee baba eee hii ni kitu kingine yanii hii inatakiwa iwe hivi ila mmama ka mute mazimaaa.
 
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu.

1)Unafananisha mawaziri walikaa katika Timeframe tofauti mpaka sasa Ummy miaka 5 Gwajima miezi 2.

2)Unalinganisha mawaziri walifanya majukumu yako katika ERA tofauti 2019-2020(Early to Mid) Corona is Corona, Corona is Say of the world at that time, Corona is lifestyle everywhere, Corona is real Apocalypse kivyovyote vile waziri wa wakati huo hata angekuwa waziri ni Amber Lulu angekuwa Smart, Famous, na kupokea miongozo mingi ya ki strategies kuiwasilisha kwa nchi, Gwajima utendaji wake umekuja 2021 kipindi Corona sio ile tuliyoijua.

Mlinganisho una Bias nyingi sana kingine people used to abuse Dr. Gwajima due to their Body posture and appearance indirectly.

Hakuna kitu cha tofauti sanaa alichofanya Ummy Mwalimu zaidi ya kuwa Humble na mnyenyekevu kwenye kuwasilisha na ukijumlisha Body posture yake, watu wannachanganya hiki kitu na utendaji.

BIAS BIAS BIAS
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu

Kweli mkuu naona mjinga amechangia.
 
Haya yametoka wapi tena mkuu, hoja yako ni nzuri,je? Wakati wanaiba hizo dawa yeye alikuwa nani hapo wizarani
kwa kifupi Dr. Gwajima ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk ufuatiliaji wa kila jambo, sijui alikuwa nani lkn sasa yupo ktk nafasi ya juu ya uwaziri hivyo ana nguvu zaidi ya kufanya maamuzi lkn pia anaijua wizara ndani nje hivyo hawezi kudanganywa.
kwa kifupi Dr. Gwajima ameiwezea sana wizara ya Afya, maana mimi mtu wa kawaida sikuwa najua kama kuna ubadhirifu na dili ktk mahosipitali lkn kupitia yeye wananchi wametambua maovu mengi yaliliyo kuwa yanatendeka.
naamini kwa style yake ya utendaji nidhamu kwa wauguzi na baadhi ya watumishi waiso na maadili watakaa sawa maana huyu waziri hataki kuchekeana wala kuleana.
Hongera sana Dr. Gwajima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anisamehe Mama Ummy nilikua namchukulia poa sana.

Ila Gwajiboy hatofautiani na Gwajigirl
 
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu.

1)Unafananisha mawaziri walikaa katika Timeframe tofauti mpaka sasa Ummy miaka 5 Gwajima miezi 2.

2)Unalinganisha mawaziri walifanya majukumu yako katika ERA tofauti 2019-2020(Early to Mid) Corona is Corona, Corona is Say of the world at that time, Corona is lifestyle everywhere, Corona is real Apocalypse kivyovyote vile waziri wa wakati huo hata angekuwa waziri ni Amber Lulu angekuwa Smart, Famous, na kupokea miongozo mingi ya ki strategies kuiwasilisha kwa nchi, Gwajima utendaji wake umekuja 2021 kipindi Corona sio ile tuliyoijua.

Mlinganisho una Bias nyingi sana kingine people used to abuse Dr. Gwajima due to their Body posture and appearance indirectly.

Hakuna kitu cha tofauti sanaa alichofanya Ummy Mwalimu zaidi ya kuwa Humble na mnyenyekevu kwenye kuwasilisha na ukijumlisha Body posture yake, watu wannachanganya hiki kitu na utendaji.

BIAS BIAS BIAS

Umeongea sanaaa

Ila Ummy na Gwajima wote wakiwa na watoto wa kike ukaambiwa kachague mmoja

Siwezi kwenda kuoa Mary Mkubwa mimi
 
Members JF,

Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
Yaani unalinganisha mtumishi wa Umma na Mmbea?
 
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu.

1)Unafananisha mawaziri walikaa katika Timeframe tofauti mpaka sasa Ummy miaka 5 Gwajima miezi 2.

2)Unalinganisha mawaziri walifanya majukumu yako katika ERA tofauti 2019-2020(Early to Mid) Corona is Corona, Corona is Say of the world at that time, Corona is lifestyle everywhere, Corona is real Apocalypse kivyovyote vile waziri wa wakati huo hata angekuwa waziri ni Amber Lulu angekuwa Smart, Famous, na kupokea miongozo mingi ya ki strategies kuiwasilisha kwa nchi, Gwajima utendaji wake umekuja 2021 kipindi Corona sio ile tuliyoijua.

Mlinganisho una Bias nyingi sana kingine people used to abuse Dr. Gwajima due to their Body posture and appearance indirectly.

Hakuna kitu cha tofauti sanaa alichofanya Ummy Mwalimu zaidi ya kuwa Humble na mnyenyekevu kwenye kuwasilisha na ukijumlisha Body posture yake, watu wannachanganya hiki kitu na utendaji.

BIAS BIAS BIAS
Umeongea mambo mengi Sana,kimsingi point uliyotaja mwishoni mwa comment yako inaweza kuwa strategy
 
Gwajima kakuta Ummy ameshatangaza hakuna corona,hawapimi corona yani kwa kifupi anaendeleza tu aliyoyaacha Ummy. Hata hao ni watekelezaji tu wa mipango ya Jiwe hakuna mwenye strategy zake hapo,ukileta ujuaji yanakukuta yale ya Ndugulile.
 
Members JF,

Hebu jaribu kuwa rate hawa mawaziri kwenye kukabiliana na hii catastroph facing the global, yupi ana strategic plans nzuri ya kukabiliana na hii kitu?
Gwajima utamlingamisha na Ummy kweli? Hebu nisaidie huyu mkaguzi mkuu Gwajima yupo wapi sasa? Simsikii kapotea ghafla
 
Mungu aendelee kumtia nguvu Dr. Gwajima maaana wezi wa dawa za serikali na wabadhirifu wameshikwa pabaya, wziri anajua kona zote za upigaji huwezi kumdanganya....lazima wapigaji watamchukuia tu, lkn sisi wananchi tunamshukuru sana aendelee na uzi huo huo safisha takataka zote ili tasnia ya afya iwe na heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie na Nani mkuu? Rudia Uzi uelewe swali hizo sifa hata nyumbani unaweza mpelekea
 
Gwajima anakula matunda na juice akiwa pamoja na mme wake, anafaa kwenda bongo movie
 
Uzi wa kipuuzi sana huu na mjinga tu atachangia uzi huu.

1)Unafananisha mawaziri walikaa katika Timeframe tofauti mpaka sasa Ummy miaka 5 Gwajima miezi 2.

2)Unalinganisha mawaziri walifanya majukumu yako katika ERA tofauti 2019-2020(Early to Mid) Corona is Corona, Corona is Say of the world at that time, Corona is lifestyle everywhere, Corona is real Apocalypse kivyovyote vile waziri wa wakati huo hata angekuwa waziri ni Amber Lulu angekuwa Smart, Famous, na kupokea miongozo mingi ya ki strategies kuiwasilisha kwa nchi, Gwajima utendaji wake umekuja 2021 kipindi Corona sio ile tuliyoijua.

Mlinganisho una Bias nyingi sana kingine people used to abuse Dr. Gwajima due to their Body posture and appearance indirectly.

Hakuna kitu cha tofauti sanaa alichofanya Ummy Mwalimu zaidi ya kuwa Humble na mnyenyekevu kwenye kuwasilisha na ukijumlisha Body posture yake, watu wannachanganya hiki kitu na utendaji.

BIAS BIAS BIAS
Nashukuru mkuu wewe hujachangia hupo kwenye hilo kundi
 
Back
Top Bottom