Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

Huwa namkumbuka sana Ummy alikuwa frontline kwenye uwanja wa vita vya covid. Mungu amlipe kila la kheri
 
Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kumteua yule fala wa Kimasai Mollel kuwa naibu waziri wa afya sababu ya utaalamu wake wa kuwatukana Mbowe na Lissu tuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1701428
...kinachosikitisha zaidi..huyu wa sasa kasomea udaktari lakini anafanya Kazi Kama mganga wa kienyeji...ummy si Dokta..lakini alishirikiana Vema na madaktari...huyu mchawi wa sasa asipotumbuliwa baada ya vifo hivi vilivyotamalaki nchini...basi nitaamini ni mchawi hatari wa usukumani...
 
Uchawi tena!
 
Mungu aendelee kumtia nguvu Dr. Gwajima maaana wezi wa dawa za serikali na wabadhirifu wameshikwa pabaya, wziri anajua kona zote za upigaji huwezi kumdanganya....lazima wapigaji watamchukuia tu, lkn sisi wananchi tunamshukuru sana aendelee na uzi huo huo safisha takataka zote ili tasnia ya afya iwe na heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaiba nini dawa hazipo
 
...kinachosikitisha zaidi..huyu wa sasa kasomea udaktari lakini anafanya Kazi Kama mganga wa kienyeji...ummy si Dokta..lakini alishirikiana Vema na madaktari...huyu mchawi wa sasa asipotumbuliwa baada ya vifo hivi vilivyotamalaki nchini...basi nitaamini ni mchawi hatari wa usukumani...
Kweli ummy hajasomea hii kada ya udakitali lakin alifanya kazi vizuri yule alisomea sheria.magufuri sijui aliwazaje hapo hawa ndo wale Wa I was expected to be a teacher now am a doctor
 
Mama Ummy alikuwa ana strategy na ni mtendaji mzuri sana. Huyu Gwajima ni 'msanii' kama yule Gwajima mwingine
 
Back
Top Bottom