Kati ya Ummy Mwalimu na Dkt. Gwajima nani ana strategy nzuri ya kukabiliana na Covid-19?

Huwa namkumbuka sana Ummy alikuwa frontline kwenye uwanja wa vita vya covid. Mungu amlipe kila la kheri
 
Mnacompare mtaalamu wa afya na asiye mtaalam wa afya
 
Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kumteua yule fala wa Kimasai Mollel kuwa naibu waziri wa afya sababu ya utaalamu wake wa kuwatukana Mbowe na Lissu tuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1701428
...kinachosikitisha zaidi..huyu wa sasa kasomea udaktari lakini anafanya Kazi Kama mganga wa kienyeji...ummy si Dokta..lakini alishirikiana Vema na madaktari...huyu mchawi wa sasa asipotumbuliwa baada ya vifo hivi vilivyotamalaki nchini...basi nitaamini ni mchawi hatari wa usukumani...
 
Uchawi tena!
 
wanaiba nini dawa hazipo
 
Kweli ummy hajasomea hii kada ya udakitali lakin alifanya kazi vizuri yule alisomea sheria.magufuri sijui aliwazaje hapo hawa ndo wale Wa I was expected to be a teacher now am a doctor
 
Mama Ummy alikuwa ana strategy na ni mtendaji mzuri sana. Huyu Gwajima ni 'msanii' kama yule Gwajima mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…