pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Nayika wa jukusi dada wa platsic surgery msi mfananishe na vee kuku kienyeji vee naturalist cheusi dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemaliza kila kitu [emoji23]Watu watongozane wao, walalane wao, utamu wapate wao....Jenaba mpate wa humu JF.
Kwani we diamond unaishi naye kila siku unapohangaikaga kumsemea?Kwani mtoa mada unaishi nao mpaka useme fulani anaendana na fulani?
Nayika wa jukusi dada wa platsic surgery msi mfananishe na vee kuku kienyeji vee naturalist cheusi dawa View attachment 1320940
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa si hajui kitu,,VANESSA matawi, ,Juma si mmakonde Yule wamakonde 2na pupa kinyama Eg Harmonize, Harmorapa etcMuulize juma jux mara ya mwisho kutoka marekani ilikuwa lini, akikujibu ndio utajua nan amepatia hivyo unavyomaanisha....
It looks like Vanessa Mdee anamlipa huyu Jamaa for him to be with her.Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.
Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO
Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.
View attachment 1316395View attachment 1316397
Juma jux na girlfriend wke mpya
View attachment 1316399
Vannesa a boyfriend wke mpya
Bro ,,boyfriend wa Vanessa ni m2 great ,,, Ndio starring wa American TV series ya the POWER,,, Demu wa jux Ndo starring kweny plastic surgery rooms THAILAND hukooMimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.
Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO
Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.
View attachment 1316395View attachment 1316397
Juma jux na girlfriend wke mpya
View attachment 1316399
Vannesa a boyfriend wke mpya
Jux ni msukuma wa Tangajamaa si hajui kitu,,VANESSA matawi, ,Juma si mmakonde Yule wamakonde 2na pupa kinyama Eg Harmonize, Harmorapa etc
Ukiwa maskini shida sana.Jux kiboko, Vanessa atarudisha majeshi tu, hako ka boyfriend ndio kwanza kameuliwa kwenye series za "Power"..
Sijuwi kataajiriwa wapi tena?!
I thought the same thing, maana anashoboka kwa huyo jamaa dizaini kama kuna watu anawanyoosha. Kuonyesha anatoka na star.It looks like Vanessa Mdee anamlipa huyu Jamaa for him to be with her.
Hahahaha, jamaa hana kitu, series za Power ndio basi tena, karudi bench mpaka apate kazi ya acting, kazi ipo hapo...It looks like Vanessa Mdee anamlipa huyu Jamaa for him to be with her.
Mkuu aliyepost ni mwanamke.. Kama ww ni mwanaume na umempa hili jibu umekosea. Ila kma ni mwanamke sawa.Weupe wa boyfriend wa V ni kama uchafu. Utakua umfahamu Rotimi. Google ili umjue zaidi alaf uone kama unaweza mlinganisha na huyo msanii wako anaepiga show Bongo tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, Jux half mtwara ,half Moro,,,Kama Hutak nend Wikipedia, weka Kiswahili then search Juma jux..Jux ni msukuma wa Tanga
Moro kwa nani yake ?Boss, Jux half mtwara ,half Moro,,,Kama Hutak nend Wikipedia, weka Kiswahili then search Juma jux..