Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

Kuna vitavu vitamu (kwa burudani tu) na vingine MUHIMU katika maisha

Vitabu VITAMU nimesoma vingi sana ila kati ya vitabu MUHIMU (kuna tofauti hapo...) as far as I am concerned na vilivyonibadilisha mtazamo wangu katika maisha ni ''The Magic of Thinking Big'', ''Poor Dad, Rich Dad'', ''The Success Principles'' na ''How to Win Friends and Influence People''. I learnt some simple yet powerful techniques ambazo zimenisaidia mno kazini na kwenye biashara zangu kuvuka malengo flani.

Zamani nilikuwa nasoma sana Novels, hasa za David Baldacci, ila siku hizi naona kama napoteza muda kusoma Fictions wakati kuna personal development books ambazo napaswa kusoma. Well, labda nimeanza kuzeeka.
 
The Arrow of God No longer at ease things fall apart.[HASHTAG]#Albert[/HASHTAG] Chinuangu Achebe# African legendary.
 
Kuna vitavu vitamu (kwa burudani tu) na vingine MUHIMU katika maisha

Vitabu VITAMU nimesoma vingi sana ila kati ya vitabu MUHIMU (kuna tofauti hapo...) as far as I am concerned na vilivyonibadilisha mtazamo wangu katika maisha ni ''The Magic of Thinking Big'', ''Poor Dad, Rich Dad'', ''The Success Principles'' na ''How to Win Friends and Influence People''. I learnt some simple yet powerful techniques ambazo zimenisaidia mno kazini na kwenye biashara zangu kuvuka malengo flani.

Zamani nilikuwa nasoma sana Novels, hasa za David Baldacci, ila siku hizi naona kama napoteza muda kusoma Fictions wakati kuna personal development books ambazo napaswa kusoma. Well, labda nimeanza kuzeeka.
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom