Kati ya Waislamu na Wakristo ni Wapi Wanaongoza kuwachokoza/Kuwatesa wenzao?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat kake eti akaswalie ndani ya Vayican. Hebu fikiri mkiristo alajaribu kufanya Ibada ya Kikiristo pale Macca- sekunde inayofuata atakuwa maiti.
Angalia kule Israeli. Waislamu walipora Temple Mount (Dome of the Rock)toka kwa Wayahudi na sasa hivi hawataki kabisa Wayahudi wasiingie eneo hilo, wachilia mbali kufanya ibada. Wayahudi wawatu licha ya kuwa Serokali ni yao, bada Serikali hiyo ikaona isiwe taabu. Serikali ikaweka Askari wa Kiyahudi ili to enforce sheria ya kuwataka Wayahudi wawe wanatembelea Temple Mount kwa nyakati maalumu tu. Hata Mkiristo hauruhusiwi kuingia eneo hilo labda kwa kibali na ni kwa masaa machache ya asubuhi. Aidha hautaruhusiwa kufanya tendo lolote la Ibada yako ya kikiristo.
 
Ignorance is bliss
Ni kosa la jinai kumshawishi Myahudi kuwa Mkristo huko Israel
Bethlehem ipo ndani ya mamlaka ya Palestine umesikia nani kazuiwa kufanya hija na ibada sehemu hizo takatifu kwa kuwa ni mkristo?
Udini wa kishamba unakusumbua.
 
Hivi nyie watu mtapevuka lini?
Mbona bado mnaandika mambo ya watu yasiyowahusu..
Hivi bila ya ukoloni mngekuwaje wakristo au waislam?
Mtashikiwa akili mpaka lini?
 
Waislamu ndiyo Janga la dunia kwa sasa kwa taarifa yako; dunia isipo simama kidedea kuwa shame, the world civilization is going to collapse
 
Haya mamijadala ya dini ni ujinga mtupu
Waislamu wenzio ndiyo wanafanya tulete mijadala ya dini. Wao Uislam wameufanya Itikadi ya kisiasa wakiwa na agenda ya kuitawala Dunia. Muislamu hata aelemike vipi lakini endapo anashikilia kindakindaki mafundisho ya Quran huyo ni Gaidi in waiting. Ona sasa huyu pilot wa Oman anayerusha ngege za Fly Dubai. Licha ya Elimu yake ni Gaidi la Kiislamu. Akataka kuua abiria.

View: https://x.com/GBNEWS/status/2105261634390241511?s=20
 
"Muafrika hatengenezi Kitu chochote, kila Kitu anategemea kwa mzungu hadi Mungu na Shetani ameletewa kutoka uarabuni na uzunguni."

cc bless on
Mkuu Bufa nashukuru kwa kunitag sijasoma Uzi wote ila kwa sababu ni swali nitalijibu kwa ufupi👉 DINI inayoongoza kutesa wenzao ni wakristo ambao ni Roman empire tupo kwenye zama za mkono wa chuma "iron stone age"
Ukweli lazima usemwe hata kama watu hawautaki.
 
Mimi sio Muslim.... Binafsi tu nikikuta mijadala ya mambo ya dini pahala huwa na ignore
 
"Muafrika hatengenezi Kitu chochote, kila Kitu anategemea kwa mzungu hadi Mungu na Shetani ameletewa kutoka uarabuni na uzunguni."

cc bless on
Uafrika, uzungu, uchina, uhindi n.k, Kuna level ukifikia huwa vinapotea au vinakufa, unakuwa mtu mwingine. Ukiwa katika level ya uafrika sijui uzungu hakuna la maana utafanya zaidi ya kujidaijidai tu , kujitia ujuaji, stori za kuungaunga kibao,
 
Mafundisho ya ukristo yamejaa ustaarabu na utu,, wakati ule upande mwingine, mafundisho yao yamejaa chuki na uadui. Fikiria waumini wanafundishwa na kuaminishwa kuwa wakimwua asiyeukubali uislam, watapewa thawabu kubwa ahera , ikiwemo kupewa wanawake 72 na mito ya pombe!! Yaani wewe umwue mwanadamu mwenzako aliyeumbwa na Mungu, halafu eti upewe thawabu! Mungu asiyeshindwa lolote, angetaka huyo unayesema auawe, adiwepo, angeshimdwa kumwua mwenyewe? Ni mafundisho ya kishetani, ndiyo maana wanaambiwa kuwa eti wao ni rafiki wa shetani kwa sababu Mohamad alikwishamsilimisha.
 
Mkuu Bufa nashukuru kwa kunitag sijasoma Uzi wote ila kwa sababu ni swali nitalijibu kwa ufupi👉 DINI inayoongoza kutesa wenzao ni wakristo ambao ni Roman empire tupo kwenye zama za mkono wa chuma "iron stone age"
Ukweli lazima usemwe hata kama watu hawautaki.

Nimekutag sababu nimenukuu maneno yako.
 
Waislamu ndiyo Janga la dunia kwa sasa kwa taarifa yako; dunia isipo simama kidedea kuwa shame, the world civilization is going to collapse
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa
 
Mfano angalia hiyo video hapo chini. Huyo mdada wa Kiislamu, Vatican inaruhusu watu wa aina zote kufanya ziara za kitalii ndani ya Saint Peter's Square. Sasa huyo mdada akachukua na ka prayer mat kake eti akaswalie ndani ya Vayican. Hebu fikiri mkiristo alajaribu kufanya Ibada ya Kikiristo pale Macca- sekunde inayofuata atakuwa maiti.
Angalia kule Israeli. Waislamu walipora Temple Mount (Dome of the Rock)toka kwa Wayahudi na sasa hivi hawataki kabisa Wayahudi wasiingie eneo hilo, wachilia mbali kufanya ibada. Wayahudi wawatu licha ya kuwa Serokali ni yao, bada Serikali hiyo ikaona isiwe taabu. Serikali ikaweka Askari wa Kiyahudi ili to enforce sheria ya kuwataka Wayahudi wawe wanatembelea Temple Mount kwa nyakati maalumu tu. Hata Mkiristo hauruhusiwi kuingia eneo hilo labda kwa kibali na ni kwa masaa machache ya asubuhi. Aidha hautaruhusiwa kufanya tendo lolote la Ibada yako ya kikiristo.
View attachment 3680729

Huyo ni mkristo anayeswali hivyo ?? Au hujui
 
Waislamu ndiyo Janga la dunia kwa sasa kwa taarifa yako; dunia isipo simama kidedea kuwa shame, the world civilization is going to collapse

ni kweli ukristo ndiyo upendo au vipi ??

1790867008509.png
 
Back
Top Bottom