Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ma lecturer

Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba afaulishwe kwa kumpa tiketi ya 6x6 ampelekee moto ili ampe alama za kufaulu, lakini pia nae lecturer anaweza kupata mechi kirahisi sana kwa kumuambia tu mwanafunzi wake wa kike anampenda, hapa tayari binti anapatwa na wakati mgumu kuchomoa maana anaogopa kufelishwa endapo akimtosa lecturer.





Wachungaji rapa / matabibu / ma ustadh rapa

hawa nao hugeuza watu walio na shida zao kuwa viburudisho vyao kuanzia wagonjwa, wasioolewa, wasioshika mimba, n.k kumdanganya mwanamke ni rahisi sana ukijua kuiteka imani yake kwa kumpa matumaini ya kutatua tatizo lake, wengi huwadanganya kwamba dawa zao inabidi ziingie kwa njia ya ngono ili nafsi iingie ndani ya mwili wa mwenye shida ili kutoa roho chafu,




yupi kati ya hawa anaelemewa zaidi
 
Kumekucha!

Asante kwa kuweka picha. Umewakata kilimilimi wale wa "weka picha" [emoji16][emoji16][emoji16]
 
watumishi i speak from my experience
 
Mbona picha ya Ostadh haipo unaubaguzi yaani umeweka vyakula vya malecture tu na wachungaji unaacha maostadhi siyo vizuri
 
Mbona picha ya Ostadh haipo unaubaguzi yaani umeweka vyakula vya malecture tu na wachungaji unaacha maostadhi siyo vizuri
Hivi maustadhi wanaonana na waumini wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…