Kati ya Wanamichezo hawa Wawili wa Tanzania nani amechanganyikiwa akili na nani anaonyesha kuwa Kichwani zimekamilika?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA.

Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi Madogo ) kuwa visit Kilimanjaro and Zanzibar.

Hivi kumbe ukitembelea Tanzania kama Mtalii huwezi Kuzikuta hizo Kilimanjaro na Zanzibar?

Je, unapomwambia Mtu ( Mtalii ) kuwa atembelee tu Kilimanjaro na Zanzibar hapa unakuwa Umeitangaza nchi ya Tanzania kwa Ukubwa na Umuhimu wake au labda Yule aliyewaambieni Wageni kuwa Wakaribie Tanzania ndiyo ameonyesha Jambo la Tija na ndiyo anastahili Pongezi?

Mightier ninasubiri Majibu yenu Wadau.
 
🤣🤣🤣 kaaaz kweli kwei
 
POPOMA unamatatizo gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…