Siasa ni pesa bablai...Lissu ataondoka ila hawezi kwenda Fisiem Zaidi zaidi atasajiri chama kipya kitakuwa na nguvu Kuliko ata Chadema..
Gentleman,Hata chadema yote ikiwa ccm upinzani utaibuka tu kwa sababu upinzani ni ideology na sio chama.
Watu hao ni kina nani gentleman πGentleman,
kwahiyo ndani ya chadema kuna Ideology ya Lisu, Ideology ya Lema na Kigaila, kuna Ideology ya John Mrema na kuna ile ya chairman Mbowe mwamba wa kaskazini right?π
kwani wewe gentleman,Kwa nyie CCM mmaotamani Mbowe na Lissu wakorofishane ili CDM imeguke mtasubiri saana.
Anayo kadi mbona?Mbowe
Hakuna mtu kamkorofisha mwenzake hapo. Ndugu wakikoromeana wewe chukua jembe nenda shambani kwako - maana wakipatana unaweza kuvishwa kanga.kwani wewe gentleman,
ukipima na kutazama vizuri pale chadema, unaona Lisu, Lema na Kigaila, John Mrema na Mbowe wanakorofishana kupitia vyombo vya habari na na mitandao ya kijamii?π
WeweπFriends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi chadema wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani wa kwanza ataelekea wapi kwa mfano?
Na je,
Chadema inaelekea zama mpya.
Na kinachoendelea ni mwanzo wa mwisho wa Chadema au mwanzo wa Chadema mpya, na kivip?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Keep on dreaming..umejieleza vizuri kistaarabu sana gentleman.
keep it up π
gentleman,Weweπ
Yeah!huyu huyu aliepigwa kalamu leo gentleman?
atafuatia yule mbeligiji bilashaka yoyote right?π
Sawa mkuuLissu hawezi kwenda CCM na wala hakuna ugomvi wa kumfanya atimke.
Ni mambo ya kuwekana sawa, kama ana hoja basi atasikilizwa na zitajadiliwa tatizo lipo wapi?
CDM kuna uhuru wa mwanachama kuongea kama anaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa.