Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

Lissu ataondoka ila hawezi kwenda Fisiem Zaidi zaidi atasajiri chama kipya kitakuwa na nguvu Kuliko ata Chadema..
Siasa ni pesa bablai...
Awe na Pesa za kutosha au awe supported na Dola...

I dont see him anywhere
 
Hata chadema yote ikiwa ccm upinzani utaibuka tu kwa sababu upinzani ni ideology na sio chama.
Gentleman,
kwahiyo ndani ya chadema kuna Ideology ya Lisu, Ideology ya Lema na Kigaila, kuna Ideology ya John Mrema na kuna ile ya chairman Mbowe mwamba wa kaskazini right?🐒
 
Gentleman,
kwahiyo ndani ya chadema kuna Ideology ya Lisu, Ideology ya Lema na Kigaila, kuna Ideology ya John Mrema na kuna ile ya chairman Mbowe mwamba wa kaskazini right?🐒
Watu hao ni kina nani gentleman 🐒
 
Kwa nyie CCM mmaotamani Mbowe na Lissu wakorofishane ili CDM imeguke mtasubiri saana.
kwani wewe gentleman,

ukipima na kutazama vizuri pale chadema, unaona Lisu, Lema na Kigaila, John Mrema na Mbowe wanakorofishana kupitia vyombo vya habari na na mitandao ya kijamii?🐒
 
kwani wewe gentleman,

ukipima na kutazama vizuri pale chadema, unaona Lisu, Lema na Kigaila, John Mrema na Mbowe wanakorofishana kupitia vyombo vya habari na na mitandao ya kijamii?🐒
Hakuna mtu kamkorofisha mwenzake hapo. Ndugu wakikoromeana wewe chukua jembe nenda shambani kwako - maana wakipatana unaweza kuvishwa kanga.
 
Hakuna mtu kamkorofisha mwenzake hapo. Ndugu wakikoromeana wewe chukua jembe nenda shambani kwako - maana wakipatana unaweza kuvishwa kanga.
umejieleza vizuri kistaarabu sana gentleman.

keep it up 🐒
 
Friends, ladies and gentlemen.

Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi chadema wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?

Unadhani wa kwanza ataelekea wapi kwa mfano?

Na je,
Chadema inaelekea zama mpya.
Na kinachoendelea ni mwanzo wa mwisho wa Chadema au mwanzo wa Chadema mpya, na kivip?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe😂
 
gentleman,
mimi nahusikaje hapo kwa mfano,

sio mwanachadema, sijafanya press conference yoyote na wala sina maslahi yoyote kwenye songombingo hiyo ya hawa mafahali waliyoota mapembe dhidi ya ukimya na ustaarabu wa chairman wao?

wameamua mkumchezea sharubu hadharani kabisaa 🐒
 
Lissu hawezi kwenda CCM na wala hakuna ugomvi wa kumfanya atimke.

Ni mambo ya kuwekana sawa, kama ana hoja basi atasikilizwa na zitajadiliwa tatizo lipo wapi?

CDM kuna uhuru wa mwanachama kuongea kama anaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom