Kati ya wanawake 10, wanawake 6 wanaotumia madawa ya kulevya ni HIV positive

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.

Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya. Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.

Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.

20230217_131735.jpg

Note. Takwimu hizi zimewahusisha wanawake wanaotumia madawa ya kulevya/mihadarati. Lakini hii sampling bado inareflect hali halisi ya hata wale wasiyotumia mihadarati [emoji457]

=====

Mkuu wa Kitengo cha Afya ya Akili na Dawa za Kulevya kutoka Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, Dkt Francis Benedict amesema wanawake 6 kati ya 10 wanaojihusisha na matumizi wa dawa za kulevya wanamaambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.

Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.

Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.

Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
Ni kweli maambukizi yapo juu sana
 
Hizi takwimu zimetolewa na chanzo gani cha tafiti? Na ni kwa Mkoa upi au nchi gani au jamii gani (wanaojiuza au)?

Kama ni kwa wanaojiuza (Sexual workers) naweza kukubali ila tofauti na hapo hakuna maambukizi ya kiwango hiki duniani kote
 
Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.

Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.

Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.

Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350

Kwa mujibu wa video ni kati ya 10 wanaotumia madawa ya kulevya.

Maneno katika 10 wa wanaotumia madawa ya kulevya yanakosekana hapo.
 
Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.

Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.

Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.

Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
Safi sana.
 
Back
Top Bottom