Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti wa uongo huu.Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.
Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.
Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.
Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
ata kama, hizi data ni assumptions tu. Ina maana nyumba yenye wanawake 10, sita wana HIVKwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.
Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.
Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.
Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
Shauri ako na yule mrembo wako! ๐Daaa! sasa hivi ni mwendo wa kutembea na barometer mfukoni๐๐๐๐๐๐๐.
Fala huyo jamaa,itakua hajui hesabu au walikua wanapima malariaAmekosea sana, hivyo 60% ya wanawake wote Tanzania wana Virusi?
Maana yake ni kuwa Tanzania tuna idadi ya watu wanaoishi na Virusi zaidi ya Million 20.
La Haula!.
Abstain from sexual intercourse.Amekosea sana, hivyo 60% ya wanawake wote Tanzania wana Virusi?
Maana yake ni kuwa Tanzania tuna idadi ya watu wanaoishi na Virusi zaidi ya Million 20.
La Haula!.
Mashirika ya counseling ni mengi siku hizi.Kumeza vidonge Kila siku kunaitaji counseling ya Hali ya juu na kuukubali uhalisia otherwise....una give up mapema.....
Asilimia 90 wa wanawake wa Tz wana jiuza sema njia za kujiuza ndo tofauti.Hizi takwimu zimetolewa na chanzo gani cha tafiti? Na ni kwa Mkoa upi au nchi gani au jamii gani (wanaojiuza au)?
Kama ni kwa wanaojiuza (Sexual workers) naweza kukubali ila tofauti na hapo hakuna maambukizi ya kiwango hiki duniani kote
Kwa hiyo prevalence ni 60%Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.
Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.
Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.
Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
Yanafanya free service or...Mashirika ya counseling ni mengi siku hizi.
Hizo Arv zinauzwa?? Si buree au mimi sijui?Hakuna UKIMWI ni hadithu tu
Huo ugonjwa wa kutungwa haupo ni hoax tu ili mnunue dawa za ARV ili makampuni makubwa ya pharma yapige hela kwakuwa ukishaanza kutumia hizo dawa unakuwa kama teja
Mimi nimechakata mbususu nyingi na sijawahi tuwa na huo ugonjwa japo nimeshapima na kuambiwa niko nao.
Sababu kuu ukitema maji ya moto yenye mdudu ndani kabisa ya mbunye watakuwa wamefika na kufanya maskani!Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.
Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya.
Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.
Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
View attachment 2520350
Dar es salaam hilo jiji ni jehanamu ya Tanzania.Sina uhakika kuhusu hizo takwimu za ukimwi, Ila ukitembea na mwanamke wa Dar peku, kesho yake tegemea bomba kuwasha na ukikamua kidogo usaha mzito utatoka.
Ukiwa Mbagala epuka kabisa kuzama chumvini utapata tabu sana.