Kati ya wanawake 10, wanawake 6 wanaotumia madawa ya kulevya ni HIV positive

Kati ya wanawake 10, wanawake 6 wanaotumia madawa ya kulevya ni HIV positive

Hakuna UKIMWI ni hadithu tu

Huo ugonjwa wa kutungwa haupo ni hoax tu ili mnunue dawa za ARV ili makampuni makubwa ya pharma yapige hela kwakuwa ukishaanza kutumia hizo dawa unakuwa kama teja

Mimi nimechakata mbususu nyingi na sijawahi tuwa na huo ugonjwa japo nimeshapima na kuambiwa niko nao.
Hahahah we chuma
 
Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume
Kwa sababu ukilinganisha na wanaume, wanawake wengi sio wabishi. Wanakubaliana na mambo kirahisi kikikekike!

Kirusi chochote huwa ni kama dokezo kwamba fanya hivi kuna hali hii. Taarifa.
Mwanamke anakubaliana nayo.... mwanaume anakuwa mbishi matokeo yake tuvirusi tunawasumbuasumbua.
NB hii ni nadharia tu
 
Amekosea sana, hivyo 60% ya wanawake wote Tanzania wana Virusi?

Maana yake ni kuwa Tanzania tuna idadi ya watu wanaoishi na Virusi zaidi ya Million 20.

La Haula!.
Kwamba hujasoma kuwa ni wanaotumia madawa?
 
Mkuu kwa uslma siku hizo tunachakata waliopo kwenye ndoa , kwa sababu analindwa na mumewe na mimi[emoji3][emoji3]
Tatizo la wake za watu hawataki uvae kondom kisa eti yeye sio Malaya.
Kuna mmama mmoja mchaga alinigomea kabisa eti hawezi kuingizwa makaratasi. Kwa vile alishakula vyangu vingi nilijitosa.
 
Back
Top Bottom