Kwa nini wanawake ni vulnerable sana na HIV kuliko wanaume.
Kwanza nimeshangaa sana inawezekana hizi takwimu siyo sahihi kabisa. Mimi annunaki nafikiria Kati ya wanawake 10 basi 8 Wana waya. Hasa kwa jiji la Dar es salaam ambalo ni jehanamu ya Tanzania.
Vijana wote wa kike na kiume, chukueni tahadhari, ngoma ipo na inatembezwa na kusambazwa kwa kasi ya 5G.
Note. Takwimu hizi zimewahusisha wanawake wanaotumia madawa ya kulevya/mihadarati. Lakini hii sampling bado inareflect hali halisi ya hata wale wasiyotumia mihadarati [emoji457]
=====
Mkuu wa Kitengo cha Afya ya Akili na Dawa za Kulevya kutoka Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, Dkt Francis Benedict amesema wanawake 6 kati ya 10 wanaojihusisha na matumizi wa dawa za kulevya wanamaambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Wanawake mara nyingi
1. Hawana maamuzi ya kutumia kinga. 2. Wao mara nyingi wanachubuka wakati wa tendo.
3. Wanabaki na majimaji mengi na muda mrefu baada ya tendo.