Kati ya wanawake 10, wanawake 6 wanaotumia madawa ya kulevya ni HIV positive

Utafiti wa uongo huu.
 
ata kama, hizi data ni assumptions tu. Ina maana nyumba yenye wanawake 10, sita wana HIV
 
Amekosea sana, hivyo 60% ya wanawake wote Tanzania wana Virusi?

Maana yake ni kuwa Tanzania tuna idadi ya watu wanaoishi na Virusi zaidi ya Million 20.

La Haula!.
Fala huyo jamaa,itakua hajui hesabu au walikua wanapima malaria
 
Amekosea sana, hivyo 60% ya wanawake wote Tanzania wana Virusi?

Maana yake ni kuwa Tanzania tuna idadi ya watu wanaoishi na Virusi zaidi ya Million 20.

La Haula!.
Abstain from sexual intercourse.
 
Hizi takwimu zimetolewa na chanzo gani cha tafiti? Na ni kwa Mkoa upi au nchi gani au jamii gani (wanaojiuza au)?

Kama ni kwa wanaojiuza (Sexual workers) naweza kukubali ila tofauti na hapo hakuna maambukizi ya kiwango hiki duniani kote
Asilimia 90 wa wanawake wa Tz wana jiuza sema njia za kujiuza ndo tofauti.
 
Kwa hiyo prevalence ni 60%
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sina uhakika kuhusu hizo takwimu za ukimwi, Ila ukitembea na mwanamke wa Dar peku, kesho yake tegemea bomba kuwasha na ukikamua kidogo usaha mzito utatoka.
Ukiwa Mbagala epuka kabisa kuzama chumvini utapata tabu sana.
 
Shauri yenu ngoma isikie kwa mwenzio....binafsi namshukuru Mungu...lakin nikipiga hesabu ya madem nilio tembea nao aloo ni wengi....kikubwa ni umakin...mademu wanapigwa haswa
 
Kwani mnataka au mnaweza ishi milele. Acheni kutisha watu hapa.
Chapeni bana maisha yenyewe mafupi Haya
 
Hizo Arv zinauzwa?? Si buree au mimi sijui?
 
Sababu kuu ukitema maji ya moto yenye mdudu ndani kabisa ya mbunye watakuwa wamefika na kufanya maskani!
Mwanaume akichomoa na kuwahi kuoga kama alivyoelekeza kamanda Zuma anatoka safi....
 
Sina uhakika kuhusu hizo takwimu za ukimwi, Ila ukitembea na mwanamke wa Dar peku, kesho yake tegemea bomba kuwasha na ukikamua kidogo usaha mzito utatoka.
Ukiwa Mbagala epuka kabisa kuzama chumvini utapata tabu sana.
Dar es salaam hilo jiji ni jehanamu ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…