Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!
Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa
Karibuni kwenye mjadala...