Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!

Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa

Karibuni kwenye mjadala...
 
Mikia uwa wanasikilizia nani anaetakiwa na Yanga ili wamuwahi,hata huyu ntibanzokiza baada ya kusign pre-contract na Yanga,mikia walimfuata kwao burundi na ofa kubwa kuliko ile ya Yanga,kitu kizuri yule mchezaji anajielewa akawakatalia bila saa hizi angekua mchezaji wa mikia
 
Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!

Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa

Karibuni kwenye mjadala...
Ni vizuri wachezaji wa bongo wajikite zaidi kwenye kujifunza kupitia Saido na sio kushindana nae,

Mchezaji aliecheza Ligue 1, Netherlands premier Ligue, Poland, etc huwezi mfananisha na mchezaji alietoka Zimbabwe au zambia na kuja bongo
 
Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania

#jr
 
Ni vizuri mkawataja wachezaji wote wa nje waliosajiliwa na hizi timu tangu kuanzishwa kwake halafu ndio mfanye mlinganisho
 
Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania

#jr
Yanga ndio waliotuletea sarpong, yikpe, wachezaji ambao wanasubili mipila iliyokufa kama kalinos, Yanga ndio ilisajili wachezaji 12 kwenye msimu mmoja na kuwatema 9 msimu uliofuata.. unaongelea scouting gani mzee?
 
Hao kina yikpe na akina molinga unajua walinunuliwa bei gani,,
Automatically ni bei chee compared to simbas player ambao wananunuliwa kwa mamilioni na wanakuja kuwa vioja.Amini kama yanga angekuwa na cash ya maana hakika ungefurahia usajili murua .
 
Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania

#jr
ni kweli kabisa hata pale uto sajili zote msola kasimamia shoo
Hujui kuwa mo ni mwenyekiti wa bodi. ulitaka sajili asimamie baba mkwe wako. Idiot

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 
Ni vizuri wachezaji wa bongo wajikite zaidi kwenye kujifunza kupitia Saido na sio kushindana nae,

Mchezaji aliecheza Ligue 1, Netherlands premier Ligue, Poland, etc huwezi mfananisha na mchezaji alietoka Zimbabwe au zambia na kuja bongo
Watu wanataka matokeo mazuri na si Kingine.Uwe umetoka mbinguni au duniani kinachotakiwa ni ubingwa.unamsifu na kumfananisha mtu aliyecheza mechi moja.Akili za chura hizi.
 
Daaah
 
Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania

#jr

Haya tumekusoma mkuu
 
Watu wanataka matokeo mazuri na si Kingine.Uwe umetoka mbinguni au duniani kinachotakiwa ni ubingwa.unamsifu na kumfananisha mtu aliyecheza mechi moja.Akili za chura hizi.

Daah watani wa jadi mna vituko[emoji23][emoji23]
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO SIMBA

Kwa maoni yangu wenye √ ndiyo usajili bora, waliobaki ni magarasa

1.Wilker Da Silva
2.Gerson Fraga
3.Tairone
4.Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub
5.Rally Bwalya
6.Benard Morrison
7.Clatous Chota Chama √
8.Joash Achieng Onyango √
9.Francis Kahata
10.Chris Mutshimba Mugalu
11.Taddeo Lwanga (hatujamuona)
12.James Kotei√x
13 Nicolas Gyan
14.Zana Coulibaly
15.Agyei
16.Bukungu
17.Juuko Murshid
18.Pascal Wawa√
19. Emmanuel Okwi√
20.Asante Kwasi
21. Meddie Kagere√
22. Deo Kanda
23. Mwanjali√
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO YANGA

1. Farouk Shikalo
2. Papy Tshishimbi
3. Thaban Kamusoko
4. Haruna Niyonzima
5. Molinga
6. Kalengo
7. Patrick Sibomana
8. Herieter Makambo
9. Juma Balinya
10. Ntibazokinza
11. Mukoko Tonombe
12. Tuisila Kisinda
13. Lamine Moro
14. Yikpe
15. Yacouba Sogne
16. Benard Morrison
17. Amisi Tambwe
18. Sadney Urikhob
19. Kindoki
20.Chirwa
21.Ngoma
22. Rostand
23. Zulu mkata umeme
24. Eric Kabamba
25. Carlinhos
 
KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO SIMBA

Kwa maoni yangu wenye √ ndiyo usajili bora, waliobaki ni magarasa

1.Wilker Da Silva
2.Gerson Fraga
3.Tairone
4.Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub
5.Rally Bwalya
6.Benard Morrison
7.Clatous Chota Chama √
8.Joash Achieng Onyango √
9.Francis Kahata
10.Chris Mutshimba Mugalu
11.Taddeo Lwanga (hatujamuona)
12.James Kotei√x
13 Nicolas Gyan
14.Zana Coulibaly
15.Agyei
16.Bukungu
17.Juuko Murshid
18.Pascal Wawa√
19. Emmanuel Okwi√
20.Asante Kwasi
21. Meddie Kagere√
22. Deo Kanda
Kuwa bukungu na juko hawakufanya vizuri?
 
Back
Top Bottom