Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ni vizuri wachezaji wa bongo wajikite zaidi kwenye kujifunza kupitia Saido na sio kushindana nae,Kufuatia performance kali ya Saido Ntibazonkiza weekend pale Arusha, wana Yanga wameanza kusema huyo ndio mchezaji bora na hakuna wa kufanana nae kwenye VPL! Ikumbukwe amecheza mechi moja tu. Tuyaache hayo!
Hebu leo tukate mzizi wa fitna, kati ya watani wa jadi wa Kariakoo, timu ipi inaongoza kwa kusajili wachezaji wazuri hasa wa kigeni hapa bongo? Itapendeza ukitaja timu walau na baadhi ya hao wachezaji bora waliowahi kusajiliwa
Karibuni kwenye mjadala...
Yanga ndio waliotuletea sarpong, yikpe, wachezaji ambao wanasubili mipila iliyokufa kama kalinos, Yanga ndio ilisajili wachezaji 12 kwenye msimu mmoja na kuwatema 9 msimu uliofuata.. unaongelea scouting gani mzee?Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania
#jr
Hao kina yikpe na akina molinga unajua walinunuliwa bei gani,,Yanga ndio waliotuletea sarpong, yikpe, wachezaji ambao wanasubili mipila iliyokufa kama kalinos, Yanga ndio ilisajili wachezaji 12 kwenye msimu mmoja na kuwatema 9 msimu uliofuata.. unaongelea scouting gani mzee?
ni kweli kabisa hata pale uto sajili zote msola kasimamia shooMikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania
#jr
Watu wanataka matokeo mazuri na si Kingine.Uwe umetoka mbinguni au duniani kinachotakiwa ni ubingwa.unamsifu na kumfananisha mtu aliyecheza mechi moja.Akili za chura hizi.Ni vizuri wachezaji wa bongo wajikite zaidi kwenye kujifunza kupitia Saido na sio kushindana nae,
Mchezaji aliecheza Ligue 1, Netherlands premier Ligue, Poland, etc huwezi mfananisha na mchezaji alietoka Zimbabwe au zambia na kuja bongo
Ni vizuri wachezaji wa bongo wajikite zaidi kwenye kujifunza kupitia Saido na sio kushindana nae,
Mchezaji aliecheza Ligue 1, Netherlands premier Ligue, Poland, etc huwezi mfananisha na mchezaji alietoka Zimbabwe au zambia na kuja bongo
Simba wana tatizo la kusajili wanaotakiwa na Yanga
Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania
#jr
Timu inayofanya vizuri ndio imefanya sajiri nzuri, chukue record ya miaka kadhaa nyuma mpaka sasa, i hope utapata jibu.
Watu wanataka matokeo mazuri na si Kingine.Uwe umetoka mbinguni au duniani kinachotakiwa ni ubingwa.unamsifu na kumfananisha mtu aliyecheza mechi moja.Akili za chura hizi.
Kuwa bukungu na juko hawakufanya vizuri?KWA MISIMU YA HIVI KARIBUNI HAWA WAMEPITA/WAPO SIMBA
Kwa maoni yangu wenye √ ndiyo usajili bora, waliobaki ni magarasa
1.Wilker Da Silva
2.Gerson Fraga
3.Tairone
4.Sharaf Eldin Ali Abdulrahman Shiboub
5.Rally Bwalya
6.Benard Morrison
7.Clatous Chota Chama √
8.Joash Achieng Onyango √
9.Francis Kahata
10.Chris Mutshimba Mugalu
11.Taddeo Lwanga (hatujamuona)
12.James Kotei√x
13 Nicolas Gyan
14.Zana Coulibaly
15.Agyei
16.Bukungu
17.Juuko Murshid
18.Pascal Wawa√
19. Emmanuel Okwi√
20.Asante Kwasi
21. Meddie Kagere√
22. Deo Kanda
Toa maoni yako na weweKuwa bukungu na juko hawakufanya vizuri?