Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

Kwani anayesajili yanga ni msola km Simba MO ni shida Bora Simba MO amefikia level ya kuwa sehemu ya timu kuliko GSM
 
Hapa labda aje shabiki wa azam kuchangia, kila shabiki wa timu husika atapigia debe timu yake
 
Tofautisha mafanikio ya team na mafanikio ya individual, mafanikio ya team au ubola wa team upo katika ku win makombe, mafanikio ya individual ni hizo award.
 
Mwenye takwimu za sajili zote za simba na yanga aweke ndio itakuwa vizur kujua usajili bora
1. Assist
2. Goals
3. Saving/ crean sheet
4. Free ckick goal
5. Scoring frequency( in minute)
6. Big chance missed
7. Big chance creat
8. Pass per game
Bila kusahau red card and yellow card

Nje na hapo ni uswahili na mahaba
 
Vincent Bosou (sijui kama spelling ziko sawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…