Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

Kati ya Yanga na Simba, Timu ipi imekuwa ikifanya sajili nzuri za wachezaji?

Mikia bila Mo ni weupe sana katika suala zima la usajili.
Yanga anamaono katika sajili zake.Ananunua mchezaji wa kawaida baadae anaibuka kuwa star kiasi kwamba mikia wanamtolea macho.
Lamine Molo mara ya kwanza alibezwa sana na mikia but baada ya muda wanamtaka kwa hali na mali.
Mirisson vile vile
Nk nk nk
Lakini mikia wanatumia hela nyingi kununua majina ambayo kimsingi hawana manufaa,mfano usajili wa Kahata,Ochieng,Morrison,Kamagi nk nk nk
So simba wana poor scouting team compared to Dar es salaam young african tanzania

#jr
Kwani anayesajili yanga ni msola km Simba MO ni shida Bora Simba MO amefikia level ya kuwa sehemu ya timu kuliko GSM
 
Hapa labda aje shabiki wa azam kuchangia, kila shabiki wa timu husika atapigia debe timu yake
 
Mkuu Olunga amechukua kiatu cha dhahabu katika ligi ambayo timu yake imeshika nafasi ya saba.huwezi sema usajili wake ulikuwa mzuri kwa sababu tu timu haijachukua ubingwa?maana hapa tunaongelea baadhi ya wachezaji wa kigeni (kumbuka ubingwa unahusisha wazawa pia)waliosajiliwa wakafanya vizuri.
Tofautisha mafanikio ya team na mafanikio ya individual, mafanikio ya team au ubola wa team upo katika ku win makombe, mafanikio ya individual ni hizo award.
 
Mwenye takwimu za sajili zote za simba na yanga aweke ndio itakuwa vizur kujua usajili bora
1. Assist
2. Goals
3. Saving/ crean sheet
4. Free ckick goal
5. Scoring frequency( in minute)
6. Big chance missed
7. Big chance creat
8. Pass per game
Bila kusahau red card and yellow card

Nje na hapo ni uswahili na mahaba
 
Kwa list hii wachezaji ambao wameleta positivity kwa timu moja kwa moja ni.Amisi tambwe,Yacouba,Lamine,Morrison,Kisinda,Mukoko,Makambo,Tshishimbi,Haruna,Kamusoko,Chirwa,Ngoma,Saidoo(profile na alivyoanza)Ambao wanajikongoja na hatujajua kitakachotokea ni Carlinhos(-6 matches,kachangia 4 goals).waliobaki ni wafeliji tu.
Vincent Bosou (sijui kama spelling ziko sawa)
 
Back
Top Bottom