Habari,
Nia aibu kuona leo hii Waafrika wanawakana MABABU /MABIBI zao kwa kigezo cha yesu wa biblia na muhamad wa biblia wakati walioanzisha biblia na quruan bado wanaenzi tamaduni zao kwa kuwaenzi na kuwaabudu yesu/adam na muhamadi.
Ebu WAAFRIKA jitafakarini kwa akili zakulishwa na kuchanganya na akili zenu za asili juu ya hili kwani asili ya MWAFRIKA yoyote siyo MWANADAMU bali ni MTU.