Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,394
Reaction score
13,476
Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama.

Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua anaikatikia huku kanipa mgongo kwa maana kwamba nikawa naona nyayo zake, aisee sikuamini zile nyayo zilikua kama ngozi ya chui yaani ni madoti madoti hatari.

Nikakaa kimya ila ilikua turnoff sana kwangu.

Huwezi amini leo ndio naconnect dots na nmeelewa baada ya Cherry kumpopoa dem mwenzie dotto.

Kizuri nilitumiaga condom aisee yangekua mengine leo hii
 
Screenshot_20260727-153209~2.jpg


Sumu za ARV zinatoka kwenye unyayo wa miguu. Mpaka kuna pads za zakufyonza sumu na taka taka zote.
 
Wabongo tuna tabia ya kuhusisha kila kitu cha ajabu na code za siri za mtandaoni. Medically, kuna kitu kinaitwa plantar warts (sugu zinazosababishwa na virusi vya HPV) au fangasi sugu za miguuni ambazo huwa zinatengeneza vipele vigumu na vyeusi kwenye nyayo.

Kwa upande wa waathirika, mostly huwa wanatokewa na hiyo hali baada ya kuanza kumeza vidonge siyo kabla.
 
Back
Top Bottom