FaizaFoxy, bila kujigeuza kuwa mfanyakazi wako naomba nikuhakikishie I know what I am talking about. Muswada wa kuruhusu wakuu wa wilaya/mikoa kusimamia nidhamu ya mahakama ilikuwa ni makosa. Huwezi kuruhusu mhimili mmoja kuingilia kazi za mhimili mwingine hili ni kinyume kabisa na dhana ya separation of powers. Na ndio ilikuwa chimbuka la Lissu kupingwa, Zitto akasaidi lakini mwisho wa siku Spika alihoji wabunge wengi wakasema ndio sheria ikapita.
Una uhakika kwamba barabara ya Mayamaya Dodoma ina urefu wa km 11,600?? bila shaka umeangalia ITV kwa makengeza, ama hujui jiografia ya nchi hii!
Ona huyu naye sijui kakurupushwa na nani, hapa sio uwanja wa ku-propagate udini wa gerezani, ebo!!
Hivi ndio fikra zako kuwa Rais hatousaini? umepotea step.
Muswada hauna tatizo, hao wenzako wanatafyta umaarufu tu, hawana pakutokea walisha kosea sasa hawataki kuoneka mambumbumbu. Maana kuna usomi w mwanasheria fulani ulikuwa questioned sana. Huwezi kama mwanasheria kweli kweli ukatowa maoni ya upinzani kuhusu muswaada halafu wakati unaanza kujadiliwa ujidai huutaki unasusa, huo ni upunguani.
"Kilomita 11,600 wakati huu wa Kikwete Tanzania nzima"
Soma na hapo ulipoacha kupawekea rangi nyekundu, umezowea kuchakachuwa, hapa huwezi unaonekana ni wakuja tu.
Na Nyerere aliporuhusu wajumbe wa nyumba kumi waamuwe kesi za watu nani alithubutu kunyanyuwa hata mdomo?
Mkuu hicho kipande nilicho ki highlight unaweza kuthibitisha mbunge huyo ni nani ama tunaweza kupata hotuba nzima ya bunge siku hiyo...
Jambo lingine ambalo Mushi lazima ulielewe ni kwamba kitendo cha Chadema kutoka nje ya ukumbi wa bunge kupinga mswaada kimeuathili sana mswaada mzima kwa maana the whole world is watching kwa kitendo chao walichokifanya.
Binafsi naamini kuwa endapo CDM wangekubali kupitia mlango wa 86 kama Pasco alivopendekeza hilo ndio lingekuwa kaburi lao maana CCM wangesema umeleta hoja yako ukasikilizwa na spika akaamuru kura hoja yako imeanguka na sasa unalazimisha hoja mara baada ya kushindwa kwenye kura.
Lakini kwa kitendo chao cha kukataa kushiriki kimewapa political cover ya kwenda kokote wanakotaka na huenda kama wangepitiakifungu hicho cha 86 na kushindwa huenda JK angekataa kukutana nao na angesema malalamiko yenu yalisikilizwa na spika kura zikapigwa mkashindwa kwao mnanipoteea muda.
Magobe T, hili la kushindwa kuchukua hatua kwa kuogopa defeat, kwangu ni udhaifu!, wangechukua hatua, washindwe na Watanzania katika umoja wetu tungesimama nao!.
Sasa mkuu wewe ndo umegeuka sheick yahya kabisa?Mkuu,
Wewe ni mtu pekee ambaye umeweza kufikiri na kuona upande wa pili wa maneno ya Pasco.
Narudia tena, ni mtu pekee. Nafikiri mjadala ungelibaki kuwa kati ya maneno yako VS maneno ya Pasco.
Hii habari yako ilifaa sana kuwa inajitegemea au niseme imekuja ikiwa imechelewa.
Yes, kuna uwezekano mkubwa sana kuwa kama wangeliweka pingamizi na kushindwa, basi wasingelipata pa kutokea na kila sehemu ambayo wangelienda, wangeliambiwa wao ndiyo wanataka kutumia mabavu kwa kulazimisha.
Sasa hivi wanatumia UMBUMBUMBU wa Spika kuonyesha jinsi ambavyo wananyanyaswa. Hii kitu inaweza hata siku moja ikamrudi Spika. Sijui kama Tundu Lisu/Marandu walikaa na kulipanga hili. Walimchokonoa Spika na akachukia na baada ya hapo, kaanza kufanya vitu bila kufuata kanuni. Mchezo umekwisha na wanashangilia ushindi, ingawa kusema ukweli hii ngoma bado kabisa ni mbichi. Yetu macho.
Hapa ndugu Pasco labda utusaidie maanake ushahidi huu unamweka Spika mahala pabaya zaidi kulingana na jinsi Pasco alivyotujuza huko nyuma..Maanake kila ulichoandika hapa kinaonyesha wazi juhudi za kuvunja majadiliano ya muswada huo yalifanyika kulingana na kanuni za bunge lakini Spika alipuuza..Baada ya kuwa nimekutana na eyewitness ili ku'verify' nilichosema, alinieleza hivi:
1. Kabla ya Waziri wa Katiba na Sheria kusoma hotuba yake, Mnyika aliomba mwongozo wa Spika akitaka bunge liahirishe mjadala wa Muswada wa mchakato wa kupata maoni ya wananchi kuhusu utungani wa Katiba mpya.
2. Spika alipuuza mwongozo wa Mnyika na kumwita waziri asome hotuba yake.
3. Waziri Kombani alipomaliza, mbunge wa NCCR-Mageuzi Machali aliomba mwongozo wa Spika pia. Lakini Spika akapuuza na kumwita Mnajimu Mkuu wa Kambi ya Ushindani Tundu Lissu ili asome hotuba yake.
4. Baada ya Tundu Lissu kumaliza hotuba yake, Mnyika aliomba tena mwongozo wa Spika. Kama kawaida yake Spika akapuuza na kuruhusu wachangiaji waanze kuchangia.
5. Kwa kuona hilo, wabunge wa Chadema na NCCR-Mageuzi wakaona ni vizuri watoke nje kuliko kutumiwa ili waupitishe Muswada wenye utata.
Mkuu Mkandara, Mjadala huu tumeshaufunga kilichobaki ni kuendelea tuu kuelimishana kuhusu kanuni.Hapa ndugu Pasco labda utusaidie maanake ushahidi huu unamweka Spika mahala pabaya zaidi kulingana na jinsi Pasco alivyotujuza huko nyuma..Maanake kila ulichoandika hapa kinaonyesha wazi juhudi za kuvunja majadiliano ya muswada huo yalifanyika kulingana na kanuni za bunge lakini Spika alipuuza..
Mkuu naomba subira yako..mimi nataka kujiifunza achana hao wanaotaka kubishana tuu ili mradi kufurahisha baraza..Swala hili sio la CDM wala CCM sasa hivi lipo mikononi mwangu mimi kama raia na kujaribu kuelewa haswa hizi kanuni za bunge..Mkuu Mkandara, Mjadala huu tumeshaufunga kilichobaki ni kuendelea tuu kuelimishana kuhusu kanuni.
1. Mijadala ya bunge inaendeshwa kwa kanuni.
2. Hoja zote rasmi zinawasilishwa kwanza kwa spika kwa maandishi ndipo zinakuja kusomwa. Hata yale maswali yalishawasilishwa kwanza ofisi ya spika kwa maandishi. Na yale majibu pia yako kwa maandishi.
3. Mbunge yoyote mwenye hoja, ataiwasilisha kwa spika kwa maandishi.
4. Mpaka ninapoandika hapa, hakuna hoja yoyote ya kuhusu pingamizi iliyowasilishwa kwa maandishi kwa spika!.
5. Kanuni ya 86 inamuamuru spika asipokee hoja yoyote swali lolote wala kutoa muongozo wowote isipokuwa 86.3. Hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa hivyo alikuwa right kukataa kila aliyetaka kuzungumza.
6. Hotuba ya TL aliiwasilisha kwa mujibu wa 86.6 ambayo ni maoni ya kambi ya upinzani. Kwenye maoni hayo ndipo akaweka na pingamizi mumo kwa mumo.
7. Maoni ni maoni, na pingamizi ni pingamizi!. Kanuni inasema pingamizi ikiwasilishwa kwa mujibu wa 86.3, Bunge litasitisha mchakato, kusikiliza pingamizi na bunge kupiga kura kuhusu kupitisha pingamizi hilo au kutopitisha.
8. Kwa vile ofisi ya spika ilishapewa hotuba ya TL in advance, na ikaona kuwa imechanganya maoni na pingamizi, ingekuwa ni enzi za SS wangetengua kanuni na kusikiliza pingamizi lililowasilishwa kama sehemu ya maoni. Hapa lazima tumkumbuke yule mzee wa kasi na viwango, Speed & Standards, SS.
9. Kanuni inaelekeza baada ya TL kuwasilisha maoni, majadiliano huanza bila kupokea hoja nyingine yoyote, swali au muongozo wowote!.
10. Namalizia kwa msisitizo, HAKUNA PINGAMIZI LOLOTE, LILILO WASILISHWA NA YEYOTE KUUPINGA MUSWADA HUO!. Alichowasilisha TL ni maoni na sio pingamizi!.
Mkuu Mkandara, Mjadala huu tumeshaufunga kilichobaki ni kuendelea tuu kuelimishana kuhusu kanuni.
1. Mijadala ya bunge inaendeshwa kwa kanuni.
2. Hoja zote rasmi zinawasilishwa kwanza kwa spika kwa maandishi ndipo zinakuja kusomwa. Hata yale maswali yalishawasilishwa kwanza ofisi ya spika kwa maandishi. Na yale majibu pia yako kwa maandishi.
3. Mbunge yoyote mwenye hoja, ataiwasilisha kwa spika kwa maandishi.
4. Mpaka ninapoandika hapa, hakuna hoja yoyote ya kuhusu pingamizi iliyowasilishwa kwa maandishi kwa spika!.
5. Kanuni ya 86 inamuamuru spika asipokee hoja yoyote swali lolote wala kutoa muongozo wowote isipokuwa 86.3. Hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa hivyo alikuwa right kukataa kila aliyetaka kuzungumza.
6. Hotuba ya TL aliiwasilisha kwa mujibu wa 86.6 ambayo ni maoni ya kambi ya upinzani. Kwenye maoni hayo ndipo akaweka na pingamizi mumo kwa mumo.
7. Maoni ni maoni, na pingamizi ni pingamizi!. Kanuni inasema pingamizi ikiwasilishwa kwa mujibu wa 86.3, Bunge litasitisha mchakato, kusikiliza pingamizi na bunge kupiga kura kuhusu kupitisha pingamizi hilo au kutopitisha.
8. Kwa vile ofisi ya spika ilishapewa hotuba ya TL in advance, na ikaona kuwa imechanganya maoni na pingamizi, ingekuwa ni enzi za SS wangetengua kanuni na kusikiliza pingamizi lililowasilishwa kama sehemu ya maoni. Hapa lazima tumkumbuke yule mzee wa kasi na viwango, Speed & Standards, SS.
9. Kanuni inaelekeza baada ya TL kuwasilisha maoni, majadiliano huanza bila kupokea hoja nyingine yoyote, swali au muongozo wowote!.
10. Namalizia kwa msisitizo, HAKUNA PINGAMIZI LOLOTE, LILILO WASILISHWA NA YEYOTE KUUPINGA MUSWADA HUO!. Alichowasilisha TL ni maoni na sio pingamizi!.
Magobe, hili nalo neno!. Bunge ndilo linalotunga sheria, Mahakama ndiyo inayotafsiri sheria. Bunge lilitinga sheria ya kuzuia mgommbea binafsi. Mahakama ikatoa hukumu sheria hiyo inapingana na uhuru wa kwenye katiba. Serikali ikapeleka marekebisho ya katiba, ukiukwaji huo wa haki za msingi za binaadamu ukaingizwa rasmi kwenye Katiba, Mahakama Kuu ikaamuru kipengele hicho kiwe scraped off, Serikali ikakata rufaa kuwa Mahakama haina uwezo wa kuliamuru bunge!. Kanuni za bunge zinapingika mahakamani. Soma mwanzo wa hiyo 86.1,Pasco, hivi kuna kanuni ya bunge inayoweza kukiuka ibara ya 18 ya Katiba? Afer all, kuna ibara kwenye Katiba inasema sheria yoyote inayopingana na Katiba inakuwa batili. Sasa kwa jambo kubwa kama la Katiba sidhani kama kanuni inayopingana na Katiba ina'prevail'.
Mkuu Mkandara, anayeleta hoja ya pingamizi, hupelekwa kwanza kwa spika kwa maandishi, hivyo hapo baada tuu ya hoja ya serikali, Mbunge atasimama na kutamka maneno yale, Spika atausimamisha mchakato na kusikiliza pingamizi. Kwa vile hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa kwa spika, wote ambao spika aliwazuia, amewazua kwa mujibu wa kanuni 86.1.Pasco,
Pale nilipoweka nyekundu (Unless) ni wakati gani na kwa utaratibu gani mtu akitaka kuyasema ya kifungu cha A au B...hutumika toka kanuni hii:-
(3) Haitakuwa halali katika hatua hii kuleta hoja ya kufanya
mabadiliko katika hoja isipokuwa tu kwamba:- ( Kanuni inatamka wazi kuweka zuio kwa spika kuruhusu hoja yoyote, hivyo alikuwa right kumzuia Mnyika, Kafulila au yoyote, unless otherwise hii inayofuatia,
(a) mabadiliko bila kutoa sababu yanaweza kutolewa
kwa kusema:
Kwamba, Muswada huu usisomwe mara ya Pili
sasa na badala yake usomwe baada ya ..
kuanzia .., na hapo muda ambao Muswada
huo unaokusudiwa kusomwa utatajwa.
Hapa ndipo ulipopotea Mkuu Mkandara, hapa hapano hoja kwangu kwa vile hili ni pingamizi tuu la kuomba bunge liusiupokee muswada husika siku hiyo na badala yake kuomba liupokee siku nyingine, kwa case yetu, this is immaterial.
(b) mabadiliko yenye kutoa sababu yanaweza
kutolewa kwa kusema:
Kwamba, Bunge hili likatae Muswada huu
Kusomwa
Mara ya Pili kwa sababu zifuatazo ., na hapo
sababu za kupinga Muswada Kusomwa Mara ya
Pili zitatajwa kwa ukamilifu.
Pasco, hivi kuna kanuni ya bunge inayoweza kukiuka ibara ya 18 ya Katiba? Afer all, kuna ibara kwenye Katiba inasema sheria yoyote inayopingana na Katiba inakuwa batili. Sasa kwa jambo kubwa kama la Katiba sidhani kama kanuni inayopingana na Katiba ina'prevail'.
Labda sijaelewa vizuri, kanuni za bunge ni sheria au si sheria? kama ni sheria, uhuru wa kutoa mawazo uko granted.... as long as hakuna ukiukwaji wa sheria zilizopo. Unaweza kutoa mawzo yako, ila usikuke sheria.Pasco, hivi kuna kanuni ya bunge inayoweza kukiuka ibara ya 18 ya Katiba? Afer all, kuna ibara kwenye Katiba inasema sheria yoyote inayopingana na Katiba inakuwa batili. Sasa kwa jambo kubwa kama la Katiba sidhani kama kanuni inayopingana na Katiba ina'prevail'.