Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

Pasco,

..tatizo ni kwamba CDM wana wabunge wachache mno.

..Lissu hata angewasilisha pingamizi bado wangeshindwa na nguvu ya wingi wa kura za CCM.

..nasema hivyo kwasababu sidhani kama hoja za kwenye hilo pingamizi zingekuwa tofauti na kile kilichokuwemo kwenye hotuba ya Lissu.

..Labda utuambie, kwanini unafikiri CCM na CUF ambao walipinga[ na matusi juu ]hoja zote za Lissu ktk hotuba yake, wangemuunga mkono ktk pingamizi.
Joka Kuu, kama pingamizi lingewasilishwa, lisingekuwa kama ile hotuba ya maoni, pingamizi lingeandamana na sababu zenye ushahidi. Kile kitendo tuu cha bunge, kusimamisha kila kitu na kusikiliza pingamizi, peke yake, ingewaweka wabunge wa CCM kutozungumza utumbo waliochangia siku ile!.
  1. Pingamizi lingeonyesha with evidence, huo ni muswada mpya na sio ule wa awali na kuonyesha kipengele kwa kipengele.
  2. Pingamizi lingeonyesha hakuna kikao chochote cha kamati ya sheria na katiba kilikaa popote kukusanya maoni yoyote baada ya ule uborongaji wa Karimjee, Mabomu ya machozi Dodoma na Kuchanwa chwa kwa muswada Zanzibar.
  3. Pingamizi liongeonyesha hakuna ushahidi wa kumaandishi kuthibitisha hakuna marekebisho toka kwenye kamati kwenda serikalini, hii ingethibitisha serikali imejitungia marekebisho.
  4. Kwa vile hati ya dharura ilishaondolewa, pingamizi lingeonyesha hakukuwepo matangazo mara mbili kwenye gazeti la serikali kabla ya kupewa rasimu hiyo.
  5. Pingamizi lingeonyesha, wabunge hawakupewa rasimu kuipitia wiki 3 kabla ya kikao.
Hoja hizo na ushahidi wake, ungewasilishwa bungeni, nakuhakikishia, wabunge wasingeupitisha wangejiona ni sehem u sio tuu ya upuuzi wa` serikali, bali madudu ya serikali kwenye jambo la msingi kuliko jambo lingine lolote. CCM ingewaunga mkono pingamizi na lingepigwa chini, na sio mara moja wala mbili miswada ya serikali, imepigwa chini!.

Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uiongie ucheze, ukitaka kuvuka mto, unatanguliza mguu kupima kina na kasi ya maji ndipo unavuka, na maji ukiyavulia nguo, huna budi kuyaoga. Zile juhudi zote za wanaharakati, na kelele za Chadema kuwa wataupinga muswada huo, kumbe zilikuwa kelele tuu za mlango, hakuna pingamizi lolote lililo wasilishwa!.
 
Pasco, kwanini CCM hawakutoa pingamizi kwa kutumia kifungu kile kile? Unataka kutuambia kuwa mapungufu ya mswada ule yalikuwa wazi kwa watu wengine wote isipokuwa wabunge wa CCM?
 
Wanabodi, kama ni elimu hii imetosha, tusiendelee kujadili nini hakikufanyika, muswada lazima usainiwe by Jumatano ili Alhamisi, uanze kutumika. Chadema ambao hawamtambui rais, wanamtafuta kumuomba asiusaini, kwa jeuri, atausani kwanza, halafu ndipo atazungumza nao, na kuwapatia kopy kabisa yenye handwriting yake!.

Nilisema humu na nasema tena, na tena na tena, ukishasainiwa, hakuna yeyote mwenye kuweza kufanya chochote, bali ni kupa tuu hiyo tume ushirikiano!.
 
Unaposema mjadala uishe na kwamba mswada lazima utasainiwa ina maana umeshinda mjadala huu ama umeshindwa kwa hoja?
 
,
Mzee Mwanakijiji, na wewe umerudi?, si tumeshaufunga huu mjadala na sasa ni kuelimishana tuu, naamini, wewe unaijua kanuni vilivyo, wala sitaki kuamini nawe umerudi ili kuelimika, labda tuu kama ni kendeleza ubishi.

Hivi Mzee Mwanakijiji, unafikiri CCM ina wabunge makini sana!, no, CCM ina wabunge wacheche tuu makini, walio wengi ni magarasa kabisa, wengi ni makapi ambayo hata ukamue vipi hakuna kitu!. Kabla ya miswada kupitishwa, kwa vile huu ni muswada wa serikali ya CCM, lobbying imefanya kupitia party caucases kuupitisha, lakini hawana hili wala lile ndio maana wakati wa kuchangia, waliotoa hoja kuuboresha ni wachache sana, wengine walikuwa wakutoa utumbo ule usikia, ukiwa ni uthibitisho vichwani hamna kitu kabisa!.

Kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, amini nakuambia, wabunge wakipimwa akili, utakuta kuna wengi kweli ni vichaa, tena wengine na Ph.D zao, unawza kushangaa walizipataje, ila ukichaa unaweza kukutokea at any stage!.

Pingamizi lingetolewa, lingewafungua macho vilaza wale, na wasingekubali kuupitisha upuuzi ule!.

Nasisitiza, kutowasilishwa pingamizi, was a mistake, ila sio kosa la Chadema, wala TL, matokeo ndio haya, muswada umepita, sheria inasainiwa, Tuipe ushirikiano tume ya kukusanya maoni!.
Nakuomba usiniulize hao makini wachache wa CCM kwanini hawakuupinga!.

Nakumbushia mjadala tulifunga, naomba tusiulizane zaidi.

Asanteni.
 
Jmushi, hapa hatukuwa na mashindano, hakuna aliyeshinda wala aliyeshindwa!. Hoja zangu kuu zile tatu zinasimama na ushauri wangu umeanza kutekelezwa, na ukishasainiwa, unamalisikiua kutekelezwa.

Hoja yangu kuu ya msingi ni kuwa, kwa nini hawakuupinga muswada ule, hili nililiuliza la TL na kuwalaumu Chadema. Kupitia hoja za Mzee Mwanakijiji, nikakubali Chadema sio wa kulaumiwa, ila ukweli unabaki kuwa MUSWADA HAUKUPINGWA!. Nikasema ita a mistake!. Hoja hii inasimama.

Kwa vile haukupingwa, umepitishwa kiulani bila michango muhimu ya wenzetu, nikasema hatimaye sheria imetungwa bila imputs muhimu sana, nikasema this is a loss. Hii pia bado inasimama,

Zile hoja zangu nyingine kuhusu Chadema defeat na kuomba radhi, zimekuwa defeated hivyo nimekubali.

Hoja ya mwisho ni ile ya kuwaambia wapinzani muswada kukubali, yaishe, tusonge mbele, Chadema wamekubali yaishe, wanatafuta suluhu kwenye meza ya mazungumzo, by the time, wanakaa, muswada ulishasainiwa na kwenye kikao hicho, watapewa peremende, watatoka na kuambiwa japo nimeshausaini, hoja zetu zote za katiba zileteni kwenye kamati, tutazipa preferential treatment, na watakubali, na kutekeleza lile la mwisho la kuipa tume ushirikiano wa kutosha, tupate katiba nzuri.

J mushi, naomba usiendeleze udadisi wamkuchagiza mjadala, tulishaufunga tangu jana.
Unaonyesha wewe ulipokuwa primary ulikuwa ni miongoni mwa wale wanaaongoza kuchota mchanga na kuwaambia wenza puta..puta ili ndondi zianze!
 
,
Mzee Mwanakijiji, na wewe umerudi?, si tumeshaufunga huu mjadala na sasa ni kuelimishana tuu, naamini, wewe unaijua kanuni vilivyo, wala sitaki kuamini nawe umerudi ili kuelimika, labda tuu kama ni kendeleza ubishi.

Hivi Mzee Mwanakijiji, unafikiri CCM ina wabunge makini sana!, no, CCM ina wabunge wacheche tuu makini, walio wengi ni magarasa kabisa, wengi ni makapi ambayo hata ukamue vipi hakuna kitu!. Kabla ya miswada kupitishwa, kwa vile huu ni muswada wa serikali ya CCM, lobbying imefanya kupitia party caucases kuupitisha, lakini hawana hili wala lile ndio maana wakati wa kuchangia, waliotoa hoja kuuboresha ni wachache sana, wengine walikuwa wakutoa utumbo ule usikia, ukiwa ni uthibitisho vichwani hamna kitu kabisa!.

Kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, amini nakuambia, wabunge wakipimwa akili, utakuta kuna wengi kweli ni vichaa, tena wengine na Ph.D zao, unawza kushangaa walizipataje, ila ukichaa unaweza kukutokea at any stage!.

Pingamizi lingetolewa, lingewafungua macho vilaza wale, na wasingekubali kuupitisha upuuzi ule!.

Nasisitiza, kutowasilishwa pingamizi, was a mistake, ila sio kosa la Chadema, wala TL, matokeo ndio haya, muswada umepita, sheria inasainiwa, Tuipe ushirikiano tume ya kukusanya maoni!.
Nakuomba usiniulize hao makini wachache wa CCM kwanini hawakuupinga!.

Nakumbushia mjadala tulifunga, naomba tusiulizane zaidi.

Asanteni.
Pasco,mjadala unafungwa kama mods watakuwa wameufunga na kuwa kwenye status ya "closed"

Kama unaona hivyo si uache tu wengine wachangie?

Ama la,mwombe mod ai close badala ya hivi unavyofanya.
 
Good pasco kuna hoja ya msingi hapo, tusisukumwe na upepo tu reasoning pia ni muhimu even though democrasia ya bunge letu ipo ICU,
 
,
Mzee Mwanakijiji, na wewe umerudi?, si tumeshaufunga huu mjadala na sasa ni kuelimishana tuu, naamini, wewe unaijua kanuni vilivyo, wala sitaki kuamini nawe umerudi ili kuelimika, labda tuu kama ni kendeleza ubishi.

Hivi Mzee Mwanakijiji, unafikiri CCM ina wabunge makini sana!, no, CCM ina wabunge wacheche tuu makini, walio wengi ni magarasa kabisa, wengi ni makapi ambayo hata ukamue vipi hakuna kitu!. Kabla ya miswada kupitishwa, kwa vile huu ni muswada wa serikali ya CCM, lobbying imefanya kupitia party caucases kuupitisha, lakini hawana hili wala lile ndio maana wakati wa kuchangia, waliotoa hoja kuuboresha ni wachache sana, wengine walikuwa wakutoa utumbo ule usikia, ukiwa ni uthibitisho vichwani hamna kitu kabisa!.

Kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, amini nakuambia, wabunge wakipimwa akili, utakuta kuna wengi kweli ni vichaa, tena wengine na Ph.D zao, unawza kushangaa walizipataje, ila ukichaa unaweza kukutokea at any stage!.

Pingamizi lingetolewa, lingewafungua macho vilaza wale, na wasingekubali kuupitisha upuuzi ule!.

Nasisitiza, kutowasilishwa pingamizi, was a mistake, ila sio kosa la Chadema, wala TL, matokeo ndio haya, muswada umepita, sheria inasainiwa, Tuipe ushirikiano tume ya kukusanya maoni!.
Nakuomba usiniulize hao makini wachache wa CCM kwanini hawakuupinga!.

Nakumbushia mjadala tulifunga, naomba tusiulizane zaidi.

Asanteni.

Mimi nilidhani tumeufunga lakini umeendeleza kwa sababu umerudia mambo yale yale ambayo niliamini tumekubaliana. Nimerudi kwa sababu haujataka kukubali kuwa hoja yako imekosewa japo inavutia. Sasa ukiendelea kudai vitu vile vile inabidi turudi tuvipime tena. Kama mjadala umeisha maana yake uishe ukiwa umeisha. Hauwezi kwisha huku unaendelea kudai vitu vile vile na kuviendeleza. Kama hujaridhika tunaweza tukaendelea kusexplore haya ambayo unaendelea kuyadai ili hatimaye tuweze kufikia muafaka wa kweli.

Sasa unapodai kuwa CCM wabunge wachache makini ndio hao ninaowaulizia kwanini hawa makini wa CCM hawakupinga huu mswada. Forget about makapi - ulitolea mfano wa Deo Filikunjombe kama mmoja wa wabunge makini - je aliupitisha huu mswada na kwanini hakuupinga? Hakuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyeweka pingamizi kuzuia mswada usipite, kwanini?
 
Pasco, kwanini CCM hawakutoa pingamizi kwa kutumia kifungu kile kile? Unataka kutuambia kuwa mapungufu ya mswada ule yalikuwa wazi kwa watu wengine wote isipokuwa wabunge wa CCM?
Mzee wangu huko kotew tumeisha toka, tunajua fika kwamba CCM hawakutaka kutoa pingamizi isipokuwa cha kujiuliza sisi sote kwa nini hakutokea mtu kuweka barua yake kwa Spika kutanguliza pingamizi... Kama yupo mbunge aliweka pingamizi na Spika akatumia mamlaka yake kukataa aidha baada ya kusoma pingamizi hilo akaliona halina ushahidi wa kutosha ama kwa kuona litachelewesha uratibu na mchakato wa katiba hapo sasa tunaweza kupata sababu lakini kinyume cha hapo ni wazi kabisa wabunge wetu wote walichemsha kutowakilisha barua ya pingamizi.....
 
Mimi nilidhani tumeufunga lakini umeendeleza kwa sababu umerudia mambo yale yale ambayo niliamini tumekubaliana. Nimerudi kwa sababu haujataka kukubali kuwa hoja yako imekosewa japo inavutia. Sasa ukiendelea kudai vitu vile vile inabidi turudi tuvipime tena. Kama mjadala umeisha maana yake uishe ukiwa umeisha. Hauwezi kwisha huku unaendelea kudai vitu vile vile na kuviendeleza. Kama hujaridhika tunaweza tukaendelea kusexplore haya ambayo unaendelea kuyadai ili hatimaye tuweze kufikia muafaka wa kweli.

Sasa unapodai kuwa CCM wabunge wachache makini ndio hao ninaowaulizia kwanini hawa makini wa CCM hawakupinga huu mswada. Forget about makapi - ulitolea mfano wa Deo Filikunjombe kama mmoja wa wabunge makini - je aliupitisha huu mswada na kwanini hakuupinga? Hakuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyeweka pingamizi kuzuia mswada usipite, kwanini?
Hilo sio swali la mjadala huu, cha kujadili ni je, CDM waliwasilisha pingamizi rasmi kwa kutumia kanuni rasmi?.. kama hapana basi jamaa hoja yake ina hold water.
CCM hawakupinga kwa sababu muswaada huo unaendana na matakwa yao, hiyo mbona iko wazi sana?
 
Joka Kuu, kama pingamizi lingewasilishwa, lisingekuwa kama ile hotuba ya maoni, pingamizi lingeandamana na sababu zenye ushahidi. Kile kitendo tuu cha bunge, kusimamisha kila kitu na kusikiliza pingamizi, peke yake, ingewaweka wabunge wa CCM kutozungumza utumbo waliochangia siku ile!.
  1. Pingamizi lingeonyesha with evidence, huo ni muswada mpya na sio ule wa awali na kuonyesha kipengele kwa kipengele.
  2. Pingamizi lingeonyesha hakuna kikao chochote cha kamati ya sheria na katiba kilikaa popote kukusanya maoni yoyote baada ya ule uborongaji wa Karimjee, Mabomu ya machozi Dodoma na Kuchanwa chwa kwa muswada Zanzibar.
  3. Pingamizi liongeonyesha hakuna ushahidi wa kumaandishi kuthibitisha hakuna marekebisho toka kwenye kamati kwenda serikalini, hii ingethibitisha serikali imejitungia marekebisho.
  4. Kwa vile hati ya dharura ilishaondolewa, pingamizi lingeonyesha hakukuwepo matangazo mara mbili kwenye gazeti la serikali kabla ya kupewa rasimu hiyo.
  5. Pingamizi lingeonyesha, wabunge hawakupewa rasimu kuipitia wiki 3 kabla ya kikao.
Hoja hizo na ushahidi wake, ungewasilishwa bungeni, nakuhakikishia, wabunge wasingeupitisha wangejiona ni sehem u sio tuu ya upuuzi wa` serikali, bali madudu ya serikali kwenye jambo la msingi kuliko jambo lingine lolote. CCM ingewaunga mkono pingamizi na lingepigwa chini, na sio mara moja wala mbili miswada ya serikali, imepigwa chini!.

Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uiongie ucheze, ukitaka kuvuka mto, unatanguliza mguu kupima kina na kasi ya maji ndipo unavuka, na maji ukiyavulia nguo, huna budi kuyaoga. Zile juhudi zote za wanaharakati, na kelele za Chadema kuwa wataupinga muswada huo, kumbe zilikuwa kelele tuu za mlango, hakuna pingamizi lolote lililo wasilishwa!.

Pasco, nakubaliana na hoja zako ila tu kwenye bunge na Tanzania ambayo ni 'ideal' na siyo bunge letu tulilonalo leo na wala siyo Tanzania tunayoifahamu. Kwa hiyo, ku'argue' from an ideal point of you ni sahihi kabisa maana that's what ought to be. Lakini sisi tunaongelea Tanzania na bunge tulilonalo - uhalisia wenyewe ulivyo.

Unadhani Spika is so neutral and objective katika kutoa nafasi ya mtu kutoa mawazo yake bungeni without leaning towards her political party? Kama ingekuwa hivyo, asingeruhusu wabunge wa CCM na CUF kwa vile karibu kila aliyekuwa akisimama alianza na ku'redicule' hotuba ya Tundu Lissu kwa maneno: "hajui sheria... alisoma chuo kisichojulikana... arudi shule tuko tayari kumlipia ada...etc"

I'm sure kama waliosema haya wangekuwa wabunge wa Chadema angewaomba wathibitishe yote hayo au wafute kauli zao ila kwa vile maneno yote hayo yalikuwa dhidi ya Chadema, hakuna aliyeambiwa kitu. So, tunazungumzia katika mazingira kama haya na siyo kwenye 'ideal state' kwamba uamuzi wa wabunge wa Chadema na NCCR-Mageuzi kutoka nje ya bunge haukuwa woga bali ulikuwa uamuzi unaoendana na hali halisi ya bunge letu. Sidhani kama njia unayoizungumzia wabunge wa Chadema au NCCR-Mageuzi hawaijui kabisa ila nadhani wanaona haifanyi kazi kutokana na ukweli kwamba Spika akitenda haki bungeni itakuwa in favour of mabadiliko kwa vile kuna consequences kwa chama chake wakati kutotenda haki ana'favour' chama chake na serikali na vilevile kunakuwa na consequnces zake kwa wapenda mabadiliko.

I'm sure akitenda haki ana'risk' kutemwa na chama chake na hivyo kupoteza nafasi yake, ambayo asingeweza kuipoteza kwa kuonekana kama 'incompetent'.
 
Mzee wangu huko kotew tumeisha toka, tunajua fika kwamba CCM hawakutaka kutoa pingamizi isipokuwa cha kujiuliza sisi sote kwa nini hakutokea mtu kuweka barua yake kwa Spika kutanguliza pingamizi... Kama yupo mbunge aliweka pingamizi na Spika akatumia mamlaka yake kukataa aidha baada ya kusoma pingamizi hilo akaliona halina ushahidi wa kutosha ama kwa kuona litachelewesha uratibu na mchakato wa katiba hapo sasa tunaweza kupata sababu lakini kinyume cha hapo ni wazi kabisa wabunge wetu wote walichemsha kutowakilisha barua ya pingamizi.....

Mkandara, mimi sioni hivyo. Kama Spika anawanyima wabunge haki ya kuomba mwongozo, ambayo pia ni haki yao ya kikanuni, ataweza pia kuwanyima haki hiyo wakitoa pingamizi - maana anaweza kusimama na kusema hili siyo pingzamizi ni kitu kingine au akasema jambo hili tumeshaliongelea na kuamuru bunge liendelee kufanya kitu kingine kama ambavyo huwa anafanya kama hakubaliani na kitu fulani. Hivyo, kama kamnyima mbunge haki ya kuomba mwongozo si anaweza pia kumnyima haki ya kuweka pingamizi kwa kisingizio chochote kile?
 
Wanabodi, kama ni elimu hii imetosha, tusiendelee kujadili nini hakikufanyika, muswada lazima usainiwe by Jumatano ili Alhamisi, uanze kutumika. Chadema ambao hawamtambui rais, wanamtafuta kumuomba asiusaini, kwa jeuri, atausani kwanza, halafu ndipo atazungumza nao, na kuwapatia kopy kabisa yenye handwriting yake!.

Nilisema humu na nasema tena, na tena na tena, ukishasainiwa, hakuna yeyote mwenye kuweza kufanya chochote, bali ni kupa tuu hiyo tume ushirikiano!.

mkuu mbona kama unatupa vijembe vile ... tambo zote hizo ni za nini?? ... flow ya hoja zako tangu mwanzo aghalabu zilionyesha uko biased (ingawa ulitumia nguvu kubwa kuificha rangi hiyo bila mafanikio), lakini hili hitimisho lako lina chagiza mengineyo kabisa! hoja ni nzuri lakini imekosa nguvu ya ushawishi!
 
Wanabodi,
Kanuni ya Kuu ya Kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia Chadema, they were wrong!, walikosea!, kwanza wakiri makosa, pili wakubali yaishe na mwisho wasonge mbele, 2015 sio mbali kihivyo!.

Mchelea mwana kulia, hulia yeye, japo binafsi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa bali ni mkereketwa wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, hivyo wapenzi wote wa dhati wa demokrasia, lazima waikubali Chadema kama ndicho chama pekee cha upinzani Tanzania bara kilichoonyesha nuru ya matumaini ya uwezekano wa kupatikana kwa demokrasia ya kweli ndani ya bunge na labda hata ukombozi wa pili wa Mtanzania baada ya uhuru na miaka 50 ya utumwa wa chama kimoja kuhodhi madaraka yote ya dola.

Wengi wa wapenzi wa demokrasia wanaishabikia mno Chadema wakichelea kuiambia ukweli kuwa watalia, mimi nachelea mashabiki na wapenzi wao kulia mwaka 2015, hivyo nawaambia ukweli ili hata kama mtalia, lakini itakumbukwa mliambiwa!.

Suala la kususia jumla mchakato wa kuunda tume ya kukusanya maoni kuunda katiba mpya ni kosa kwa sababu Chadema kama kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, ilikuwa na uwezo wa kuusimamisha na kuzuia uwasilishwaji kwa mara ya pili huo muswada kwa kutumia kanuni ya kifungu 86 hivyo kutoa fursa ya hoja ya kuzuia uwasilishwaji huo kusikilizwa, lakini Chadema haikufanya hivyo.

Hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wabunge wa Chadema katika umakini, kitendo cha oversight ya opportunies provided by kifungu cha 86 cha kanuni za bunge kuuzuia huo muswada, sio tuu ni udhaifu mkubwa, but kosa kubwa ambalo Chadema lazima wakiri, waombe radhi na kusonga mbele.

Kanuni hiyo ya 86 inaeleza wazi hatua kwa hatua za kufuatwa ili kuuzuia muswada usisomwe kwa mara ya pili. Chadema ilipuuza na kuendelea kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani.

Kama Chadema ingezingatia kanuni hiyo, isinge wasilisha maoni ya kambi ya upinzani bali ingewasilisha pingamizi!.

Kitendo cha Mhe. Lissu kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani, yamemaanisha wameijibu hoja ya serikali hivyo kutoa go ahead majadiliano yaendelee. Uwasilishwaji wa hotuba hiyo ndio passport ya mjadala kuendelea, kama kambi ya upinzani wasingewasilisha maoni yao, muswada ungesitishwa kwanza na wao kusikilizwa. Hivyo iwasilishwaji wa hotuba ile ni kosa la pili, Chadema lazima wakiri kosa, waombe radhi na kusonga mbele!.

Kitendo cha kususia mjadala kwa siku ya kwanza na kutoka nje, was the right move kuonyesha protest dhidi ya unyanyasaji wa Mhe. Spika, lakini kuisusa hoja jumla, was a mistake hivyo sheria imetungwa bila imput yao, hivyo hili ni kosa la tatu, Chadema wakiri kosa, waombe radhi na kusonga mbele!.

Nimebahatika kuhudhuria mdahalo wa Star TV kuhusu Tanzania tuitakayo ambapo Mhe. Tindu Lissu ilikuwa ni mdahiliwa, na nilipata fursa ya kuuliza swali kuhusu kanuni ya 86 lililokuwa na vipengele a, b na c
(a) Kanini hawakitumia kanuni ya 86 kuuzuia muswada usisomwe?.
(b) Kwanini waliwasilisha hotuba ya maoni ya kambi ya upinzani yaliyotoa passport mjadala uendelee badala ya kuwasilisha pingamizi ambayo ingeusimamisha mjadala?.
(c) Chadema wamesusa sheria imepitishwa, jee wamefaidika na nini na kususa kwao?.

Mhe. Lissu amepiga chenga kutoa majibu ya kina kwa kujibu
(a). Amenisomea hitimisho la hotuba yake. Kanuni ya 86 ilimtaka Mhe. Lissu awasilishe pingamizi na sio hotuba!.
(b) Amepiga chenga kueleza ni kwanini amewasilisha hotuba badala ya pingamizi!.
(c) Wananchi wanaelewa ni nani mtetezi wao wa ukweli.

Kwa vile sheria imepitishwa na itasainiwa na rais kwa mbwembwe, lazima Chadema na wapenzi wao na mashabiki wao waukubali ukweli mchungu kuwa they lost the bettle hivyo watake wasitake, lazima wakubali matokeo. Hawawezi kuendelea kususa, lazima wajisibmit kwenye tume ya kuratibu maoni na kutoa maoni yao hata kama tume hiyo itaundwa bila imput yao na bila ridhaa yao!.

Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo (Tume ya kukusanya maoni) na yajayo (Katiba Mpya).

Namalizia kwa kusisitiza, kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!. Chadema kwenye uundwaji tume mmefanya kosa!. Sheria imetungwa na sasa sio kosa tena, kosa ni kurudia kosa kama hamtoa maoni yenu kwenye tume!. Two wrongs don't make right, better late than never!.

2015 sio mbali kihivyo!.

This is very exhaustive ila kama kawaida mwamba ngozi huvutia kwake na hapa ndipo ile tija na uhalisia wa forum unapoanza kugubikwa na mambo yasiyo ya msingi. Pasco you'v tried your level best to make sure that evry untouched stone is touched anyhow lakini kama kawaida usipogusa lile alitakalo flani uliguse basi utaonekana hufai kabisa. Ila kama tukiamua kuwa wakweli ufafanuzi huu watosha kukaa na kutafakari upya ninachoshangaa ni pale watu wanapojaribu kuji prempty kwamba kama Chadema wangetumia Kanuni husika na Fasili zake eti bado wasingesikilizwa hii ni ajabu kabisa why are we trying to predict the consequences, ukweli ni kwamba hawakutambua kanuni hiyo, na ndiyo maana wakawa wanaomba miongozo pasipo kujua ama wanakazwa au wanaruhusiwa na Kanuni ipi na kwa mtazamo wangu Kamati Kuu ya Chadema iligundua hilo na ndiyo maana wakaamua busara itumike kukutana na Rais manake kukutana na Rais bado wana exhaust local remedies ambazo kama wangejua wangeanza toka wakiwa Bungeni.

Na tatizo ni lile lile ukisema Pasco hoja yako inaonekana Kihoja ila akisema mwingine Kihoja chake ndicho kitalazimishwa iwe Hoja. Binafsi japo nilitamani tu kupita ila kwa udadavuzi wako nimeona nitie neno wengine hoja hakuna wameamua kuanza kukuchunguza u nani, its sucks anyway........
 
Mimi nilidhani tumeufunga lakini umeendeleza kwa sababu umerudia mambo yale yale ambayo niliamini tumekubaliana. Nimerudi kwa sababu haujataka kukubali kuwa hoja yako imekosewa japo inavutia. Sasa ukiendelea kudai vitu vile vile inabidi turudi tuvipime tena. Kama mjadala umeisha maana yake uishe ukiwa umeisha. Hauwezi kwisha huku unaendelea kudai vitu vile vile na kuviendeleza. Kama hujaridhika tunaweza tukaendelea kusexplore haya ambayo unaendelea kuyadai ili hatimaye tuweze kufikia muafaka wa kweli.

Sasa unapodai kuwa CCM wabunge wachache makini ndio hao ninaowaulizia kwanini hawa makini wa CCM hawakupinga huu mswada. Forget about makapi - ulitolea mfano wa Deo Filikunjombe kama mmoja wa wabunge makini - je aliupitisha huu mswada na kwanini hakuupinga? Hakuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyeweka pingamizi kuzuia mswada usipite, kwanini?
Mzee Mwanakijiji, mjadala tuliufunga zamani, kinaendelea ni kuelimishana, na wewe ukiwa ni mmoja wapo wa hao wa kuelimishwa ndio maana unarudi, kama umeelewa na huna cha kuuliza, naomba usonge mbele na usirudi tena nyuma, mimi naendelea kuwaelimisha yale yale wale wasioelewa na hatimaye wote wataelewa na mdadala utajiishia.

Nakushauri Mzee Mwanakijiji, kunapotokea makosa ya kiutendaji, admit mistakes na kusonga mbele. Kuna watu tuliowategemea sana kuupinga muswada huo, hawakuupinga, umepita. That was a mistake!. No excuse!. Kama ndio CCM tuliowategemea kupinga, its the same, muswada haukupingwa na yoyote, that was a mistake!.

Ndani ya bunge, tuna vichwa tunavyovitegemea kwa michango yao, vilisusa, muswada umesail kiulaini bila michango yao!, its a loss!. Sasa wanambeleza kumuona hata waliojidai hawamtambui!, just to try repair the loss and correct the mistakes ili kumshawishi asiusani!. Kuna thread nimepost kuwa hatawasikiliza na atausani kwanza!. Nikasema ukishasainiwa, there is nobody can do anything. Unasainiwa bila kusikilizwa na tuone nini tena kinaweza kufanyika!.

Alhamisi , 1 Dec, 2011 Muswada ni Sheria!. Naendelea kusisitiza, tuipe tume ushirikiano unaostahiki, lets stop living in dreams and false hopes, lets live in reality, hata kama ni ukweli mchungu, we have to swalow the bitter pill tupone, njia pekee ya kupona ni kupitia katiba mpya!.
 
This is very exhaustive ila kama kawaida mwamba ngozi huvutia kwake na hapa ndipo ile tija na uhalisia wa forum unapoanza kugubikwa na mambo yasiyo ya msingi. Pasco you'v tried your level best to make sure that evry untouched stone is touched anyhow lakini kama kawaida usipogusa lile alitakalo flani uliguse basi utaonekana hufai kabisa. Ila kama tukiamua kuwa wakweli ufafanuzi huu watosha kukaa na kutafakari upya ninachoshangaa ni pale watu wanapojaribu kuji prempty kwamba kama Chadema wangetumia Kanuni husika na Fasili zake eti bado wasingesikilizwa hii ni ajabu kabisa why are we trying to predict the consequences, ukweli ni kwamba hawakutambua kanuni hiyo, na ndiyo maana wakawa wanaomba miongozo pasipo kujua ama wanakazwa au wanaruhusiwa na Kanuni ipi na kwa mtazamo wangu Kamati Kuu ya Chadema iligundua hilo na ndiyo maana wakaamua busara itumike kukutana na Rais manake kukutana na Rais bado wana exhaust local remedies ambazo kama wangejua wangeanza toka wakiwa Bungeni.

Na tatizo ni lile lile ukisema Pasco hoja yako inaonekana Kihoja ila akisema mwingine Kihoja chake ndicho kitalazimishwa iwe Hoja. Binafsi japo nilitamani tu kupita ila kwa udadavuzi wako nimeona nitie neno wengine hoja hakuna wameamua kuanza kukuchunguza u nani, its sucks anyway........
Kokutia Ole, asante nimekuelewa. Unazi wa vyama unalipeleka jukwaa letu kubaya!, nimetoa hoja jinsi tuliowategemea walivyotuangusha, kibao kibadilishwa kumbe ili ni CCM ndio tunaowategemea?!. Kama mambo yenyewe ndio haya, hiyo 2015 tutegemee nini?.
 
Pasco, nakubaliana na hoja zako ila tu kwenye bunge na Tanzania ambayo ni 'ideal' na siyo bunge letu tulilonalo leo na wala siyo Tanzania tunayoifahamu. Kwa hiyo, ku'argue' from an ideal point of you ni sahihi kabisa maana that's what ought to be. Lakini sisi tunaongelea Tanzania na bunge tulilonalo - uhalisia wenyewe ulivyo.

Unadhani Spika is so neutral and objective katika kutoa nafasi ya mtu kutoa mawazo yake bungeni without leaning towards her political party? Kama ingekuwa hivyo, asingeruhusu wabunge wa CCM na CUF kwa vile karibu kila aliyekuwa akisimama alianza na ku'redicule' hotuba ya Tundu Lissu kwa maneno: "hajui sheria... alisoma chuo kisichojulikana... arudi shule tuko tayari kumlipia ada...etc"

I'm sure kama waliosema haya wangekuwa wabunge wa Chadema angewaomba wathibitishe yote hayo au wafute kauli zao ila kwa vile maneno yote hayo yalikuwa dhidi ya Chadema, hakuna aliyeambiwa kitu. So, tunazungumzia katika mazingira kama haya na siyo kwenye 'ideal state' kwamba uamuzi wa wabunge wa Chadema na NCCR-Mageuzi kutoka nje ya bunge haukuwa woga bali ulikuwa uamuzi unaoendana na hali halisi ya bunge letu. Sidhani kama njia unayoizungumzia wabunge wa Chadema au NCCR-Mageuzi hawaijui kabisa ila nadhani wanaona haifanyi kazi kutokana na ukweli kwamba Spika akitenda haki bungeni itakuwa in favour of mabadiliko kwa vile kuna consequences kwa chama chake wakati kutotenda haki ana'favour' chama chake na serikali na vilevile kunakuwa na consequnces zake kwa wapenda mabadiliko.

I'm sure akitenda haki ana'risk' kutemwa na chama chake na hivyo kupoteza nafasi yake, ambayo asingeweza kuipoteza kwa kuonekana kama 'incompetent'.
Mkuu Magobe T, debates za "What is?" Vs "What ought to be" huwa ngumu, mjadala huu una hoja za reality nini kilitakiwa kufanyika lakini hakikufanyika, vs ideal points za hata kama kingelifanyika, kisingeli .... Nasimama kuwa maadamu hakikufanyika, it was a mistake and we just stop there, tuachane na hoja za kingepanda au kingeshuka, hakikufanyika thats it!

Hoja ya nani hakufanya, nimekubali sio Chadema, nani hakufanya ni wote ambao hawakufanya, ile wale wengine ambao hawakufanya, hawakufanya ili matokeo yawe hayo yaliyotokea, na wale ambao walidhani wamefanya, wamegundua makosa yao na sasa wanajaribu kutafuta suluhu ya mezani!.

Magobe, naomba fungua post zangu, nimeshamuanzishia huyu mama, Madam Speaker thread kadhaa humu,m simamo wangu uko wazi.

Ila kwenye hili la kanuni, hata kama pingamizi lingekuwa weak kiasi gani, lazima bunge lingesimama, na kusikiliza. Spiker hana mamlaka ya kutolea uamuzi pingamizi, wenye mamlaka ni bunge na sio spika. Points za kwenye pingamizi, zilikuwa very strong points, ndio maana nikasisitiza, lingetolewa basi likataliwe, na Watanzania wote tungekuja nyuma yao!.
 
Mkuu ulielewa ninamaanisha kitu gani?

OK....

Pasco said:
Jmushi, hapa hatukuwa na mashindano,
Haya...

Pasco said:
hakuna aliyeshinda wala aliyeshindwa!.
And then....

Pasco said:
Hoja zangu kuu zile tatu zinasimama na ushauri wangu umeanza kutekelezwa, na ukishasainiwa, unamalisikiua kutekelezwa.
Ok basi hujashinda...

On the other side,kama mjadala umeisha,then....

Pasco said:
Mkuu Magobe T, debates za "What is?" Vs "What ought to be" huwa ngumu, mjadala huu una hoja za reality nini kilitakiwa kufanyika lakini hakikufanyika, vs ideal points za hata kama kingelifanyika, kisingeli .... Nasimama kuwa maadamu hakikufanyika, it was a mistake and we just stop there, tuachane na hoja za kingepanda au kingeshuka, hakikufanyika thats it!

Hoja ya nani hakufanya, nimekubali sio Chadema, nani hakufanya ni wote ambao hawakufanya, ile wale wengine ambao hawakufanya, hawakufanya ili matokeo yawe hayo yaliyotokea, na wale ambao walidhani wamefanya, wamegundua makosa yao na sasa wanajaribu kutafuta suluhu ya mezani!.

Magobe, naomba fungua post zangu, nimeshamuanzishia huyu mama, Madam Speaker thread kadhaa humu,m simamo wangu uko wazi.

Ila kwenye hili la kanuni, hata kama pingamizi lingekuwa weak kiasi gani, lazima bunge lingesimama, na kusikiliza. Spiker hana mamlaka ya kutolea uamuzi pingamizi, wenye mamlaka ni bunge na sio spika. Points za kwenye pingamizi, zilikuwa very strong points, ndio maana nikasisitiza, lingetolewa basi likataliwe, na Watanzania wote tungekuja nyuma yao!.

By the way Mods wamefanya kazi nzuri sana kwenye hii thread...

Kwaheri,tukutanekwenye mjadala mwingine?
 
Back
Top Bottom