Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!


Kufikiria kuwa CDM wamekosea peke yao ni kuwatwisha mzigo mzito wa utetezi wa Watanzania. Kazi ya wabunge ni kuwawakilisha wananchi waliowachagua. Sasa kazi hiyo siyo lazima ifanywe na upinzani tu ni kazi ya wabunge wete regardless their political affiliation. Binafsi nashindwa kuelewa kwa nini huu mzigo wanabebeshwaCDM peke yao badala ya wabunge wote?? Kama tunakubaliana kuwa huu muswada ni mzuri then tujiulize kwa nini CDM wanaukataa?? Na kama siyo mzuri kwa nini CCM wanaukumbatia tena kwa mbwembwe?? Wote tunajua kuwa wabunge wa CCM wameshindwa kuujadili badala yake wamemjadili Lissu. Sasa baada ya Lissu kuwasilisha hoja ya upinzani na kutoa mapungufu ya mswada na mapendekezo yao kwa nini wabunge wa chama tawala hawakuyajadili au kuyafanyia kazi hayo mapendekezo bila CDM kuwepo?? Je ina maana kama CDM wasingesusia vikao, CCM wangeujadili huo mswada na hoja za CDM??

Wa kulaumiwa ni wabung wa CCM ambao wamechaguliwa kuwakilisha wananchi wao lakini wapo pale kuendekeza na kuwakilisha sera za CCM. Nafikrir ni wakati mwafaka wa kuwa na private candidates ambao CCM waetunyia hiyo haki kwa siku nyingi kwa kisingizio cha kudumisha taifa na amani!!
 
Kama nakuona vile ulivyo na furaha! 'Hongera sana' kwa kuyaona haya mapema!
SMU, historia ni elimu ya kujua mambo yaliyopita kulinganisha na yaliyopo sasa ili kujua yajayo.

Kuna thread niliwaambia Chadema walipotoka, hapa walipo na ku pre determine, wapi wanapokwenda.

Niliwaambia badhi ya shotfalls zao na nikasisitiza kama kweli wako serious na target is to achieve something by 2015 then they have to do something now!.

Haya madogo madogo ambayo someone did not do something, yana wacost kidogo kidogo at the end of the day watu wanaishia kulia!.

Japo naonekana kama mwiba mchungu kwa wafuasi na mashabiki wa mageuzi, nayasema haya kwa uchungu kwa sababu 2015 hatutaki vilio wala misuso!.
 
Wanabodi,

Katika hoja ya Chadema kujitoa katika tume ya maoni ya katiba, nafanya rejea uzi wanguu huu ili kuthibitisha, kuwa Chadema walifanya kosa kwa kushindwa kutenda kile ambacho walipaswa kutenda!, wakabisha hodi ikulu kodowea chai na vitafunwa!, hivyo kukubali kila kitu!. Kama sasa Chadema wanataka kujitoa, hapa sasa ndipo itakuwa a real mistake!. Mwanzo walifanya kosa!, kufanya kosa sii kosa!, kosa kurudia kosa!.
Pasco
 
Mkuu Mkandara, baada ya haya makosa ya mwanzo, hakikisheni msirudie makosa!. I seriously think, baadhi yenu kwenye top brass yenu, wameshaanza kuonyesha dalili za mbali za insanity!, don't all be carried over under the pretex of "collective resiponsibility!", Chadema has a duty to do the right thing and doing it right!.
Pasco.
 
Pasco,
Kisima kinaelekea kukauka. You have one choice. Dying with them, or condemning them. Usije ukajilaumu baadaye.
 
Pasco,
Kisima kinaelekea kukauka. You have one choice. Dying with them, or condemning them. Usije ukajilaumu baadaye.
Unless you are 100% sure that you are going to beat them!, "If you can't beat the, join them!".

Niko mbioni!.

Pasco.
 
Kinachoendelea sasa katika mchakato wa katiba, ni matokeo ya dhambi hii ya asili!.
  1. Mwanzo Chadema walikosea, wakasusa, wakatoka nje, sheria ikapitishwa bila wao!.
  2. Wakaitwa Ikulu na kubembelezwa kwa chai, wakalainika, wakarejea!.
  3. Sasa merekebisho ya muswada, wamesusa tena!, wametoka nje, sheria imepitishwa bila wao!, jee safari hii itakuwa ni kwa chai tena ya Ikulu?!.
  4. Sheria ikishapita ni sheria, hakuna option ya kuamua kuitii au kutoitii wala kususa doesn't change a thing!.
  5. Mada kuu ya msingi is still valid!, Chadema walikosea tangu mwanzo!, wakubali yaishe!, tusonge mbele!.
Pasco.
 

Pasco, najua wewe ni mnafiki sana! Unajua kabisa kwamba hata kama upinzani ungekuwepo bungeni isenge saidia chochote sababu magamba wapo wenge.
 

kwa hiyo chadema wana shuda na chai? mbona pasco unajitoa akili..
 

Huna tofauti na pinda. Hakuna ukweli wowote ktk hoja zako zote dhaifu tangu 1...
 
Tatizo cdm wanatumia nguvu sana kuliko akili na busara, so mbadilike hizo sio siasa nzuri, make mkiendelea hivi mtachokwa na hao mnaodhani wanawapenda.
 
Mh. MATASO, cdm hawatumii nguvu hoja zao zina mashiko, ila ccm kwa sababu ya wingi wao bungeni wanatumia opportunity hiyo kuwakandamiza wapinzani, jiulize je, ni mikataba mingapi feki ccm imeipitisha bungeni na wapinzani wakipinga, CCM NI SIKIO LA KUFA, lazima wapishe 2015 wamezeheka mno hawana jipya.
 
thanks for the useful post... post ya leo.ya mwanakijiji ya leo; Ndio imenipeleka hadi kwenye post hii
 
Wanabodi, naendelea ku take stock ya makosa mbalimbali ambayo Chadema iliwahi kuyafanya, hili mo moja ya kosa kubwa sana la Mwanasheria nguli wa Chadema, hapa aliwaingiza chaka!, lile pingamizi la juzi, aliwaingiza tena chaka!, kesi ya ile video, Chadema imeingizwa chaka!, na kesi ya msingi, Chadema itaingizwa tena chaka, this time itaingizwa chaka big time!.
Pasco.
 
Wajemeni, hiki kinachoendelea sasa katika mchakato huu wa katiba, ni matokeo ya kosa hili, nililisema, japo nilipuuzwa sasa we are paying the price, little by little!.

Pasco.

Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa hii!. Naomba nikiri sasa nimeanza tena kumuona Mzee Mwakijiji yulee niliyemfahamu wakati nilipojiunga JF!, yule Mzee Mwanakijiji wa KLH News!, Mzee Mwakijiji wa "Cheche za Fikra!", ndio huyu Mwanakijiji wa leo!, ambaye amekuja na ukweli halisi as it is, not as it ought to be!, no matter ni mchungu kiasi gani kumeza, kilichopakuliwa ndicho hiki, watu wameze, wateme ni shauri yao ukweli huu ndio utasimama!.

Nilipo waambia , [h=3]Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele![/h]ulinibeza sana humu! sasa unaelekea kuukubali ukweli huu mchungu!, na maandalizi ya kuukubali ule ukweli wangu mwingine mchungu kabisa kuwa 2015 ni CCM tena!, utafuatia!. Uzuri wa ukweli, huwa unasimama no matter what!.

Namalizia kwa ule ule msisitizo wangu kwenye ile mada tuliyobishana sana na Mkuu Mzee Mwanakijiji, kuwa "Japo Watanzania walitaka "Katiba Bora!", lakini kitakachopatikana kwa mchakato huu ni "Bora Katiba!" nikasema "maji ukiisha yavulia nguo!", kwa misingi ya "if you can't get what you want (Katiba Bora", then take what you get "Bora Katiba" kwa msingi wa na "moja shika sii kumi nenda rudi!", kuliko kukosa yote tukarudia katiba ya zamani, nikawasisitiza watu humu, tukubali matokeo na kwenye kura ya maoni, tuipigie kura ya ndio hii Katiba Mypa!.

Pasco.
 

kweli JF ni kisima cha elimu. nimekukubali MKUU PASCO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…