Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

Ahsante sana Nyanda kwa kipande hiki cha hotuba ya mh. Tundu Lisu. Bila shaka hakuna ubishi kwamba msemaji wa kambi ya upinzani alikitumia vizuri kifungu hicho isipokuwa spika ndiye alishindwa kutimiza wajibu wake.

Na ndio maana, Pasco alipomuuliza Lissu kwanini CHADEMA hakikupinga muswada, Lissu alimjibu aangalie hitimisho la hotuba yake.
 
Jee hivyo ndivyo kanuni inavyosema hivyo kuwa pingamizi litawasilishwa kwenye hotuba?.
Kwahiyo una maana Lissu hakufuata kanuni bali alitoa hotuba?

Binafsi nadhani hotuba yake ndiyo ilikuwa na maelezo kuwa ni kwanini hakufuata kanuni hizo za pingamizi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mhe. Tundu Lissu hakupaswa kuisoma ile hotuba yake ya kambi ya upinzani, alipaswa kwanza atoe pingamizi, na mano ya kuyasema kwenye pingamizi hilo yameainishwa, baada ya kutoa pingamizi, hatua ya kwanza, muswada ungesitishwa, baada ya hapo Lissu angetakiwa sasa kutoa sababu zake ambazo zingekuwa seconded na wabunge wengine wowote.

Uamuzi wa kuendelea au kutoendelea ungetegemea Lissu ametoa hoja gani kwenye pingamizi hilo, naamini pamoja na uchache wa wabunge wa upinzani bungeni, wanapotoa hoja ya msingi kwa maslahi ya taifa, na hoja yenyewe ikawa na mashiko, wako wabunge makini wa CCM, kama kina Deo Filikunjombe and the like, lazima wangewaunga mkono upinzani, na kwa vile issue yenyewe ni ya kisheria, naamini wabunge wengi wa ukweli, wangewaunga mkono. Tena kwenye utoaji wa pingamizi hilo, wangebanana na kanuni tuu, Mama Spika angekuwa hana pa kotokea.

Mwisho wa siku, bunge zima sasa ndipo lingepiga kura kuunga mkono, hoja ya pingamizi au laa, kwenye kura sasa, ndipo kama hoja ya Chadema ingekataliwa, hapo sasa, ndipo palipostahili kuwasilishwa kwa hotuba ya kambi rasmi ya upinzani ikifuatiwa na honarable walkout!.

Sasa angalau umekuja ambako tuliko sisi wengine.

a. Kuzuia mswada ule hakuhitaji wabunge wa upinzani.
b. Wabunge hao makini wa CCM kama kweli wako makini wangeanzisha wenyewe kuukataa huo mswada. Kwanini hawakufanya hivyo na badala yake kusubiri CDM waseme wakati kanuni ya 86:3b inaweza kutumiwa na mbunge yeyote? kwanini hawa wabunge 'makini, wa ukweli' wasifanye hili jambo wenyewe?
c. Kwa vile mswada umepitishwa uwepo wa hao wabunge wa CCM ambao unaamini wangeweza kukubaliana na hoja ya CDM hauna msingi kwa sababu kama kweli wangekuwepo na wanajali maslahi ya nchi wangepiga kura ya kuukataa. Siyo Filikunjombe wale wabunge 'alike' (whatever that means) waliosimama kuupinga mswada. Sasa kama walishindwa kufanya hivi wao wenyewe uliwategemea kweli watengenezewe jamvi la kukanyagia na CDM? Kama kweli wako makini kwanini hawakupinga mswada huo wao wenyewe. NI wazi waliweka maslahi ya CCM mbele.
d. Kama wengine walivyosema, hauna msingi wowote unaokufanya uamini kuwa ati baada ya spika kuuliza Bunge basi Bunge "lazima" lingekubali hoja ya CDM. Thats overtly presumptous.

Mhe. Lissu baada ya kufika kando ya mto na kuyatazama tuu yale maji, akaamua hapa hatuwezi kuvuka, na kuamua kurudi alikotoka, angepaswa kuingiza kwanza huo mguu na kuona kina cha maji.

Sumu haijalibiwi kwa kunywewa!

Mpaka sasa, hoja yangu ya msingi, haijajibiwa, kwanini Chadema hawakutoa pingamizi kwa muswada ule kwa mujibu wa kanuni?.

Hoja yako ya msingi imejibiwa ila hutaki kuamini kuwa ndilo jibu lenyewe. Hakukuwa na maslahi yoyote ya kuweka pingamizi ambalo unajua litakataliwa. Ni bora kuchagua njia ya kutoa maoni na kuondoka kuwaachia wenye kufanya cha kwao wafanye. Binafsi hoja yako ingekuwa nzuri sana kama baada ya CDM kuondoka wabunge makini wa CCM wangejitokeza kuupinga mswada na kuuzia. Hapo ungekuwa na hoja kwamba 'unaona hata CDM kuondoka wameondoka lakini wabunge wa CCM kwa kutumia 86:3b walizuia mswada." Unfortunately that did not happen; so your argument is negated.

Hivi nikisema kumbe waliotuangusha pale bungeni kwa kuruhusu muswada ule upite kiurahisi vile ndio wenzetu hawa hawa tuliowategemee kupinga kwa kutumia, wao wakapinga kwa kususa?.

Hapana waliotuangusha ni wabunge wa CCM ambao kwa kutokana na maslahi ya Chama chao walikubali kupitisha miongoni mwa miswada mibovu ya kisheria ili uwe sheria. Kuwalaumu CDM kwa kutofanya kitu ambacho unajua ilikuwa ni sawa na kusukuma lori mlimani ni kuwaonea. Lawama za kupitishwa kwa mswada huu zinawaangukia moja kwa moja na peke yao CCM na CCM tu. Wangetaka kuzuia wangeweza, wangetaka kufanya mabadiliko ya kweli wangeweza. Hawakufanya.

Baada ya kusomwa kwa hotuba ya Mhe. Lissu, ndipo wabunge wanasimama kutaka miongozo?, miongozo ya nini tena wakati nafasi ya pingamizi walipewa na hawakuitumia?!. Hata kama spika ningekuwa ndio mimi, ningewazuia ili muswada usonge mbele, na ndicho alichokifanya madam speaker.

Nafasi hii ya 86:3b haiwahusu Chadema tu inawahusu CCM, CUF na NCCR kwanini hivyo vyama vingine havikusimama kuweka pingamizi? Au pingamizi lingekuwa pingamizi zuri endapo tu CDM wangeliweka?

Nadhani, tufike mahali, tukubaliane kutokubaliana, mimi nikisisitiza Chadema were wrong, they failed us na sasa sheria imeshapitishwa, ikishasainiwa, kuipinga ni criminal offence, na at this jancture, nakuhakikishia Mzee Mwanakijiji na wapenzi wote wa Chadema, there is nothing Chadema can do, wala hao wanaharakati!.

Maneno yako ni ya kujaribu kukatisha tamaa watu. Wapo wanaoweza kukata tamaa kwa sababu umesima "there is nothing" that can be done. Bahati mbaya sana, ulimwengu umeundwa na watu ambao hawakubali kauli kama hizo. Kuna watu waliamini kabisa apartheid system isingeweza kuondolewa na kle Afrika ya Kusini wapo hata watu weusi ambao walikubali kuwa watumishi wa mfumo huo kwa sababu hawakuona dalili ya kuweza kuung'oa. Hata leo wapo watu wanaoamini kabisa vitu fulani haviwezi kufanyika kwa sababu hawaoni namna ya vitu hivyo kufanyika. Ukweli ni kuwa tuna historia ya kutosha tu katika bunge letu kuwa sheria ikipitishwa haina maana haiwezi kubadilishwa. Na kufanya kosa la kupinga ni uhalifu haitishi sana watu kwa sababu watawala mara zote hutumia sheria kukandamiza watu na wale wenye dhamira sahihi wanakuwa tayari kuvunja sheria hizo kwa sababu ni kinyume na haki, utu na usawa wa mwanadamu.

Tena kwa kufanya ni kosa la kihalifu wamethibitisha kuwa hawakuwa na hoja na sasa wana vioja!

Ndipo hapa ule ushauri wangu unaporudi tena, Chadema wakubali, makosa, sio lazima watubu hadharani, hata kimoyo moyo kama walivyosema hadharani hawamtambui rais, lakini kwa vile ana exist, umtambue usimtambue, yeye anabaki kuwa ni rais!.

Nadhani wenye kuhitaji kutuba kwa kugalagala na kujifunika magunia na kujipaka majivu kichwani ni CCM na wale wote ambao wanaamini kuwa CCM haina lawama katika kupitisha mswada huu mbovu wakati ndicho chama kilicho na wabunge wengi na ndichoa ambacho kimeshikilia Urais.
 
"Kwa sababu hizi zote, Mheshimiwa Spika,naomba kutoa hoja chini ya kanuni ya 86(3)(b) ya Kanuni za Kudumu za Bunge hili tukufu kwamba Bunge hili likatae Muswada huu Kusomwa Mara ya Pili kwa sababu Serikali imeleta Muswada Mpya na wenye mabadiliko makubwa na ya msingi bila kufuata masharti ya kanuni ya 84(3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge; na pia kwa sababu Serikali haijatekeleza maagizo ya Bunge hili tukufu kuhusu kutoa muda zaidi kwa Kamati na wananchi kuufikiria, kuuelewa na kuutolea maoni Muswada huu kinyume na matakwa ya ibara ya 18(a) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano juu ya uhuru wa wananchi kutoa maoni yao; ibara ya 21(1) na (2) juu ya haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wan chi, na haki na uhuru wa kushiriki kwa ukamilifu katika kufikia uamuzi juu ya mambo yanayowahusu wananchi, maisha yao au yanayolihusu Taifa".

Hayo ni maneno yaliyomo kweye hotuba ya kambi ya upinzani (Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria). Sasa sielewi Pasco anachokitaka.

Nakumbuka baada ya kumaliza kuongea Tundu Lissu alisema "Mheshimiwa Spika, naomba kuwasilisha". Nilivyomuelewa na kumsikia Spika siku ile ni kwamba Tundu Lissu alipaswa kusema "Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja" ili suala ilo liweze kuhojiwa; lakini kwavile alikosea ndio maana Spika alikataa.

Lakini ukweli unabaki kwamba, licha ya Lissu kukosea, Spika angekua yupo pale kwa maslahi ya taifa (angekua hasie wa kuegemea upande wowote) angeweza kumpa nafasi Lissu ya kusema kwa usahihi; lakini kwavile nia yake ni kukomoa upinzani hakufanya hivyo. Mara ngapi tumeona mawaziri na hata wenyeviti wa kamati wanakosea katika namna ya kumalizia hotuba zao, lakini spika anawasahihisha na kuwapa nafasi ya kusema kwa usahihi?

Hivyo ndugu Pasco, labda kama una dhumuni jingine, lakini katika hili sidhani kama utakua na substance ​tena.
Nyandaigobeko, asante kwa hotuba hiyo, kwa vile Mhe. Lissu ndio amewasilisha pingamizi?. Mimi nasisitiza Mhe. Tundu Lissu hakuwasilisha pingamizi!. Mimi nasimama kwenye ukweli halisi kwa mujibu wa kanuni, hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa!.

Wanabodi, pia naomba nikiri mimi ni mgumu wa kueleweka, nawasoma wengi humu wanaamini pingamizi limewasilishwa, lakini nashukuru kuna wachache humu, wanaelewa fika kuwa hakuna pingamizi lolote dhidi ya muswada huo lililowasilishwa, alichokifanya Mhe. Lissu ni hotuba ya maoni ya kambi ya upinzani, hata kama kwenye hotuba hiyo aliwasilisha matamshi ya pingamizi, someni kanuni jamani, pingamizi ni pingamizi na sio hotuba na hotuba ni hotuba tuu na sio pingamizi.

Jamani sipendi ubishi, wale ambao mnaamini pingamizi liliwasilishwa, endeleeni kuamini hivyo ili kuzipa raha dhamira zenu, wachache wanaonielewa, wanaelewa ukweli halisi wa 'nothing but the truth', HAKUNA PINGAMIZI LOLOTE LILILOWASILISHWA BUNGENI KUUPINGA MUSWADA HUO!.
 
Sasa angalau umekuja ambako tuliko sisi wengine.

a. Kuzuia mswada ule hakuhitaji wabunge wa upinzani.
b. Wabunge hao makini wa CCM kama kweli wako makini wangeanzisha wenyewe kuukataa huo mswada. Kwanini hawakufanya hivyo na badala yake kusubiri CDM waseme wakati kanuni ya 86:3b inaweza kutumiwa na mbunge yeyote? kwanini hawa wabunge 'makini, wa ukweli' wasifanye hili jambo wenyewe?
c. Kwa vile mswada umepitishwa uwepo wa hao wabunge wa CCM ambao unaamini wangeweza kukubaliana na hoja ya CDM hauna msingi kwa sababu kama kweli wangekuwepo na wanajali maslahi ya nchi wangepiga kura ya kuukataa. Siyo Filikunjombe wale wabunge 'alike' (whatever that means) waliosimama kuupinga mswada. Sasa kama walishindwa kufanya hivi wao wenyewe uliwategemea kweli watengenezewe jamvi la kukanyagia na CDM? Kama kweli wako makini kwanini hawakupinga mswada huo wao wenyewe. NI wazi waliweka maslahi ya CCM mbele.
d. Kama wengine walivyosema, hauna msingi wowote unaokufanya uamini kuwa ati baada ya spika kuuliza Bunge basi Bunge "lazima" lingekubali hoja ya CDM. Thats overtly presumptous.

Sumu haijalibiwi kwa kunywewa!

Hoja yako ya msingi imejibiwa ila hutaki kuamini kuwa ndilo jibu lenyewe. Hakukuwa na maslahi yoyote ya kuweka pingamizi ambalo unajua litakataliwa. Ni bora kuchagua njia ya kutoa maoni na kuondoka kuwaachia wenye kufanya cha kwao wafanye. Binafsi hoja yako ingekuwa nzuri sana kama baada ya CDM kuondoka wabunge makini wa CCM wangejitokeza kuupinga mswada na kuuzia. Hapo ungekuwa na hoja kwamba 'unaona hata CDM kuondoka wameondoka lakini wabunge wa CCM kwa kutumia 86:3b walizuia mswada." Unfortunately that did not happen; so your argument is negated.

Hapana waliotuangusha ni wabunge wa CCM ambao kwa kutokana na maslahi ya Chama chao walikubali kupitisha miongoni mwa miswada mibovu ya kisheria ili uwe sheria. Kuwalaumu CDM kwa kutofanya kitu ambacho unajua ilikuwa ni sawa na kusukuma lori mlimani ni kuwaonea. Lawama za kupitishwa kwa mswada huu zinawaangukia moja kwa moja na peke yao CCM na CCM tu. Wangetaka kuzuia wangeweza, wangetaka kufanya mabadiliko ya kweli wangeweza. Hawakufanya.

Nafasi hii ya 86:3b haiwahusu Chadema tu inawahusu CCM, CUF na NCCR kwanini hivyo vyama vingine havikusimama kuweka pingamizi? Au pingamizi lingekuwa pingamizi zuri endapo tu CDM wangeliweka?

Maneno yako ni ya kujaribu kukatisha tamaa watu. Wapo wanaoweza kukata tamaa kwa sababu umesima "there is nothing" that can be done. Bahati mbaya sana, ulimwengu umeundwa na watu ambao hawakubali kauli kama hizo. Kuna watu waliamini kabisa apartheid system isingeweza kuondolewa na kle Afrika ya Kusini wapo hata watu weusi ambao walikubali kuwa watumishi wa mfumo huo kwa sababu hawakuona dalili ya kuweza kuung'oa. Hata leo wapo watu wanaoamini kabisa vitu fulani haviwezi kufanyika kwa sababu hawaoni namna ya vitu hivyo kufanyika. Ukweli ni kuwa tuna historia ya kutosha tu katika bunge letu kuwa sheria ikipitishwa haina maana haiwezi kubadilishwa. Na kufanya kosa la kupinga ni uhalifu haitishi sana watu kwa sababu watawala mara zote hutumia sheria kukandamiza watu na wale wenye dhamira sahihi wanakuwa tayari kuvunja sheria hizo kwa sababu ni kinyume na haki, utu na usawa wa mwanadamu.

Tena kwa kufanya ni kosa la kihalifu wamethibitisha kuwa hawakuwa na hoja na sasa wana vioja!

Nadhani wenye kuhitaji kutuba kwa kugalagala na kujifunika magunia na kujipaka majivu kichwani ni CCM na wale wote ambao wanaamini kuwa CCM haina lawama katika kupitisha mswada huu mbovu wakati ndicho chama kilicho na wabunge wengi na ndichoa ambacho kimeshikilia Urais.

kaka. ninasoma haya maandishi ya Pasco. ninachokiona ni kuwa ndugu Pasco anahoja ambayo ni "ideal" na hoja unazotoa wewe ni "real". siamini kusema eti ccm ina wabunge makini wangeunga mkono hoja ya CDM. sasa hajiulizi mpaka CDM wana toka bado hao wabunge makini hawakuweza kuibua hoja, kwa nini?. hivi ni nani asiyejua kuwa pale inapofika maslahi ya chama , CCM wanasahau maslahi ya nchi?.
ninaumia sana watu wanaposhindwa kufikilia mustakabali wa taifa, na kuendekeza itikadi ambazo zinawapatia chakula cha leo. ingependeza watanzania tungeache kuzaa. maana tunaowazaa hatuwatengenezei pa kuishi baadae.walio tangulia waliumia walijitahidi kwa nguvu zote wakatuachia taifa hli. lakini sisi tume jikita kuvuruga tu.
 
Kwahiyo una maana Lissu hakufuata kanuni bali alitoa hotuba?

Binafsi nadhani hotuba yake ndiyo ilikuwa na maelezo kuwa ni kwanini hakufuata kanuni hizo za pingamizi.
JMushi, Mhe. Lissu amewasilisha hotuba ya kambi ya upinzani kihalali kabisa tena kwa mujibu wa kanuni.

Ninachosema mimi, Mhe. Lissu hakupaswa kuwasilisha hotuba ile, alipaswa kuwasilisha pingamizi kwanza, kama angewasilisha pingamizi, Bunge lingesitisha majadiliano na kulisikiliza kwanza pingamizi, Hayo Mhe. Lissu aliyoyaeleza kwenye hotuba yake, alitakiwa ayaeleze kwenye pingamizi na sio kwenye hotuba. Bunge lingeshughulia kwanza pingamizi and you never know!.

Kwa vile hakukuwa na pingamizi rasmi, ile hotuba ya Mhe. TL ndio ilikuwa inahitimisha uwasilisha na kufungua mlango wa kuanza kwa majadiliano!.
 
Angalau umekaribia sasa .. 'you never know'. Mwanzoni ulisema kuwa kwa kuwasilisha pingamizi mswada ungesitishwa. Uliamini kuwa kwa kutoa pingamizi basi mswada usingeendelea na kurudishwa kwenye kamati. Bahati mbaya hutaki kukubali kuwa msimamo wako wa awali hauna msingi wa kanuni za Bunge. Unachosema sasa baada ya kurasa hizi zote ni kukubali kuwa CDM wangejaribu tu kuweka pingamizi lakini hatima yao ingeamuliwa na wabunge wa CCM. Hatujui kingetokea nini - and hence your 'you never know'.

a. Kubali kuwa kanuni ya 86:3b hailazimishi kuzuia mswada kusonga mbele, unatoa nafasi kwa pingamizi kutolewa na mbunge yeyote (siyo lazima wa CDM au wa upinzani; hata wa CCM angeweza kutoa na hawakutoa).

b. kubali kuwa kipengele cha 86:4 kinatoa nafasi kwa Bunge kuamua juu ya pingamizi lililowekwa kwa misingi ya 86:3b. Na kuwa spika atawahoji wabunge kutoa uamuzi kama kukubali pingamizi au la.

c. Kubali vile vile kuwa kutokana na wingi wa wabunge wa CCM ambao tayari walionesha ushabiki wa kutaka kupitisha mswada na kweli baadaye waliupitisha ilikuwa ni vigumu sana kwa CDM au chama kingine chochote kuzuia mswada ule.

d. Kubali kuwa jukumu la kuzuia mswada ule kwa maslahi ya taifa liliwaangukia wabunge wote na hasa wabunge wa CCM ambao ndio wengi Bungeni. Ni rahisi kwa CCM kuzuia mswada mbaya kuliko kwa CDM kushawishi CCM wazuie mswada ambao unaweza kunufaisha CCM zaidi.

je unakubali?
 
Mbona unamlazimisha kukubali? unapenda mashindano mkuu.duh!
 
Jamani nadhani ameshaliona kosa lake japokuwa hataki kukubali. Mimi huyu jamaa namjua sana kwa undani.. ni social climber mmoja wa hatari sana na ubishi na misifa ndio jadi yake...
 
Angalau umekaribia sasa .. 'you never know'. Mwanzoni ulisema kuwa kwa kuwasilisha pingamizi mswada ungesitishwa. Uliamini kuwa kwa kutoa pingamizi basi mswada usingeendelea na kurudishwa kwenye kamati. Bahati mbaya hutaki kukubali kuwa msimamo wako wa awali hauna msingi wa kanuni za Bunge. Unachosema sasa baada ya kurasa hizi zote ni kukubali kuwa CDM wangejaribu tu kuweka pingamizi lakini hatima yao ingeamuliwa na wabunge wa CCM. Hatujui kingetokea nini - and hence your 'you never know'.

a. Kubali kuwa kanuni ya 86:3b hailazimishi kuzuia mswada kusonga mbele, unatoa nafasi kwa pingamizi kutolewa na mbunge yeyote (siyo lazima wa CDM au wa upinzani; hata wa CCM angeweza kutoa na hawakutoa).

b. kubali kuwa kipengele cha 86:4 kinatoa nafasi kwa Bunge kuamua juu ya pingamizi lililowekwa kwa misingi ya 86:3b. Na kuwa spika atawahoji wabunge kutoa uamuzi kama kukubali pingamizi au la.

c. Kubali vile vile kuwa kutokana na wingi wa wabunge wa CCM ambao tayari walionesha ushabiki wa kutaka kupitisha mswada na kweli baadaye waliupitisha ilikuwa ni vigumu sana kwa CDM au chama kingine chochote kuzuia mswada ule.

d. Kubali kuwa jukumu la kuzuia mswada ule kwa maslahi ya taifa liliwaangukia wabunge wote na hasa wabunge wa CCM ambao ndio wengi Bungeni. Ni rahisi kwa CCM kuzuia mswada mbaya kuliko kwa CDM kushawishi CCM wazuie mswada ambao unaweza kunufaisha CCM zaidi.

je unakubali?

Nimekuelewa MwanaK.
 
Anayependa mashindano ni Pasco, na ndio maana Tundu lisu alimuumbua siku ile ya mdahalo. Tundulisu akiendelea kujibu swali lake jamaa akawa ananyoosha mkono huku body language (akitikisa kichwa) ikionesha kukipinga kile Tundulisu alichokuwa anaekieleza, ndipo Tundulisu akaamua kumuuliza anayetakiwa kujibu swali ni nani ...mimi au wewe?
Mbona unamlazimisha kukubali? unapenda mashindano mkuu.duh!
 
Sasa angalau umekuja ambako tuliko sisi wengine.

a. Kuzuia mswada ule hakuhitaji wabunge wa upinzani.
b. Wabunge hao makini wa CCM kama kweli wako makini wangeanzisha wenyewe kuukataa huo mswada. Kwanini hawakufanya hivyo na badala yake kusubiri CDM waseme wakati kanuni ya 86:3b inaweza kutumiwa na mbunge yeyote? kwanini hawa wabunge 'makini, wa ukweli' wasifanye hili jambo wenyewe?
c. Kwa vile mswada umepitishwa uwepo wa hao wabunge wa CCM ambao unaamini wangeweza kukubaliana na hoja ya CDM hauna msingi kwa sababu kama kweli wangekuwepo na wanajali maslahi ya nchi wangepiga kura ya kuukataa. Siyo Filikunjombe wale wabunge 'alike' (whatever that means) waliosimama kuupinga mswada. Sasa kama walishindwa kufanya hivi wao wenyewe uliwategemea kweli watengenezewe jamvi la kukanyagia na CDM? Kama kweli wako makini kwanini hawakupinga mswada huo wao wenyewe. NI wazi waliweka maslahi ya CCM mbele.
d. Kama wengine walivyosema, hauna msingi wowote unaokufanya uamini kuwa ati baada ya spika kuuliza Bunge basi Bunge "lazima" lingekubali hoja ya CDM. Thats overtly presumptous.

Sumu haijalibiwi kwa kunywewa!

Hoja yako ya msingi imejibiwa ila hutaki kuamini kuwa ndilo jibu lenyewe. Hakukuwa na maslahi yoyote ya kuweka pingamizi ambalo unajua litakataliwa. Ni bora kuchagua njia ya kutoa maoni na kuondoka kuwaachia wenye kufanya cha kwao wafanye. Binafsi hoja yako ingekuwa nzuri sana kama baada ya CDM kuondoka wabunge makini wa CCM wangejitokeza kuupinga mswada na kuuzia. Hapo ungekuwa na hoja kwamba 'unaona hata CDM kuondoka wameondoka lakini wabunge wa CCM kwa kutumia 86:3b walizuia mswada." Unfortunately that did not happen; so your argument is negated.

Hapana waliotuangusha ni wabunge wa CCM ambao kwa kutokana na maslahi ya Chama chao walikubali kupitisha miongoni mwa miswada mibovu ya kisheria ili uwe sheria. Kuwalaumu CDM kwa kutofanya kitu ambacho unajua ilikuwa ni sawa na kusukuma lori mlimani ni kuwaonea. Lawama za kupitishwa kwa mswada huu zinawaangukia moja kwa moja na peke yao CCM na CCM tu. Wangetaka kuzuia wangeweza, wangetaka kufanya mabadiliko ya kweli wangeweza. Hawakufanya.

Nafasi hii ya 86:3b haiwahusu Chadema tu inawahusu CCM, CUF na NCCR kwanini hivyo vyama vingine havikusimama kuweka pingamizi? Au pingamizi lingekuwa pingamizi zuri endapo tu CDM wangeliweka?

Maneno yako ni ya kujaribu kukatisha tamaa watu. Wapo wanaoweza kukata tamaa kwa sababu umesima "there is nothing" that can be done. Bahati mbaya sana, ulimwengu umeundwa na watu ambao hawakubali kauli kama hizo. Kuna watu waliamini kabisa apartheid system isingeweza kuondolewa na kle Afrika ya Kusini wapo hata watu weusi ambao walikubali kuwa watumishi wa mfumo huo kwa sababu hawakuona dalili ya kuweza kuung'oa. Hata leo wapo watu wanaoamini kabisa vitu fulani haviwezi kufanyika kwa sababu hawaoni namna ya vitu hivyo kufanyika. Ukweli ni kuwa tuna historia ya kutosha tu katika bunge letu kuwa sheria ikipitishwa haina maana haiwezi kubadilishwa. Na kufanya kosa la kupinga ni uhalifu haitishi sana watu kwa sababu watawala mara zote hutumia sheria kukandamiza watu na wale wenye dhamira sahihi wanakuwa tayari kuvunja sheria hizo kwa sababu ni kinyume na haki, utu na usawa wa mwanadamu.

Tena kwa kufanya ni kosa la kihalifu wamethibitisha kuwa hawakuwa na hoja na sasa wana vioja!

Nadhani wenye kuhitaji kutuba kwa kugalagala na kujifunika magunia na kujipaka majivu kichwani ni CCM na wale wote ambao wanaamini kuwa CCM haina lawama katika kupitisha mswada huu mbovu wakati ndicho chama kilicho na wabunge wengi na ndichoa ambacho kimeshikilia Urais.
Mzee Mwanakijiji, please lets cut the long story short naomba tuufunge huu mjadala kwa swali moja dogo, jee kuliwasilishwa pingamizi lolote?. Mimi nasisitiza hakuna pingamizi lolote lililo wasilishwa bungeni kupinga muswada huu!. Nakuomba sio unielimishe wala sihitaji maelezo marefu, jee muswada ule ulipingwa kwa mujibu wa kanuni?.
 
haukupingwa na CCM wala chama kingine chochote kwa kutumia kanuni. Vyama vingine havikuwa na namna ya kuuzia mswada. Lakini na wewe ujibu swali: Je unaamini kuwa wabunge makini CCM wangeweza kuzuia mswada ule kwa kutumia 86:3b lakini hawakufanya hivyo na hivyo walipitisha mswada ambao wangeweza kuuzuia?
 
Angalau umekaribia sasa .. 'you never know'. Mwanzoni ulisema kuwa kwa kuwasilisha pingamizi mswada ungesitishwa. Uliamini kuwa kwa kutoa pingamizi basi mswada usingeendelea na kurudishwa kwenye kamati. Bahati mbaya hutaki kukubali kuwa msimamo wako wa awali hauna msingi wa kanuni za Bunge. Unachosema sasa baada ya kurasa hizi zote ni kukubali kuwa CDM wangejaribu tu kuweka pingamizi lakini hatima yao ingeamuliwa na wabunge wa CCM. Hatujui kingetokea nini - and hence your 'you never know'.

a. Kubali kuwa kanuni ya 86:3b hailazimishi kuzuia mswada kusonga mbele, unatoa nafasi kwa pingamizi kutolewa na mbunge yeyote (siyo lazima wa CDM au wa upinzani; hata wa CCM angeweza kutoa na hawakutoa).

b. kubali kuwa kipengele cha 86:4 kinatoa nafasi kwa Bunge kuamua juu ya pingamizi lililowekwa kwa misingi ya 86:3b. Na kuwa spika atawahoji wabunge kutoa uamuzi kama kukubali pingamizi au la.

c. Kubali vile vile kuwa kutokana na wingi wa wabunge wa CCM ambao tayari walionesha ushabiki wa kutaka kupitisha mswada na kweli baadaye waliupitisha ilikuwa ni vigumu sana kwa CDM au chama kingine chochote kuzuia mswada ule.

d. Kubali kuwa jukumu la kuzuia mswada ule kwa maslahi ya taifa liliwaangukia wabunge wote na hasa wabunge wa CCM ambao ndio wengi Bungeni. Ni rahisi kwa CCM kuzuia mswada mbaya kuliko kwa CDM kushawishi CCM wazuie mswada ambao unaweza kunufaisha CCM zaidi.

je unakubali?
Mzee Mwanakijiji, kwanza nakubali yote!.
Lakini nakuomba na wewe ukubali langu moja tuu, jee muswada ule ulipingwa au haukupingwa?. Nikimaanisha jee kulikuwa na pingamizi lolote kupinga muswada usiwasilishwe?.
 
wanabodi,
kanuni ya kuu ya kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia chadema, they were wrong!, walikosea!, kwanza wakiri makosa, pili wakubali yaishe na mwisho wasonge mbele, 2015 sio mbali kihivyo!.

Mchelea mwana kulia, hulia yeye, japo binafsi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa bali ni mkereketwa wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, hivyo wapenzi wote wa dhati wa demokrasia, lazima waikubali chadema kama ndicho chama pekee cha upinzani tanzania bara kilichoonyesha nuru ya matumaini ya uwezekano wa kupatikana kwa demokrasia ya kweli ndani ya bunge na labda hata ukombozi wa pili wa mtanzania baada ya uhuru na miaka 50 ya utumwa wa chama kimoja kuhodhi madaraka yote ya dola.

Wengi wa wapenzi wa demokrasia wanaishabikia mno chadema wakichelea kuiambia ukweli kuwa watalia, mimi nachelea mashabiki na wapenzi wao kulia mwaka 2015, hivyo nawaambia ukweli ili hata kama mtalia, lakini itakumbukwa mliambiwa!.

Suala la kususia jumla mchakato wa kuunda tume ya kukusanya maoni kuunda katiba mpya ni kosa kwa sababu chadema kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ilikuwa na uwezo wa kuusimamisha na kuzuia uwasilishwaji kwa mara ya pili huo muswada kwa kutumia kanuni ya kifungu 86 hivyo kutoa fursa ya hoja ya kuzuia uwasilishwaji huo kusikilizwa, lakini chadema haikufanya hivyo.

Hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wabunge wa chadema katika umakini, kitendo cha oversight ya opportunies provided by kifungu cha 86 cha kanuni za bunge kuuzuia huo muswada, sio tuu ni udhaifu mkubwa, but kosa kubwa ambalo chadema lazima wakiri, waombe radhi na kusonga mbele.

Kanuni hiyo ya 86 inaeleza wazi hatua kwa hatua za kufuatwa ili kuuzuia muswada usisomwe kwa mara ya pili. Chadema ilipuuza na kuendelea kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani.

Kama chadema ingezingatia kanuni hiyo, isinge wasilisha maoni ya kambi ya upinzani bali ingewasilisha pingamizi!.

Kitendo cha mhe. Lissu kuwasilisha maoni ya kambi ya upinzani, yamemaanisha wameijibu hoja ya serikali hivyo kutoa go ahead majadiliano yaendelee. Uwasilishwaji wa hotuba hiyo ndio passport ya mjadala kuendelea, kama kambi ya upinzani wasingewasilisha maoni yao, muswada ungesitishwa kwanza na wao kusikilizwa. Hivyo iwasilishwaji wa hotuba ile ni kosa la pili, chadema lazima wakiri kosa, waombe radhi na kusonga mbele!.

Kitendo cha kususia mjadala kwa siku ya kwanza na kutoka nje, was the right move kuonyesha protest dhidi ya unyanyasaji wa mhe. Spika, lakini kuisusa hoja jumla, was a mistake hivyo sheria imetungwa bila imput yao, hivyo hili ni kosa la tatu, chadema wakiri kosa, waombe radhi na kusonga mbele!.

Nimebahatika kuhudhuria mdahalo wa star tv kuhusu tanzania tuitakayo ambapo mhe. Tindu lissu ilikuwa ni mdahiliwa, na nilipata fursa ya kuuliza swali kuhusu kanuni ya 86 lililokuwa na vipengele a, b na c
(a) kanini hawakitumia kanuni ya 86 kuuzuia muswada usisomwe?.
(b) kwanini waliwasilisha hotuba ya maoni ya kambi ya upinzani yaliyotoa passport mjadala uendelee badala ya kuwasilisha pingamizi ambayo ingeusimamisha mjadala?.
(c) chadema wamesusa sheria imepitishwa, jee wamefaidika na nini na kususa kwao?.

Mhe. Lissu amepiga chenga kutoa majibu ya kina kwa kujibu
(a). Amenisomea hitimisho la hotuba yake. Kanuni ya 86 ilimtaka mhe. Lissu awasilishe pingamizi na sio hotuba!.
(b) amepiga chenga kueleza ni kwanini amewasilisha hotuba badala ya pingamizi!.
(c) wananchi wanaelewa ni nani mtetezi wao wa ukweli.

Kwa vile sheria imepitishwa na itasainiwa na rais kwa mbwembwe, lazima chadema na wapenzi wao na mashabiki wao waukubali ukweli mchungu kuwa they lost the bettle hivyo watake wasitake, lazima wakubali matokeo. Hawawezi kuendelea kususa, lazima wajisibmit kwenye tume ya kuratibu maoni na kutoa maoni yao hata kama tume hiyo itaundwa bila imput yao na bila ridhaa yao!.

Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo (tume ya kukusanya maoni) na yajayo (katiba mpya).

Namalizia kwa kusisitiza, kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa!. Chadema kwenye uundwaji tume mmefanya kosa!. Sheria imetungwa na sasa sio kosa tena, kosa ni kurudia kosa kama hamtoa maoni yenu kwenye tume!. Two wrongs don't make right, better late than never!.

2015 sio mbali kihivyo!.

Wasalaam
pasco (wa jf).

sasa wewe una maoni gani kuhusu hiyo sheria? Je itasaidia watanzania kupata ya kiwango cha juu kama wengi wanavyotarajia? Au itakuwa tu ni yale yale ya miaka yote(rais ndiye mtu wa mwenye kuamua ni kitu gani cha kuweka kwenye katiba)
 
Kuna kitu najiuliza hapa; Hivi hawa waandishi mahiri na wenye uelewa mkubwa ktk hili watatumia kalamu zao bila uoga kuwaonyesha wananchi wa kawaida ubovu wa sheria hiyo na hasara ya kuitumia ktk mchakato wa kupata katiba, au watajitahidi kuwaonyesha makosa ya Chadema kuwa 'wangefanya hivi pengine ingekuwa hivi'...?? au watawashauri wasomaji wao kuwa kwa kuwa ccm wamelazimisha matakwa yao basi hakuna namna, kubalini tu yaishe... Kweli???
Sasa hivi tumechoka kiasi kuwa hata kuhoji kwa nini bunge limepokea muswada ambao waliouandaa wamekiuka hata maagizo ya bunge lenyewe tunashindwa, tumebaki kulaumu kuwa Chadema wangefanya hiki na kile... Hivi ni kweli mchakato wa katiba unawategemea Chadema na ccm na ndivyo inavyotakiwa kuwa?
 
Mzee Mwanakijiji, kwanza nakubali yote!.
Lakini nakuomba na wewe ukubali langu moja tuu, jee muswada ule ulipingwa au haukupingwa?. Nikimaanisha jee kulikuwa na pingamizi lolote kupinga muswada usiwasilishwe?.

Naam. Kama umekubali mjadala umeisha. Shukrani mkuu.
 
haukupingwa na CCM wala chama kingine chochote kwa kutumia kanuni. Vyama vingine havikuwa na namna ya kuuzia mswada. Lakini na wewe ujibu swali: Je unaamini kuwa wabunge makini CCM wangeweza kuzuia mswada ule kwa kutumia 86:3b lakini hawakufanya hivyo na hivyo walipitisha mswada ambao wangeweza kuuzuia?
Asante kwa jibu lako nawaomba na wengine wote wajue kuwa muswada ule haukupingwa na yeyote!. This is a fact!. Kumbe harakati zote za kujidai kupinga zilikuwa ni ngonjera tuu!. Kama hakukuwa na pingamizi lolote hivyo kupelekea muswada kupita kiulaini! Kelele zote za kuupinga was nothing ni makelele tuu!, inatolewa fursa ya kupinga, hakuna anayepinga hizo kelele mnapigia nini?.
 
Back
Top Bottom