Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

kweli yaishe kwa sababu wewe uliwategemea CDM badala ya kuwategemea CCM ambao ndio walikuwa na uwezo wa kuzuia mswada huu na hawakufanya hivyo. Angalau tunafarijika kujua kuwa CDM walitoa msimamo wao kuonesha mapungufu ya mswada na wakaukataa kwa vitendo livyo dhahiri - kwa kutoka nje. CCM waliobakia ndani wangeweza kubadilisha au kuukataa hawakufanya lolote wakabakia kupigiana makofi. Hawa ndio wa kuwasikitikia. Bahati mbaya huoni tatizo kwa CCM kupitisha mswada mbovu wakati wale unaowaita ni "wabunge makini' waliposhindwa kutumia kanuni ile ile ya 86:3b. Hata mimi nakubali yaishe maana kama CCM waliopitisha mswada kwa mbwembwe walitarajiwa waunge mkono CDM basi inatosha siku kuwa vituko.
Asante Mzee Mwanakijiji, lazima nikiri wewe ni kichwa mbaya, if you can, in 2015, please come down to ground zero. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo!.

It was pleasure, you are most welcome!.
 
Hili nalo ni jibu. Nilikuwa sijui kuwa na wewe upo kwenye list ya vijana wa Nape. FF yeye tumemzoea. Kajitahidi kujilambalamba kwa Pasco akitegemea kuwa Pasco ataanza kuungana naye kwenye kuitetea CCM, ila kweli Pasco hafungamani na upande wowote, Kimama kimepigwa chini PWAAAA!!!!!! Hahahahaaaaa.......

Pasco kweli unasimama wewe kama wewe. Mtu anaweza kukuchukia au kukupenda ila ukweli unabaki kama wewe.

Endelea hivyo hivyo ila tu ubadilike kwa kitu kimoja. Usiwe mtu wa kuishi bila PLAN B na C ikibidi.

Kama wote tunajua muswaada huu ni mbovu, bila ya kujali CHADEMA wangelifanya nini au hawakufanya nini, tuungane na tuje na PLAN B kwa hawa "Mbwa" na kamba zao shingoni wa CCM ambao milele wataenda ambako mama yao Spika Makinda anataka kwenda. Watafurahi kuwa wapo na Makinda ila mwisho wa siku, wako kwenye KAMBA.
DogWalkerES_468x432.jpg

Nilikujua tu utakuja na issue ya kuwa nipo kwenye list ya NAPE..oh! wewe uko kwenye list ya MBOWE??? shame
 
"Pascal nimeamini wewe ni genius na ni gwiji la waandishi wa habari Tanzania nzima, 2015 inabidi ugombee Urais" Unajisikiaje kwa statement kama hii? Tafakari na fananisha na ulichikiandika hapa chini
Asante Mzee Mwanakijiji, lazima nikiri wewe ni kichwa mbaya, if you can, in 2015, please come down to ground zero. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo!.

It was pleasure, you are most welcome!.
 
Asante Mzee Mwanakijiji, lazima nikiri wewe ni kichwa mbaya, if you can, in 2015, please come down to ground zero. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo!.

It was pleasure, you are most welcome!.

I despise politics. So, nikijihusisha nayo ujue ni kwa sababu siipendi ilivyo. Otherwise, nafurahia uthabiti wako kusimamia unachoamini lakini pia uwezo wako wa hatimaye kutambua ni wakati gani kukiachilia ili uwe sahihi zaidi. A mark of an intellectual. Keep it up bro. Mara zote ruka kwa mbawa zako!
 
Wakati chadema itakuwa inatawala hawataandaa hata katiba kama wanavyofanya ccm..wanavyopenda madaraka salale!

Ukweli ni kuwa chadema hawataki JK (rais) aunde tume ya kuchukua maoni ya wananchi ili kuunda katiba..

Lakini Slaa angekuwa rais angeunda tume (wangekuwa wanampongeza)

Tatizo la chadema siyo ccm ni JK period..

tunaomba wanachama wa JF msio wa tz mtuachie hili suala la katiba ya tz,Kuliko kuharibu hali ya hewa hapa jukwaani. Haiwezekani kwa Mtz mwenye akili timamu anaandika habari za CDM na CCM, Tundu Lissu et al bila kuangalia mantiki ya hoja husika katika kupatikana kwa KATIBA MPYA YA TANZANIA,swala la katiba si suala la kiushabiki wa kisiasa TOPICAL sijui umri wako lakini maandiko yako mengi yanatia kichefuchefu, SWALA LA KATIBA NI VEMA WATZ WOTE TUZUNGUMZIE MANTIKI SAHIHI YA NAMNA MCHAKATO UNAVYOPELEKWA KAMA UTAPELEKEA TUPATE KATIBA MPYA MWAFAKA,Mapenzi yako kwa Raisi au kwa Chama endelea nayo,lakini ukumbuke hili swala la katiba halitakiwi kuhusianisha na mapenzi yako kwa chama au kiongozi yeyote.
Kama tunataka kuandika katiba mpya ya Tanzania kwa ajili ya watanzania mchakato uanze na watanzania wote kwa uwakilishi na si taasisi chache kama Raisi wa TZ na Raisi wa ZNB,na wao wahusike kama watz na wawe na nafasi sawa kama watz wengine katika kufanikisha upatikananji wa katiba Mpya, Pasco na Topical amkeni,tafuteni watu wa Mungu wawafanyie maombi muamke muelewe katiba tunayotaka inabidi iwe katiba kwa watz wale waliopo na wataozaliwa mbeleni hivyo ni budi iandaliwe kwa kushirikisha watz waliopo kwa wingi kadri itavyowezekana.
 
Mwanaume mzima kujikomba kwa Pasco, huoni aibu? Tena Pasco wala hajali kama unaandika maneno yoyote.

Wee unaona Ngosha anaweza kuwa kwenye Payroll ya Mbowe? Kwanza huku Sikonge ni CCM tu hakuna Chadema wala CUF.

Hivi katika hawa Mbwa, wewe unajifananisha na yupi? Nape kweli ana future maana watumwa wake wapo wengi.

DogWalkerES_468x432.jpg

Hawa mkuu kila anayewapinga either ametumwa, analipwa etc..

Isipokuwa anayewa -support tu ndio hajatumwa na halipwi..

wana akili nyepesi sana usijiismubue nao we know them hawataki watu wenye kuuliza maswali..
 
Binafsi nimefurahishwa sana na maoni ya Pasco, isipokuwa sikubaliani na hoja ya CDM kuomba radhi, hakuna uzito wa namna hiyo. Big up Pasco, umeanzisha hoja na mjadala mzuri unaoirudisha JF ktk hadhi yake.
 
Mwanaume mzima kujikomba kwa Pasco, huoni aibu? Tena Pasco wala hajali kama unaandika maneno yoyote.

Wee unaona Ngosha anaweza kuwa kwenye Payroll ya Mbowe? Kwanza huku Sikonge ni CCM tu hakuna Chadema wala CUF.

Hivi katika hawa Mbwa, wewe unajifananisha na yupi? Nape kweli ana future maana watumwa wake wapo wengi.

DogWalkerES_468x432.jpg

Haya umeshinda wewe uko juu sana..

Kila la heri
 
Pasco umenena vyema.

Hawa jamaa wa magwanda hawana wakitakacho zaidi ya "shortcut".

Hata Kikwete afanye nini kwao ni kosa tu, tatizo lao ni Kikwete na si Serikali. Hilo lipo wazi kabisa, lakini ukweli ni kwamba Kikwete ndiye aliyefanya mema Tanzania hii zaidi ya Rais yeyote mwingine wa kabla yake na hilo halina utata wala ubishi. Wakae wafikiri.
Dada yangu, Faiza Fox,
heshima mbele, nakuheshimu sana na kukuita Dada baada ya kukusoma kule kwa Mohamed Said kuwa wewe ni binti wa mitaa ya alikoishi Marijan Rajab (Jabali la Muziki), ni kwa heshima yake tuu, ndio nakuheshimu.

Wewe pia ni kichwa humu jukwaani, naomba ili kuilinda hadhi na heshima yako, kwanza acha kuzitumia tamadhali za semi kama Magwanda, au Magamba etc.

Tofauti kubwa kati ya mimi na wewe ni Mchango wa Mwalimu Nyerere kwa taifa hili. Nakusihi sana, kataa yote ila kubali mawili, 1.alitupatia uhuru 2. Alituunganisha Watanzania wa makabila zaidi ya 120 kuwa wamoja!.

Mwisho nakushukuru kwa kunisupport hoja zangu, ila usidhanie mimi ndio naisupport CCM, tafuta thread yangu kuhusu CCM Imechokwa ili uufahamu msimamo wako kuhusu chama chako, tubishane kwa hoja, tubaki wamoja!

Asante tena!
 
Pasco ana hoja ila anashindwa kujua haki na sheria ni vitu viwili tofauti, akumbuke baada Mh Lisu kusoma maoni ya kambi rasmi ya upinzani, mh. Kafulila aliomba mwongozo zaidi ya mara nne spika akamjibu hakuna mwongozo hapa tuendelee na mjadala je pasco anategemea kanuni ifanye kazi?
Ccm wanadai wao wanawakilisha wananchi so kwenye kuandaa rasimu ya mchakato hawakuona haja ya kwenda kuwauliza bali waliwawakilisha, swali kwa pasco kwa nini wakati wa kutoa mapendekezo wanaenda kuwauli? Si watoe maoni kwa niaba yao? CHADEMA wamewin
VIVA CHADEMA VIVA.
 
I despise politics. So, nikijihusisha nayo ujue ni kwa sababu siipendi ilivyo. Otherwise, nafurahia uthabiti wako kusimamia unachoamini lakini pia uwezo wako wa hatimaye kutambua ni wakati gani kukiachilia ili uwe sahihi zaidi. A mark of an intellectual. Keep it up bro. Mara zote ruka kwa mbawa zako!
Thanks. Umenikumbusha maneno ya mwali wangu Prof. Shivji, alisema,
Most politicians, don't love politics, they love power!, the people who loves politics trully, they are not looking for power, Tanzania politics is politics of power!, akimaanisha wanasiasa wengi wanaingia kwenye siasa, sio kwa sababu wanapenda siasa, bali wanaingia kwa sababu, wanataka madaraka, halafu wale wanaipenda siasa kwa dhati, hawahitaji madaraka, na kumalizia siasa za Tanzania ni siasa za madaraka!.

Tuhakikishe kwenye katiba mpya, wabunge wasiwe mawaziri wala wajumbe wa bodi, bali ni wawakilishi tuu wa wananchi, muone wangapi hawatajisumbua kuivest kuutafuta ubunge kwa kura za kula!.

Mawaziri wawe proffesional people kwenye fani zao.
 
Pasco ana hoja ila anashindwa kujua haki na sheria ni vitu viwili tofauti, akumbuke baada Mh Lisu kusoma maoni ya kambi rasmi ya upinzani, mh. Kafulila aliomba mwongozo zaidi ya mara nne spika akamjibu hakuna mwongozo hapa tuendelee na mjadala je pasco anategemea kanuni ifanye kazi?
Ccm wanadai wao wanawakilisha wananchi so kwenye kuandaa rasimu ya mchakato hawakuona haja ya kwenda kuwauliza bali waliwawakilisha, swali kwa pasco kwa nini wakati wa kutoa mapendekezo wanaenda kuwauli? Si watoe maoni kwa niaba yao? CHADEMA wamewin
VIVA CHADEMA VIVA.
Ufunuo, by the time wanaomba muongozo, process ya kuruhusu muongozo ilikuwa tayari by passed!
Hicho kilichofanyika dicho kilichoileta ile katiba ya 1977. Sasa ndio kwa mara ya kwanza, Tanzania tutatengeneza katiba inayo kidhi vigezo vya constitutionalsm of the constitution ikiwa ni katiba ya watu, iliyoundwa na watu kwa manufaa ya watu!
 
Soma ujumbe wa Pasco juu. Wameshinda CCM na watumwa wao kama wewe. Mungu bariki mie hata chama sina ila ukweli ni kuwa CCM na mie ni chui na kondoo......

Hilo nililo underline ndio tatizo lako..

Sawa wewe ni mtumwa wa chadema mimi mtumwa wa ccm..

Kila mtu atakayeipinga chadema ni mtumwa lol..
 
Kwa kweli mimi nimewashangaa sana Chadema, na viongozi wao kwa ujumla..

Chadema walitoka bungeni baada ya rais Kikwete kuanza kuhutubia bunge la jamhuri ya Tanzania.

Chadema wakatoka bungeni huku wakisema hawamtambui rais Kikwete..

Leo tena Chadema wanaunda team ndogo wakumuone rais hawasaidie wawemo kwenye rasimu ya katibu tena Mbowe, kamuita rais Kikwete, Amiri Jeshi mkuu..

Leo tena imekuaje mnataka mkamuone rais msiomtambua hakawasaidie katika mambo ya Katiba?

Rais akisema hana nafasi mpaka 2014 mtafanyaje?
 
Mzee Mwanakijiji, huna hoja unapinga kama uko kwenye barza za kucheza bao. "utalalia wapi", "mtaji uko wapi", "kisha itakuwaje", "ningepeleka kete hizi".

Pasco Uko juu, juu, juu zaidi.

Mwanakijiji huna uelewa na ufahamu na muono aliokuwa nao Pasco, he is way way too far ahead of you. No pun intended.

wewe mateka wa ccm unasemaje?! Wadau wote tunaona hapa Pasco chali.

Nilimwambia mwanzoni hapa kuwa hiyo kanuni anayo ng'ang'ania bado isingeweza kuzuia na mifano hai ya bunge lililopita wadau walitoa hapa bado akabisha.

Sasa amekiri kuwa wasingeweza kuzuia ila wangepinga tu kwa hicho kifungu huenda mambo yangekuwa mengine! Sasa tumuulize wangepinga kwa kutumia kanuni ili iweje wakati inajulikana fika wasingeweza kuzuia???

Hata hivyo hitimisho la hotuba ya Lisu limemaliza kila kitu mana amepinga na kifungu akakitaja.
Hvyo pongezi nawapa Cdm kwa mbinu yao safi mana wamepinga mwishoni mwa hotuba wakati tayari wameshatupa nafasi wananchi kusikia udhalimu wote wa muswada huo na ndio maana Lisu na wenzie walivyotoka nje tu mjadala bungeni ukawa ni juu ya Lisu wakatukana nk na bado hawakuweza kupunguza japo robo tu ya ukweli aliotoa Lissu na ndio maana Mwenyekiti wako akafanya kikao na wazee wa ccm Dsm kutafuta public sympathy ambayo pia wenye akili hatujampa na hatutampa.
Naamini Pasco kwa lecture aliyopewa hapa atakua ameelewa vizuri tu
 
Asante Mkuu Mwanakijiji, kumbe upigaji kelele wote kuhusu kuuzuia huu muswada usiwasilishwe was nothing!. Kumbe hakukuwa na pingamizi lolote rasmi!. Yaani watu maneno marefu, vitendo vifupi, mara jukwaa la katiba likapinga!, mara wanaharakati wakapinga, humu jukwaani tumepinga sana!. Kumbe yote ni maneno matupu!. Tulio wategemea kwa vitendo kule mjengoni wametupatia vitendo sifuri!. Yaani siamini harakati zote zile za kupinga kuwasikishwa muswada huu, ilipotokea fursa ya kuwasilisha pingamizi rasmi, there was nothing!. Nill!. What a loss!. Wanabodi, nimekubali yaishe!.

Na hii ndio ligi niliyokwambia kuwa unaipenda ukabisha.
Dah kama mzee wa @ New York city.
ubarikiwe mkuu
 
Una nyege wewe, khaaa.... Ukitekenywa kidogo tu..... Si ulisema nimeshinda na ukijifanya kumaliza mjadala?

Mie sina chama. Ila hadi leo kadi pekee niliyonayo ni ya CCM niliyolazimishwa kununua JKT. Sijawahi kuilipia hadi leo ila inawezekana CCM hadi leo bado mnajivunia jina langu kama Mwana CCM. Naona wewe umeshatubu kuwa ni MTUMWA wa CCM, HONGERA.

Nina imani hutaanza tena kubwabwaja hapa maneno baada ya kupata mtekenyo mwingine, hahahaaa.......

Meza kwanza mate basi, ni utani tu..... hahahahaa, hujui utani? Don't take it Personal. Noyaga getegete.

Hilo nililo underline ndio tatizo lako..

Sawa wewe ni mtumwa wa chadema mimi mtumwa wa ccm..

Kila mtu atakayeipinga chadema ni mtumwa lol..
 
Hili nalo ni jibu. Nilikuwa sijui kuwa na wewe upo kwenye list ya vijana wa Nape. FF yeye tumemzoea. Kajitahidi kujilambalamba kwa Pasco akitegemea kuwa Pasco ataanza kuungana naye kwenye kuitetea CCM, ila kweli Pasco hafungamani na upande wowote, Kimama kimepigwa chini PWAAAA!!!!!! Hahahahaaaaa.......

Pasco kweli unasimama wewe kama wewe. Mtu anaweza kukuchukia au kukupenda ila ukweli unabaki kama wewe.

Endelea hivyo hivyo ila tu ubadilike kwa kitu kimoja. Usiwe mtu wa kuishi bila PLAN B na C ikibidi.

Kama wote tunajua muswaada huu ni mbovu, bila ya kujali CHADEMA wangelifanya nini au hawakufanya nini, tuungane na tuje na PLAN B kwa hawa "Mbwa" na kamba zao shingoni wa CCM ambao milele wataenda ambako mama yao Spika Makinda anataka kwenda. Watafurahi kuwa wapo na Makinda ila mwisho wa siku, wako kwenye KAMBA.

Hivi huna hoja ila Faiza Foxy? inahusu kumuongelea mtu badala ya hoja? ukisikia "poor minds" ndio hizo.
 
wewe mateka wa ccm unasemaje?! Wadau wote tunaona hapa Pasco chali.

Nilimwambia mwanzoni hapa kuwa hiyo kanuni anayo ng'ang'ania bado isingeweza kuzuia na mifano hai ya bunge lililopita wadau walitoa hapa bado akabisha.

Sasa amekiri kuwa wasingeweza kuzuia ila wangepinga tu kwa hicho kifungu huenda mambo yangekuwa mengine! Sasa tumuulize wangepinga kwa kutumia kanuni ili iweje wakati inajulikana fika wasingeweza kuzuia???

Hata hivyo hitimisho la hotuba ya Lisu limemaliza kila kitu mana amepinga na kifungu akakitaja.
Hvyo pongezi nawapa Cdm kwa mbinu yao safi mana wamepinga mwishoni mwa hotuba wakati tayari wameshatupa nafasi wananchi kusikia udhalimu wote wa muswada huo na ndio maana Lisu na wenzie walivyotoka nje tu mjadala bungeni ukawa ni juu ya Lisu wakatukana nk na bado hawakuweza kupunguza japo robo tu ya ukweli aliotoa Lissu na ndio maana Mwenyekiti wako akafanya kikao na wazee wa ccm Dsm kutafuta public sympathy ambayo pia wenye akili hatujampa na hatutampa.
Naamini Pasco kwa lecture aliyopewa hapa atakua ameelewa vizuri tu

Kususa ndio kumeweza?
 
Back
Top Bottom