Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

thx to oo. Kumbe hata miye ngumbaru wa sheria nimepata kipande..., specifically I say thank you Pasco, M/Kijiji, Mkandara, FJM, JMushy, na wengine magwiji waliochambua hoja. Kwa kweli ni kwa manufaa ya nchi yetu. Nasikitika kwa wale wengine waliokuwa wapiga debe na kelele. Bado Tz ina watu wenye akili zenye akili...
 
Ningependekeza sasa tujielekeze kwenye muswada wenyewe na kuachambua. Bunge la CCM limeupitisha, je, wananchi tunakubali yote yaliyomo ndani ya muswada huu kama yalivyopitwa na bunge hilo la ccm? Nini kifanyike? na wapi pa kurebisha? haya ndio mambo ya msingi kwa maoni yangu.
FJM, suala la utii wa sheria halina mjadala, nakuhakikishia baada ya muswada ule kutiwa saini na kuwa sheria, no one can do anything!. Hata hao Chadema wala wanaharakati hawawezi kufanya lolote, nothing, nil!, ndio maana nilishauri tuvunje kambi, tuipe tume ushirikiano!.
 
Muswada ukiridhika nao usiridhike nao ndio umeshakuwa na atakapo ulamba signature Rais unakuwa sheria. Cha msingi ni kufuata sheria zilizopo kutoa maoni yetu tunataka katiba iweje, huko ndipo tunapoelekea. Mswaada kama umeupenda au hujaupenda hayo ni mambo yako, na una uhuru wa kuyajadili ukiyataka, lakini kwa hili lililopo hapa, Magwanda wamekosea, wakubali na wajirekebishe.
 
Tundu hakuwa na hoja. Bungeni usione tu wanaongea pale, kama alivyofanya Tundu lakini haikuwa na maana yoyote maneno yake, alikuwa hapingi pale alikuwa anatoa maoni yake, na maoni yake ni wanaomsikiliza ama wayakubali ama wasiyakubali lakini hayabadili kanuni za bunge.
Faiza Fox asante kunisaidia kuelimisha hili, Mhe. Tundu hakutoa pingamizi, alitoa maoni. Ukitoa maoni bunge linasikiliza tuu, wanaweza kuamua kuyazingatia au kuyapuuza. Lakini kama angetoa pingamizi, spika hana mamlaka ya kuzuia, wala hana uamuzi asikilize au la, ni lazima asimamishe kila kitu, asikilize lile pingamizi na wabunge kulichangia na ndipo aliulize bunge kufikia uamuzi.

Naendelea kusisitiza kutowasilishwa pingamizi was a mistake, ila pia lazima niikubali hoja ya Mzee Mwanakijiji kuwa sio kosa la Chadema wala tuwatwishe huu mzingo wa lawama, kwa sababu kanuni ziko wazi, mbunge yoyote angeweza kuwasilisha pingamizi, sio lazima mpaka Lissu tuu au Chadema.
 
Pasco

Sentenso yako ya kwanza kwenye thread hii inaikosoa Chadema kwa kusema "CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!"

Halafu umehitimisha hapo juu kwa kusema "sio kosa la Chadema wala tuwatwishe huu mzigo wa lawama"
Kuna haja kweli ya sisi wengine kuendelea na mjadala huu tena, wakati mwanzishaji mwenyewe umeu-neutralise??
 
Samahani kama nimekosea inaonekana wewe nikizazi cha 2K05, mema yapi ambayo wewe unayazungumzia, kwa Wananchi wa Tanzania ama kwa ndugu na jamaa wa familia yake?

Twende mojamoja,

Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?
 
Faiza Fox asante kunisaidia kuelimisha hili, Mhe. Tundu hakutoa pingamizi, alitoa maoni. Ukitoa maoni bunge linasikiliza tuu, wanaweza kuamua kuyazingatia au kuyapuuza. Lakini kama angetoa pingamizi, spika hana mamlaka ya kuzuia, wala hana uamuzi asikilize au la, ni lazima asimamishe kila kitu, asikilize lile pingamizi na wabunge kulichangia na ndipo aliulize bunge kufikia uamuzi.

Naendelea kusisitiza kutowasilishwa pingamizi was a mistake, ila pia lazima niikubali hoja ya Mzee Mwanakijiji kuwa sio kosa la Chadema wala tuwatwishe huu mzingo wa lawama, kwa sababu kanuni ziko wazi, mbunge yoyote angeweza kuwasilisha pingamizi, sio lazima mpaka Lissu tuu au Chadema.

Vyema. Hivyo omba moderators wabadili kichwa cha huu uzi!! Napendekeza kiwe hivi "Muswada wa Katiba: Wabunge mlikosea! Ndugu Rais Tafakari Kabla Hujatia Saini!"
 
Pasco,

Samahani narudi tena ingawa niliaga ila naona nimsaide hapa Mkandara kwani naona kaweka point moja muhimu sana na wewe umeijibu kisiasa zaidi.

Ulichojibu ni sawa na Mwanamke/Mwanaume aliyemuuwa mwenzi wake kwa sumu na alipopelekwa mahakamani, majibu yake yakawa kapa hapa chini.

Hakimu: Unashitakiwa kwa kumuuwa mpenzi wako kwa sumu uliyoweka kwenye chakula.
Mshitakiwa: Hapana hakimu, sikumuuwa mie. Wakati napika, moja ya VIUNGO nilivyotumia kwenye mbonga ilikuwa ni hiyo MERCURY. Na si hicho tu, niliweka pia DDT, pilipili, chumvi, binzari............

Hakimu anawaambia watu kuwa "Mshitakiwa hana makosa kwa sababu katika maelezo yake, tunaona wazi kabisa kuwa hakuwa na nia ya kumuuwa Mshitakiwa ila ametumia tu VIUNGO katika kumwandala chakula mke/mume wake."

Anakuja Pasco na kusema "huyu mama/baba, kama angelitumia neno SUMU, angelifungwa au hata kunyongwa ila kwa sababu alitumia neno KIUNGO, basi ni kweli HANA HATIA."

Kama kifungu 86 (3) b kinaelezea kuhusu KUSIMAMISHA MJADALA, basi ilibidi Hakimu/Spika asimamishe kikao. Alichokifanya Bibie ni kujifanya kasikia neno VIUNGO badala ya SUMU. Kamuachia mtuhumiwa huru na leo hapa tunajadili kwa nini Hakimu hakulitumia neno SUMU [kifungu 86 (3)b - Pingamizi] na badala yake akatumia neno VIUNGO [kifungu 86 (6) - Maoni] katika kuendesha kikao.

Mkuu Mkandara, mie nilikuelewa kama hapo juu.
Mkuu Mkandara, madam speaker was very right, Maneno hayo TL alitakiwa ayaseme kwenye 86 (3) b ni kuwasilisha pingamizi. Mkandara nakuhakikishia Hakuna pingamizi lolote lililowasilishwa!.

Alichofanya TL ni 86 -6 kutoa maoni ya kambi ya upinzani, hata kama katika kutoa maoni huko ameweka maneno pingamizi, hayo yanabaki ni maoni tuu. Pingamizi ni pingamizi likiwekwa lazima bunge linasimamisha kila kitu na kulisikiliza pingamizi lile.

Kwa kuwa hakukuwa na pingamizi lolote. process iliendelea kwa kumsikiliza M/kiti wa Kamati na baadae Maoni ya upinzani. Watu wanaamini maoni hayo ndio pingamizi!. No!. Maoni ni maoni tuu na hakukuwa na pingamizi and that was a mistake!.
 
Twende mojamoja,

Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?

Dada yangu Faiza Fox, wewe kama mama wa familia una majukumu yako kwa mumeo, familia, na jamii. Katika kutimiza majukumu hayo, unadhani unafanya favour?. Mfano kumvisha mwanao, kumsomesha etc, au kumpikia mumeo na kumpa vile 'vyakula' vyote is it favour?.

Hayo yote JK aliyoyafanya ni within majukumu yake, anatimiza wajibu wake, tumpongeze rais wetu kutimiza wajibu wake?.
Nakushauri anzisha thread ya " MEMA YA JK', au "MAZURI YA JK", tutachangia!.Humu tunajadili jinsi watu tuliowategemea kuupinga ule muswada, walivyoshindwa kuwasilisha pingamizi ambalo mimi naona ni kosa, na sio kujadili mazuri ya JK.

Wiki ijayo, atausaini huu muswada kwa mbwembwe zote, tumpongexze pia kwa kusaini maana atakuwa amewafanyia watanzani favour kubwa kuwaanzishia safari ya kuelekea katiba mpya!.
 
Pasco,

Samahani narudi tena ingawa niliaga ila naona nimsaide hapa Mkandara kwani naona kaweka point moja muhimu sana na wewe umeijibu kisiasa zaidi.

Ulichojibu ni sawa na Mwanamke/Mwanaume aliyemuuwa mwenzi wake kwa sumu na alipopelekwa mahakamani, majibu yake yakawa kapa hapa chini.

Hakimu: Unashitakiwa kwa kumuuwa mpenzi wako kwa sumu uliyoweka kwenye chakula.
Mshitakiwa: Hapana hakimu, sikumuuwa mie. Wakati napika, moja ya VIUNGO nilivyotumia kwenye mbonga ilikuwa ni hiyo MERCURY. Na si hicho tu, niliweka pia DDT, pilipili, chumvi, binzari............

Hakimu anawaambia watu kuwa "Mshitakiwa hana makosa kwa sababu katika maelezo yake, tunaona wazi kabisa kuwa hakuwa na nia ya kumuuwa Mshitakiwa ila ametumia tu VIUNGO katika kumwandala chakula mke/mume wake."

Anakuja Pasco na kusema "huyu mama/baba, kama angelitumia neno SUMU, angelifungwa au hata kunyongwa ila kwa sababu alitumia neno KIUNGO, basi ni kweli HANA HATIA."

Kama kifungu 86 (3) b kinaelezea kuhusu KUSIMAMISHA MJADALA, basi ilibidi Hakimu/Spika asimamishe kikao. Alichokifanya Bibie ni kujifanya kasikia neno VIUNGO badala ya SUMU. Kamuachia mtuhumiwa huru na leo hapa tunajadili kwa nini Hakimu hakulitumia neno SUMU [kifungu 86 (3)b - Pingamizi] na badala yake akatumia neno VIUNGO [kifungu 86 (6) - Maoni] katika kuendesha kikao.

Mkuu Mkandara, mie nilikuelewa kama hapo juu.

Aisee, mjadala huu bila kushirikisha ubongo lazima utoke kapa, huu ni mfano hai kwa mtu kama pasco asiyekubali kushindwa.
 
Sikonge, tunatofautiana uelewa, ila mtu unapokuwa mzito sana kuelewa ni tatizo, kuwa kichaa sio lazima kila mtu aokote makopo, kuna upungufu ni kidogo tuu people can not notice, ila unapokuja na hoja na mifano dhaifu hivi, hata wale ambao sio rais ku note, wata notice.

Mheshimiwa Lissu hakuwasilisha pingamizi kwa mujibu wa 86 (3) (b) bali aliwasilisha maoni kwa mujibu wa 86 (6). Enzi za mzee wa kasi na viwango, wangetengua kanuni, 86 (6) na kuipokea ile hotuba ya Lissu kwa kanuni ya 86(3)(b), hivyo bunge lingeijadili hoja ya Lissu. Sitta angefanya hivyo kwa kutumia busara tuu za kawaida ambazo mama spika hana, ili kuhakikisha haki sio tuu inatendeka, bali pia kushuhudiwa ikitendeka!.
 
FJM, suala la utii wa sheria halina mjadala, nakuhakikishia baada ya muswada ule kutiwa saini na kuwa sheria, no one can do anything!. Hata hao Chadema wala wanaharakati hawawezi kufanya lolote, nothing, nil!, ndio maana nilishauri tuvunje kambi, tuipe tume ushirikiano!.

Sheria za nchi sio msaafu, zinabadilishwa, na Tanzania tunayo mifano iliyo wazi. Mmoja ni sheria ya gharama za uchaguzi (correct me if I am wrong), kuna mambo yaliingizwa kinyemela tofauti na bunge lilivyopitisha, na mtu wa kwanza kupiga kelele alikuwa Dr Slaa. Mwanzoni wakubwa wakakataa lakini baadaye walikubali na marekebesho yalifanyika.

Hoja ya utii wa sheria kwa Tanzania ni sawa na maji na mafuta. Sheria za nchi hii zinatumika kwa wezi wa kuku. Sijui unaongelea utii gani hapa? Kama kweli sheria haina mjadala ni kifungu gani kilichotumika kuhalalisha mazungumzo kati ya vyombo vya dola na watuhumiwa wa EPA? Nijuavyo mimi anyone is presumed innocent until priven otherwise in the court of law. Hivyo kama kuna mtuhumiwa yoyote awe wa EPA etc etc ni mahakama ndiyo yenye mamalka ya kusema guilty or not guilty.

Nisingetaka kuchangia tena kwenye huu mjadala maana sidhani kama cha kujadili tena hapa. Ila naomba kusema hivi (na sio kama naku-attack wewe Pasco kama Pasco, ila nataka nitoe maoni juu ya hoja zako Pasco), kwamba mtu akizisoma hoja zako na kama sio strong atayumba vibaya sana. Hoja zako zinakatisha tamaa mno, na inawezekana wewe ni mtu wa ku-give easily. Sitoshangaa kama umekuwa unaancha kazi sehemu mbalimbali kwa sababu tu kuna mitego. Inawezekana hujatambua hili. Huwezi kukimbia kwa sababu sheria inasema hivi au vile, sheria zinatungwa na malaika? Ni kweli sheria hazibadilishwi? watu 300 hata 400 ni kitu gani mbele ya watu millioni 40?.

In life you have to stand up for things you believe in! Nelson Mandela amekaa jela kwa miaka 27, watoto wake wamekuwa bila malezi ya baba yao. Angekuwa ni mtu wa kukata tamaa angekubali yaishe, na leo tungukuwa tunaongea vitu vingine. If you have nothing to fight for you have nothing to life for. Ukweli siku zote utasimama, watawala na watu wengine wowote wanaweza kutumia nguvu walizonazo leo kufanya kinyume na matarajio ya wanaowatawala, lakini wakae wakijua mbinu zote hizo ni short-term lived. Zitadumu kwa wakati fulani tu lakini sio kwa siku zote. Iko siku sio leo na pengine sio kesho lakini iko siku mizani itaegemea upande wa ukweli.

Na ili mizani iegemee upande wa ukweli ni vizuri wale wanaojua ukweli wakaupigania kwa kuaanza kuujaza upande huo bila kukata tamaa ili kuifanya mizani kurudi upande wa ukweli. Kwa mtazamamo wangu CHADEMA wameanza kujaza mizani ya ukweli, ni safari ndefu, yenye matatizo mengi, lakini safari yenye manufaa kwa watanzania wengi kama sio wote. Kama CHADEMA hawataanza kazi ya kujaza mizani ya kweli nani afanye? Na kama CHADEMA hawataanza hiyo kazi sasa waanze lini? Na kama CHADEMA wanajaza mizani kwa njia ya mijadala bungeni bila mafanikio wafanye nini?

Nimalizie, kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watanzania tuna choice. Mzani uko mbele yetu, upande mmoja ni CCM na washirika wake na upande wa pili ni CHADEMA na washirika wake. Mtanzania yoyote sasa anaweza kuchagua ama CCM au CHADEMA. If you have nothing to fight for you have nothing to life for.
 
Twende mojamoja,

Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?

Dada yangu Faiza Fox, wewe kama mama wa familia una majukumu yako kwa mumeo, familia, na jamii. Katika kutimiza majukumu hayo, unadhani unafanya favour?. Mfano kumvisha mwanao, kumsomesha etc, au kumpikia mumeo na kumpa vile 'vyakula' vyote is it favour?.

Hayo yote JK aliyoyafanya ni within majukumu yake, anatimiza wajibu wake, tumpongeze rais wetu kutimiza wajibu wake?.
Nakushauri anzisha thread ya " MEMA YA JK', au "MAZURI YA JK", tutachangia!.Humu tunajadili jinsi watu tuliowategemea kuupinga ule muswada, walivyoshindwa kuwasilisha pingamizi ambalo mimi naona ni kosa, na sio kujadili mazuri ya JK.

Wiki ijayo, atausaini huu muswada kwa mbwembwe zote, tumpongexze pia kwa kusaini maana atakuwa amewafanyia watanzani favour kubwa kuwaanzishia safari ya kuelekea katiba mpya!.

Mkuu Pascoumenena vyema. Suala la serikali kupewa sifa kwa kujenga barabara, shule, hospitali na kadhalika ni majukumu ya serikali iliyopewa kuyatekeleza kwa niaba ya wananchi (waliopiga kura kuichagua na hata wale ambao hawakuichagua).

Ila imekua tabia kwa serikali dhaifu kujisifia hata kwa mambo hayastahili serikali kupewa sifa. Kwavile serikali inakua haijafanya mambo yoyote extraordinary ambayo yangestahili kusifiwa, unakuta serikali za namna hiyo zinataka sifa kwa ordinary and obvious things!!

Hakika Shivji alikufundisha; maana nakumbuka alikuwa anapenda kusema si sawa kumsifia mzazi ambae anamsomesha mwanae hadi chuo kikuu, kwavile huo ni wajibu wake kama mzazi!!
 
Ungenisoma TARATIBU, ungenielewa. Ulichohitimisha hapa chini ndiyo hicho nimeandika ingawa maana IMEPINDUKA.

Nakubaliana na wewe kuwa TL aliwakilisha VIUNGO [Maoni 86 (6)] kama wewe ulivyosema. Ila wengine tunasema kuwa katika hayo maoni, alikuwa kaweka baadhi ya VIUNGO kama MERCURY na DDT [Pingamizi - Kifungu 86 (3) (b)] ambavyo ni SUMU. Hata wewe unakubali kuwa Sitta angeliona hiyo Mercury kuwa si kiungo basli ni SUMU na nafikiri hili hata wewe unakubali ila kwa mtu anayetafuta sababu za kukataa, bado atazitafuta na mwisho atakuambia "ilikuwa ni kiungo, kaa chini."

PLEASE: kuwa mwangalifu next time na neno KICHAA au MZITO KUELEWA.
Sikonge, tunatofautiana uelewa, ila mtu unapokuwa mzito sana kuelewa ni tatizo, kuwa kichaa sio lazima kila mtu aokote makopo, kuna upungufu ni kidogo tuu people can not notice, ila unapokuja na hoja na mifano dhaifu hivi, hata wale ambao sio rais ku note, wata notice.

Mheshimiwa Lissu hakuwasilisha pingamizi kwa mujibu wa 86 (3) (b) bali aliwasilisha maoni kwa mujibu wa 86 (6). Enzi za mzee wa kasi na viwango, wangetengua kanuni, 86 (6) na kuipokea ile hotuba ya Lissu kwa kanuni ya 86(3)(b), hivyo bunge lingeijadili hoja ya Lissu. Sitta angefanya hivyo kwa kutumia busara tuu za kawaida ambazo mama spika hana, ili kuhakikisha haki sio tuu inatendeka, bali pia kushuhudiwa ikitendeka!.
 
Twende mojamoja,

Barabara za lami kazikuta zisizofika kilomita 4,000 kwa kipindi chake cha miaka 6 tu sasa zipo zaidi ya kilomita 10,000, hiyo inaonesha kwa barabara kafanya zaidi ya marais wote ukichanganya pamoja pamoja na mkoloni. Hilo moja tukikubalina naendelea lingine. Jee, hili si jema?

Natanguliza samahani kwako Pasco kwa kujibu hoja isiyohusika, kwani nikiiacha nitakuwa sijamtendea haki huyu mnazi wa JK.

Naona umekurupuka tu hapa ili umsifie JK kwa kitu ambacho hakijafanyika.

Kwa taarifa ya waziri wa ujenzi Dr. John Magufuli, ya wiki iliyopita, hadi sasa barabara zilizojengwa kwa kiwango cha lami ni kiasi cha kilometa 5000 na ili kufikia lengo la kuwa na barabara za lami zenye urefu wa 10,000 km wamesaini mikataba na wakandarasi mbalimbali ambao wengi wao wako kwenye hatua za mobilization. Kwahiyo usitake kudanganya watu hapa kwa sababu ya mahaba yako ya kidini juu ya JK.

Nikukumbushe pia kwamba hata hizo 5,000 km zilizofikiwa sasahivi ni miradi iliyoanzishwa na BWM na ikaja kukamilishwa wakati JK yuko madarakani. Kama unataka kumsifia JK kwa kujenga barabara, zungumzia zile tu zilizoanza kujengwa chini ya utawala wake, kwa maana ya miradi mipya ambayo imeanza kutekelezwa kuanzia bajeti ya 2006/2007!! Na baada ya kuifahamu hiyo miradi aliyoianzisha ambayo ndio wajibu wake mkuu kwa serikali kutoa huduma kwa wananchi wake, na hiyo haihitaji kusifiwa unless amefanya kitu extra hapo ndipo atahitaji kusifiwa. Kama alivyosifiwa kwa kuanza kujenga barabara ya chalinze segera kabla bajeti haijapitishwa, na baada ya selelii kuikalia kooni serikali wakatafuta uongo wa kujustify hayo matumizi. Kitu kingine tunachosubiri kumsifia ni kujenga bandari kubwa pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa bagamoyo!!
 
Hayo yote hayahitaji kusifiwa mkuu kwavile ndio majukumu ya serikali na ilipoomba kura, iliahidi kutekeleza hayo majukumu. Mimi sioni kipi cha kusifia wakati inatekeleza/itakua inatekeleza majukumu yake iliyopewa na wananchi.
 
Chuki/mapenzi kwa vyama vya siasa vinaligharimu taifa hili pakubwa. Shangaa kuwa ktk mjadala huu pamoja na umuhimu wake hakuna mdau yeyote aliyeleta mtirirìko kamili wa matukio yalivyokuwa bungeni siku ile..sanasana yamerukwa tu ili 'lengo' lisivurugwe!!
Tujaribu kukumbuka; Kombani alipomaliza, Mnyika alisimama akisema 'hoja kuahirisha mjadala' supika hakujali akamwita Chana kutoa maoni ya kamati! Mkosamali akasimama kuomba mwongozo supika akapotezea, Chana alipomaliza Shibuda akasimama kuomba mwongozo, spika akagoma akamuita Lissu atoe maoni ya kambi ya upinzani, baada ya Lissu kumaliza Mnyika alisimama tena lkn spika akamzuia, na kuna mwingine tena nimemsahau akasimama akazuiwa, ndipo wabunge wa Chadema wakanyanyuka kutoka nje.
Kwa nini tunajidanganya kuwa ni wabunge wa Chadema na Nccr tu wanaotakiwa kuona madudu wakati wa ccm wanavimbiwa na kusinzia bungeni?! Hivi wao wanamuwakilisha nani?! Tumeona ni nani alijitahidi kuondoa makosa na ni nani alitumia kila hila kuupitisha muswada feki. Hukumu yao haiko mbali...
 
Ukiuliza utaambiwa eti kanuni ya 86....bla bla bla!
 
Inasikitisha sana ndugu yangu. Huko nyuma nimeuliza kuwa hawa 'waandishi mahiri' watatumia kalamu zao kuwaonyesha wananchi ubaya wa sheria hiyo au kile ambacho Chadema hawakufanya??!!
 
Back
Top Bottom