Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #301
Asante Mzee Mwanakijiji, lazima nikiri wewe ni kichwa mbaya, if you can, in 2015, please come down to ground zero. Tupunguze maneno, tuongeze vitendo!.kweli yaishe kwa sababu wewe uliwategemea CDM badala ya kuwategemea CCM ambao ndio walikuwa na uwezo wa kuzuia mswada huu na hawakufanya hivyo. Angalau tunafarijika kujua kuwa CDM walitoa msimamo wao kuonesha mapungufu ya mswada na wakaukataa kwa vitendo livyo dhahiri - kwa kutoka nje. CCM waliobakia ndani wangeweza kubadilisha au kuukataa hawakufanya lolote wakabakia kupigiana makofi. Hawa ndio wa kuwasikitikia. Bahati mbaya huoni tatizo kwa CCM kupitisha mswada mbovu wakati wale unaowaita ni "wabunge makini' waliposhindwa kutumia kanuni ile ile ya 86:3b. Hata mimi nakubali yaishe maana kama CCM waliopitisha mswada kwa mbwembwe walitarajiwa waunge mkono CDM basi inatosha siku kuwa vituko.
It was pleasure, you are most welcome!.