Pre GE2025 Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umri na jinsia yako tafadhali
 
Nchi nzima wakuu wa wilaya wamelala
Waku wa mikoa wamelala isipokuwa makonda.

Mawaziri wamelala
Ded wamelala
Makatibu wakuu wamela
Huyu bibi ni Jipu.
 
Kwahiyo nchi haina dira ya maendeleo, bali cheo cha urasi ni sehemu ya rais kutekeleza mapenzi yake?!
 
Sawa Ndugu Chawa Promax..!
 
W
Mmeanza ujinga wenu kama wa mwendazake..
Alitaka atawale milele akaishia kufa mapema tu..
Anzeni tu kumchulia huyu
Waambie ukweli Hawa mapimbi!
Wewe ni kenge kabisa, unaandika kumuzesha!
 
-Nchi Haina umeme wa uhakika
-Mafuta yanapanda Kila j,5
-Bandari imepandisha ghara za mizigo
Ni kipi kimepaisha uchumi?

Tupe hayo maono aliyonayo huyo raisi ya kupaisha huo uchumi
 
Hoja mabadilko ya Katiba Kwa maslahi mapana ya Watanzania
Unapigia chapuo hayo mabadiliko ya Katiba kwa maslahi mapana ya Watanzania, au nyinyi watu wachache mnaofaidika kupitia ufisadi, upigaji dili na uchawa?

Kuna Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kuufurahia huu utawala ulioshindwa kupambana na mfumuko wa bei! Mafuta ya petroli na dizeli kutoka 1500 mpaka 3300+!!! Halafu kila siku mnasingizia vita vya Urusi na Ukraine!!
 

Mada nzuri, ila subiri akitokea Nyerere au Magufuli mwingine ndo ulete hii mada.
 
Kwanza utuambie unafikiria kwa kutumia kiungo gani, mana hilo andiko lako linaashiria hutumii ubongo.
 
Kwamba watu milioni 60 tunategemea maono ya mtu mmoja tu? Hatuwezi kuwa na dira ya taifa itakayofuatwa/kutekelezwa na kila kiongozi?
 
Mmeanza ujinga wenu kama wa mwendazake..
Alitaka atawale milele akaishia kufa mapema tu..
Anzeni tu kumchulia huyu mama...
Wewe ni mjinga kwa sababu ukiambiwa utoe evidence ya unayoyasema huwezi
 
Sasa huyo Jiwe si alikuwa anaiba pesa za wananchi na kujinufaisha yeye. Mara mia huyu kuliko yule japo simkubali baada ya kuona na yeye anajinasibu na Bashite
Weka evidence kama Magufuli aliiba pesa kama huna utakuwa sawa na mtu asiyekuwa na akili anayejiongelesha tu.
 
Pamoja na kwamba nimeshagundua uwezo wako wa akili ni mdogo lakini nikuulizie tu
Maana Nyie ndo mnataka kututenfezea madikteta kwa njaa zenu mkidhani mtabaki salama


Rais Yuko kutimiza maono yake au ya nchi taifa na wananchi ?
 
Weka evidence kama Magufuli aliiba pesa kama huna utakuwa sawa na mtu asiyekuwa na akili anayejiongelesha tu.
Ile 1.5 tr kutoka ukaguzi wa CAG iko wapi? Je wewe wajua iliko maana CAG alifufukwa kazi
 
Kama ana maona ya kijinga na utendaji wa hovyo tumvumilie kwa miaka Saba?
 
Chadema waliondoa ukomo wa mihura miwili kwenye katiba, wakawa na mwenyekiti wa chama wa milele; kwani mwenyekiti wao amekipaisha chama kwenda wapi sasa?
 
Sasa huyo Jiwe si alikuwa anaiba pesa za wananchi na kujinufaisha yeye. Mara mia huyu kuliko yule japo simkubali baada ya kuona na yeye anajinasibu na Bashite
MAGU aliiba kujinufaisha Kwa kujenga jnhpp,daraja la jpm busisi na tanzanite, sgr na mambo mengi yanayo onekana Kwa macho,Hawa waliopo Hawa ibi Wala hawajengi na unawaprefer Hawa kuliko mwizi jpm,hongera sana MUNGU akupe hata akili kidogo.
 
Kwa nini ibadililishwe, shauri "IFUTWE" afie madarakani kama KENYATA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…