mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia.
Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha urais,
Katiba zao zinaruhusu hilo jambo,ya kwetu hairuhusu.
Tuna Rais mstaafu mmoja tu na bado ana nguvu,miaka 74,Trump ana 76,Biden nadhani 80+ au 90
Kikwete ni hazina ya Taifa hili,apewe nafasi nyingine muone kama waalimu wote na madaktari hawataajiriwa.