Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe rais wenu na familia yenu. Nyie mkipata tu mwanaume akawahonga mnataka awe kila kitu kwa wote.Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia.
Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha urais,
Katiba zao zinaruhusu hilo jambo,ya kwetu hairuhusu.
Tuna Rais mstaafu mmoja tu na bado ana nguvu,miaka 74,Trump ana 76,Biden nadhani 80+ au 90
Kikwete ni hazina ya Taifa hili,apewe nafasi nyingine muone kama waalimu wote na madaktari hawataajiriwa.
Kaeni mkiota ndoto tu.Hatucopy kila kitu,sisi waafrica tunajuana hata kiaka 30 ikulu ni kawaida,Kagane anaenda muhula wa 5 huu,Jk bado tunamuhitaji,
Njaaa mbaya sana hasa ikiingia kwenye ubongo. Wanataka kurudisha kinyesi tumboni wakidhani kitakuwa tena chakula.Kuna topic ulikuwa unaandika vizuri lakini hii, duuu!!!!!!!!!!!! Hivi unataka Tanzania irudi tena zama za uwanja wa Ndege kuwa upenyezo wa madawa ya kulevya? Kuna nchi tulikuwa tunaingia hatuulizwi kitu baada ya JK mambo yakawa magumu. Brazil, Hong Kong, USA, Ulaya karibu nchi zote. Huyu wacha apumzike huyu hana uchungu hata wa fedha z umma.
Unakumbuka hadi yule sijui Mnikulu Gambo, anamwambia judge ati huku nimejaza pesa na huku niazo nako kumejaa, Drugmakers walijaa mjini duuu. Escrow na mafurushi ya pesa. Ulimboka na Mwanepande si ndiyo ilianza hapa? Richmond ------------------------------------
TypewriterKIKWETE alisomea Uchumi, huyu wa sasa sijui alisomea nini 🤔
Kwani watanzania wengine hawana uwezo huo mpaka kung'ang'ania mtu mmoja?Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia.
Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha urais,
Katiba zao zinaruhusu hilo jambo,ya kwetu hairuhusu.
Tuna Rais mstaafu mmoja tu na bado ana nguvu,miaka 74,Trump ana 76,Biden nadhani 80+ au 90
Kikwete ni hazina ya Taifa hili,apewe nafasi nyingine muone kama waalimu wote na madaktari hawataajiriwa.
Atake asitake alazimishwe naona mmekuja kivingineDonald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia.
Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha urais,
Katiba zao zinaruhusu hilo jambo,ya kwetu hairuhusu.
Tuna Rais mstaafu mmoja tu na bado ana nguvu,miaka 74,Trump ana 76,Biden nadhani 80+ au 90
Kikwete ni hazina ya Taifa hili,apewe nafasi nyingine muone kama waalimu wote na madaktari hawataajiriwa.
Watu hata kiswahili hawajui!Kwani Trump ni mstaafu? Vijana wa lumumba mmepatwa na nini?
Trump ni raisi wa zamaniKama Lowassa mlimuita mstaafu Trump ni nani sasa.
Ofcoz Trump ni mstaafu na anapewa prevelegies zote za retired president kuanziaallowances mpaka ulinzi,usimchukulie powa
MadrasaKIKWETE alisomea Uchumi, huyu wa sasa sijui alisomea nini 🤔
Na Jiwe utamwita nani?Unataka utoe mavi chooni uyarudishe sebuleni?
That man is a disgrace to our country. Ut was very unfortunate for Tanzania to have such kind of a leader.