Katiba ibadilishwe,marais wastaafu waruhusiwe kugombea,tuanze na Jakaya Kikwete 2030

Awe rais wenu na familia yenu. Nyie mkipata tu mwanaume akawahonga mnataka awe kila kitu kwa wote.
 
Hatucopy kila kitu,sisi waafrica tunajuana hata kiaka 30 ikulu ni kawaida,Kagane anaenda muhula wa 5 huu,Jk bado tunamuhitaji,
Kaeni mkiota ndoto tu.

Tanzania mwisho ni mihula miwili.

Ukiweza kubadikisha njoo hapa utuhabarishe.

Kwa sasa hizo ni ndoto za alinacha.
 
kweli ccm imeweza kwenye swala la kukuza vijana wa hovyo wasio na mtazamo wa mbali.....
 
Njaaa mbaya sana hasa ikiingia kwenye ubongo. Wanataka kurudisha kinyesi tumboni wakidhani kitakuwa tena chakula.
 
Kwani watanzania wengine hawana uwezo huo mpaka kung'ang'ania mtu mmoja?
 
Atake asitake alazimishwe naona mmekuja kivingine
 
Na mwanao mwenye ndoto ya kuwa rais atagombea lini??

Kweli kuna baadhi ya waafrika akili zenu ni fupi sana kama punje ya mchanga.

Shenzi kabisa
 
Kama Lowassa mlimuita mstaafu Trump ni nani sasa.
Ofcoz Trump ni mstaafu na anapewa prevelegies zote za retired president kuanziaallowances mpaka ulinzi,usimchukulie powa
Trump ni raisi wa zamani
Lowasa kiuhalisia alipaswa kuitwa waziri mkuu wa zamani kwani alijihuzuru kwa kashfa
Kuna tofauti kati ya mstaafu na wazamani
 
Na mwanao mwenye ndoto ya kuwa rais atagombea lini??

Kweli kuna baadhi ya waafrika akili zenu ni fupi sana kama punje ya mchanga.

Shenzi kabisa
Mwanangu yupi,unadhani kuwa Rais ni kwa kila mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…