Katiba ibadilishwe,marais wastaafu waruhusiwe kugombea,tuanze na Jakaya Kikwete 2030

Kwanini unapoteza mda wako kuandika ugoro. Katiba ya marekani inaruhusi vipindi viwili vya miaka minne kila kimoja. Na vipindi hivyo vinaweza kuwa kwa pamoja au tafauti. Trump alihudumia kimoja akangushwa . Sasa anagombea cha pili na cha mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…