Katiba iliyopo inafaa kwa zaidi ya miaka 100 ijayo

Katiba iliyopo inafaa kwa zaidi ya miaka 100 ijayo

Ningejua leo umepata milo mingapi ningetoa comment, kwa kuzingatia leo ni siku ya bwana basi uwe na jioni njema
 
Hata makalio yako kila miezi sita yanahitaji gagulo jipya sembuse maandishi yanayoendesha maisha ya watu timamu?
 
5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
 
Katiba iliyopo ni bora kwa watawala. Tunataka Katiba mpya ya wananchi
 
Back
Top Bottom