Katiba inaeleza haya kuhusu shughuli za siasa zinazofanywa na wana CHADEMA

Katiba inaeleza haya kuhusu shughuli za siasa zinazofanywa na wana CHADEMA

DaudiAiko

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
372
Reaction score
310
Wanabodi,

Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya shughuli zao kama ilivyo elezwa kwenye katiba. Je wana CHADEMA wanahaki kikatiba kufanya shughuli zao za siasa?.

Maelezo yanayo fuata ni vipengele kutoka kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania mwaka 1977

- 13(4): No person shall be discriminated against by any person or any authority acting under any law or in the discharge of the functions or business of any state office.
For the purpose of this article discrimination means to satisfy the needs, rights or other requirements of different persons on the basis of their nationality, tribe, place of origin, political opinion, colour, religion, sex
  • 13(6)c: No person shall be punished for any act which at the time of its commission was not an offence under the law
  • 13(6)d: For the purpose of preserving the right or equality of human beings, human dignity shall be protected in all activities pertaining to criminal investigations and process, and in any other matters for which a person is restrained, or in the execution of a sentence
  • 13(6)e: No person shall be subjected to torture or inhuman or degrading punishment or treatment

- 18: Every person
a: Has a freedom of opinion and expression of his ideas
b: Has a right to seek, receive and or disseminate information regardless of national boundaries
c: Has the freedom to communicate and a freedom with protection from interference from his communication

-20(1): Every person has a freedom to freely and peaceably assemble, associate and cooperate with other persons and for that purpose, express views publicly and to form and join with associations or organizations formed for purposes of preserving or furthering his beliefs or interests or any other interests

- 21(2): Every citizen has the right and the freedom to participate fully in the process leading to the decision on matters affecting him, his well-being or the nation
 
Mbona sijaona sehemu yoyote ikiwataja Chadema na nchi haiendeshwi kwa utaratibu nchi inaendeshwa kwa sheria.
Jipange vizuri ulete mada yako upya.
 
Mbona sijaona sehemu yoyote ikiwataja Chadema na nchi haiendeshwi kwa utaratibu nchi inaendeshwa kwa sheria.
Jipange vizuri ulete mada yako upya.
Nime orodhesha vipengele ambavyo vipo kwenye katiba ya 1977. Tafsiri ya vipengele hivyo inaweza kutupa mwanga kuhusu njia ya kufata katika kipindi hiki ambacho kuna mvutano kati ya wana CHADEMA na vyombo vya usalama. Je umesoma vipengele hivi?, maoni yako?
 
Wanabodi,

Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya shughuli zao kama ilivyo elezwa kwenye katiba. Je wana CHADEMA wanahaki kikatiba kufanya shughuli zao za siasa?.
Katiba iko wazi. Ingetekelezwa hata kwa asilimia 50 tu nchi ingeendelea.
 
Mbona sijaona sehemu yoyote ikiwataja Chadema na nchi haiendeshwi kwa utaratibu nchi inaendeshwa kwa sheria.
Jipange vizuri ulete mada yako upya.
Hii maana Ijumaa yake Serikali na vyombo vyake vimekuwa vinavunja katiba hasa katka kushuhulika na CHADEMA
 
Back
Top Bottom