jaluoj
Member
- Mar 18, 2017
- 55
- 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nasema unapokaa na mtu kama huyu anatukana watu ni wapumbavu huku ukishangaa kwanini nchi iliingia mikataba mibovu na kulalamika majukwaani lakini wakati huo huo ukisema hao waliohusika waachwe wapumzike,wewe ndio unakuwa mpumbav haswaaaa!Mkapa hakutoa Tusi ,alisema ukweli.Tanzania ilishakombolewa siku nyingi na watu walipoteza Maisha katika harakati za kuikomboa Tanzania,Mfano vita vya majimaji nk...Mwalimu Nyerere alipoteza kazi ya ualimu Pugu alipoamua kuingia kwenye siasa za ukombozi wa Tanganyika leo mtu anakuja na hoja ya kutaka kuikomboa Tanzania ,,,,? Are you serious,is Tanzania in the hands of colonial Masters? Unapokuwa hujui kitu na hutaki kuelimishwa hapo ndio unapo itwa mpumbau......Rais mkapa alitoa jina sahihi kwa watu sahihi
With that being said.We all agree that The words which were spoken by Lisu were not good and even the tone he was using was very harsh.Let us use him as lesson to learn the correct way of giving critique to the government if any.He is not the first one to criticize the government,why only him or to precise why only CDM members? There must be a tendency which is built within CDM members that If you want to get popularity you must offend the government.jaruri: Better to apologize first that you were wrong before you put forward the next argument or agenda. If you are aware that human beings are neither perfect nor static then you have to be very careful to utter. Based on your confession then it is an alarm for whoever is a human being to be careful also in the choice of words/sentences and in conclusion. In his capacity, it was wrong to conclude that way of which it has diminished his credibility.
Unatakiwa ujiulize,neno mpumbavu nini nini na aliambiwa nani na kwa sababu ganiNami nasema unapokaa na mtu kama huyu anatukana watu ni wapumbavu huku ukishangaa kwanini nchi iliingia mikataba mibovu na kulalamika majukwaani lakini wakati huo huo ukisema hao waliohusika waachwe wapumzike,wewe ndio unakuwa mpumbav haswaaaa!
Ndio maama nami nimemtambua mpumbav mwingine!Unatakiwa ujiulize,neno mpumbavu nini nini na aliambiwa nani na kwa sababu gani
Jesus Christ was human being 100% and God at the same time 100% You cant equate human being with jesus
rais mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa tz ulikuwa hujuiMkapa ni rais wa nchi gani ?
Kale kajamaa kenye sura ya kihenga kalikokuwa kanapigania katiba mpya sasa hivi ni kakatibu kaenezi na propaganda ka chama kilichovuruga maoni ya wananchi na mchakato wote wa kuandika katiba mpyaLakini majibu ya mambo yote haya ni Katiba mpya
Ila Rais alipowaita wapinzani ambao hajawateua ni vilaza haikuwa ya KUUDHI???? kaz kwelikweli
Hapa tunajifunza kitu kwamba alikuwa anatafuta kikiKale kajamaa kenye sura ya kihenga kalikokuwa kanapigania katiba mpya sasa hivi ni kakatibu kaenezi na propaganda ka chama kilichovuruga maoni ya wananchi na mchakato wote wa kuandika katiba mpya
Sent using Jamii Forums mobile app