Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Katiba inakupa uhuru wa kukosoa/kutoa maoni haikupi uhuru wa kutoa lugha za kuudhi na kuchonganisha

Mkapa hakutoa Tusi ,alisema ukweli.Tanzania ilishakombolewa siku nyingi na watu walipoteza Maisha katika harakati za kuikomboa Tanzania,Mfano vita vya majimaji nk...Mwalimu Nyerere alipoteza kazi ya ualimu Pugu alipoamua kuingia kwenye siasa za ukombozi wa Tanganyika leo mtu anakuja na hoja ya kutaka kuikomboa Tanzania ,,,,? Are you serious,is Tanzania in the hands of colonial Masters? Unapokuwa hujui kitu na hutaki kuelimishwa hapo ndio unapo itwa mpumbau......Rais mkapa alitoa jina sahihi kwa watu sahihi
Nami nasema unapokaa na mtu kama huyu anatukana watu ni wapumbavu huku ukishangaa kwanini nchi iliingia mikataba mibovu na kulalamika majukwaani lakini wakati huo huo ukisema hao waliohusika waachwe wapumzike,wewe ndio unakuwa mpumbav haswaaaa!
 
jaruri: Better to apologize first that you were wrong before you put forward the next argument or agenda. If you are aware that human beings are neither perfect nor static then you have to be very careful to utter. Based on your confession then it is an alarm for whoever is a human being to be careful also in the choice of words/sentences and in conclusion. In his capacity, it was wrong to conclude that way of which it has diminished his credibility.
With that being said.We all agree that The words which were spoken by Lisu were not good and even the tone he was using was very harsh.Let us use him as lesson to learn the correct way of giving critique to the government if any.He is not the first one to criticize the government,why only him or to precise why only CDM members? There must be a tendency which is built within CDM members that If you want to get popularity you must offend the government.
 
Nami nasema unapokaa na mtu kama huyu anatukana watu ni wapumbavu huku ukishangaa kwanini nchi iliingia mikataba mibovu na kulalamika majukwaani lakini wakati huo huo ukisema hao waliohusika waachwe wapumzike,wewe ndio unakuwa mpumbav haswaaaa!
Unatakiwa ujiulize,neno mpumbavu nini nini na aliambiwa nani na kwa sababu gani
 
Point less,usiseme watanzania wote ujafanya research, pia ipi tafsiri ya neno kuudhi. Suala la kuongezewa mda si suala la kikundi cha watu wachache, ni suala la kupitisha kwa kura za maoni wananchi wote waridhie hasa baada ya kumpima je anatekeleza kwa vitendo aliyoyahaidi, lugha ya kuudhi ni kwa upande mmoja tu wengine wakiudhi upande wa pili inakuwa ni asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini maana ya kuudhi na umemuudhi nani? na ni wakati gani utasemeheka umeuudhi? Nadhani kuna haja wananchi wapewe darasa nini maana ya kuudhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naona kunatatizo la ufahamu wa lugha nchi kujitawala haimanishi kujikomboa.Ukombozi una eneo pana sana Ukombozi umo hata kwenye familia iwapo familia inakabiliwa na tatizo Fulani na ikaweza kutatua tatizo hilo basi itakuwa imejikomboa ktk tatizo hilo. Hata nchi zilizopata Uhuru na kujitawala zinaweza kuwa na changamoto zinazohitaji kutatuliwa Zikifanikiwa kuzitatua basi zitakuwa zimejikomboa kwa hilo UKOMBOZI ni mchakato endelevu
 
Jesus Christ was human being 100% and God at the same time 100% You cant equate human being with jesus

....and also we are all human beings 100%
but created in image of GOD !! .

....so, we are human beings at the same time we are sons and daughters of GOD !!
 
Kuna mwingune alisema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Huyu kafanywaje mpaka sasa? Kapimwa mkojo. Mwingine mfupi mfupi hivi naye kasema watanzania ni wapumbavu na malofa wakubwa. Huyu naye vipi katiba inamruhusu kutuudhi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom