Katiba inasemaje kuhusu Mafao ya Viongozi Wakubwa?

Katiba inasemaje kuhusu Mafao ya Viongozi Wakubwa?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.

Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.

Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa Zanzibar. Mafao anadaka kote?

80% ya rais wa Zanzibar na 80% ya makamu wa rais JMT?

Ahsante.
 
Back
Top Bottom