KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Sawa kabisa.Kama nimekuelewa ,unachotaka kusema ni kuwa, kwa Sasa nchi yetu haina rais kwa mujibu wa katiba yetu,siyo?
Kama uchaguzi ulikuwa batili, nchi itakuwa na rais kwa vipi? Ni mtu aliyejitwalia tu madaraka na kutumia njia zote kujisafishia urais wake.
Lakini labda nirudi nyuma kidogo: Si 'alitangazwa na tume ya uchafuzi' kuwa ameshinda uchafuzi? Hiyo pekee inamhalalisha kuwa yeye ni rais.
Nadhani katiba inalitambua hilo na hakuna yeyote anayeweza kupingana na hilo, hata mahakama haina uwezo nalo!
Maajabu ni hayo mkuu wangu!