Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Lete sheria hapa acha upoyoyoKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Kuna tofauti kati ya Ukumbi wa bunge(majengo ya bunge) na bunge. Ni vitu viwili tofauti kabisa.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Msisahau kuwapa unaibu waoKatiba inaposema bungeni inamaanisha location
Hao wameapishwa bungeni na mwapishaji halali kabisa Mheshimiwa Spika kwenye eneo la bunge
Umehamia lini Chadema comrade?Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Ivi mbowe ni mwanasheria? Naona ametiririka vizuri sana kwenye vile vifungu bila tabu, hotuba yake nzuri sana world class. Akiongea unapata hisia kweli kiongozi wa juu anaongea muda huu
Wapinzani si wanatuchelewesha?? Wa nini sasa.Uelewa wa wanachadema wengi mdogo
Kuapa unatakiwa kuapa mbele ya afisa mwapishaji kwenye eneo husika.Wabunge sio maafisa waapishaji ,Spika ndie afisa mwapishaji kwa hiyo huwezi sema ohh walitakiwa kuapa mbele ya wabunge wenzao kwani hao wabunge wenzao ni maafisa viapo?
Mwapishaji Spika yuko huru kuapisha popote ili mradi ni bungeni kama ilivyo kwa hakimu aweza kuapisha popote sio tu ndani ya chumba cha mahakama aweza kukuapisha hata ofisini kwake mradi ni kwenye eneo la mahakama kama akiona inafaa
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Haa πππ πDaah nimecheka hapo kwenye bafu, mawazo yangu yamejikuta yamefika mbali sana
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
Katiba inasema National Assembly kwa maana ya kikao na kiswahili chake ni mbele ya bunge kwa maana kikao na siyo jengo. Tukisema rais anahutubia bunge tuna maana ya kikao "wabunge" likiwa na siwa yake na siyo jengoKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.
KWANI EU NDIO WAMEPIGA KURA WATANZANIA WASINGEUTAMBUA UCHAGUZI NDIIO INGEKUWA SHIDATukumbuke kuwa serikali za jumuia ya EU hazitambui matokeo ya uchaguzi wa 2020.
Hatuna maelezo ya pesa zilizotolewa kupigana na COVID-19.
Serikali imefunguliwa kesi ICC.
Nakwambiaje hata kwenye gest za vyumba wangeapishwaKwa tamaa zao hata chooni wangekubali kuapishwa kama ulivyosema almradi kiwe choo cha bunge.
Kama neno bunge kwenye katiba inamaana ya majengo tungetegemea rais alipoenda kulivunja bunge angevunjilia mbali Yale majengo ya bungeKama ni hivyo mbona hawajawahi kwenda kuendesha vikao vya bunge bafuni au nje ya ukumbi wakafanya kikao getini pale?? Kwanini wanaingia ndani wakati nje pia kuna nafasi wanaweza weka turubai tu wakafanya vikao vyao.
Sema ukishakua mataga kuna akili pia unapoteza kidogo kwahiyo haishangazi.
Sio suala la kuapa tu, hata namna walivyopatikana, fomu zao zipo chamani azijajazwa eti nimeletewa majina, je, walikutaarifu fomu zimeungua Moto? Tume imetoa fomu zinajazwa na kupelekwa tume, mbona kwa wagombea mliwaengua sababu fomu zilikosewa leo fomu zenu hazina maana?Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.