ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Nina hakika hayo hayatoki moyoni mwako.Tanzania ni nchi huru , hatuyumbishwi na misaada yao yenye masharti ya kishoga. Misaada hiyo wawape Chakelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina hakika hayo hayatoki moyoni mwako.Tanzania ni nchi huru , hatuyumbishwi na misaada yao yenye masharti ya kishoga. Misaada hiyo wawape Chakelele
Yes bunge haliwezi kukamilika bila uwepo wa wabunge waliotimia akidi pamoja na siwa katika kikao rasmi cha bunge.Kwa msisitizo na SIWA iwe mahali pake. Bila hivyo kamati tuu.
Je wakiapa mbele ya Spika "gereji"?...😂😂😂Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
TwafwaaIla wanasiasa wqnatuchezea saana... yaani kaissue kadogo kama haka mnazunguka mbuyu...
Sio bure hatuendelei... Mdee tumepata baraka za chama.
NEC tumepokea majina kutoka CDM.
CDM hatujawapa NEC majina yoyote.
kuna umbali gani kutoka Mbowe alipo hadi ofisi za NEC!..nenda uliza nani kawapa majina na fanyia press hapo....Nipo NEC na hatujawapa majina.
NEC waseme nani kawapa majina.....
CDM fungua kesi....aliyehand majina ashikiliwe.....
Ila yote haya hayawezi fanyika maana wengi mnachotaka sio maendeleo ya watu....ni mivutano na ubinafsi uliowajaa.
Tatizo yote haya yameanzishwa na ulafi wa CCMIla wanasiasa wqnatuchezea saana... yaani kaissue kadogo kama haka mnazunguka mbuyu...
Sio bure hatuendelei... Mdee tumepata baraka za chama.
NEC tumepokea majina kutoka CDM.
CDM hatujawapa NEC majina yoyote.
kuna umbali gani kutoka Mbowe alipo hadi ofisi za NEC!..nenda uliza nani kawapa majina na fanyia press hapo....Nipo NEC na hatujawapa majina.
NEC waseme nani kawapa majina.....
CDM fungua kesi....aliyehand majina ashikiliwe.....
Ila yote haya hayawezi fanyika maana wengi mnachotaka sio maendeleo ya watu....ni mivutano na ubinafsi uliowajaa.
Kaaabisa mkuu ninaunga hoja aseeMbona mnawatetea wapinga maendeleo sana! Hao wapinzani si ndio walituchelewesha sie dona kantri?
Sawa Awamu ya 5 chochote kinawezekana mkuu,awamu isiyofuata katiba/sheria.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Daah nimecheka hapo kwenye bafu, mawazo yangu yamejikuta yamefika mbali sana
Tunaposema fulani yuko Bungeni, hatumaanishi yuko kantini ( tungesema kantini ya Bunge) au ndio anapaki gari lake( yuko kwenye parking ya Bunge). Tunamaanisha yuko kwenye ukumbi wa Bunge.Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa
Mmeanza lini kuwapenda wapinzaniKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kuna siku itakua chooni, almradi choo cha bunge!ndio ili mradi ni eneo la bubge
Hivi CCM wote kwanini huwa ni wajinga hivi?Kama tafsiri ya katiba ndiyo hiyo,kwanini bunge lilikaa kupitia kamati bunge la 11 na kubadili sheria ili wabunge waweze kuapishwa nje ya bunge?
Unaelewa maana ya "before the parliament"?Yaani "before the parliament" iwe na maana ya chooni au bafuni lakini kwenye eneo la bunge?😁😁😁!
Sheria zinazotungwa lazima zisikinzane na katiba na ikitokea imekuwa hivyo basi katiba ita over rule sheria husika!
Vilaza wa lumumba tumeelewana?
Sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] embu kuwa serious, watu wanajadili mambo ya kitaifa na kikatiba hapa
Naomba kuuliza,kama katiba inamaana hiyo,kwaninj kanuni zilibadilishwa bunge lililopita ili wabunge waweze kuapishwa hata nje ya ukumbi wa bunge ilimradi ni spika ndiye anawaapisha?ndio ili mradi ni eneo la bubge
Mbona kama CCM wanatokwa povu kutetea wabunge wa Viti maalum Chadema, kuwahalalisha kwa nguvu zote, mngekuwa mnawahitaji sana si msingefanya janja janja kwenye uchaguzi, inashangaza sana ujue, na wamejisahau kabisa povu linawatokaKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.