GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Hivi CCM wote kwanini huwa ni wajinga hivi?Kama tafsiri ya katiba ndiyo hiyo,kwanini bunge lilikaa kupitia kamati bunge la 11 na kubadili sheria ili wabunge waweze kuapishwa nje ya bunge?
Unaelewa maana ya "before the parliament"?Yaani "before the parliament" iwe na maana ya chooni au bafuni lakini kwenye eneo la bunge?[emoji16][emoji16][emoji16]!
Sheria zinazotungwa lazima zisikinzane na katiba na ikitokea imekuwa hivyo basi katiba ita over rule sheria husika!
Vilaza wa lumumba tumeelewana?
Kwa hio unataka kusema vipengele vitoe uwezo wa kuapisha bafuni hata kama dundai anapakuwa bafuni huku anaapisha [emoji23][emoji23][emoji23]